Kenya won’t compromise health to resume flights to Dar, says Transport Minister

Macharia Muongo hakuna consultation zozote watu wapo bize kukagua madaraja mbamba bay
Wakenya subirini corona ikiisha kwenu mtaleta KQ

Umeelewa kingereza kweli wewe? Amesema hii issue inahusu wizara zaidi ya moja, kwamba japo walikubaliana na waziri wenu, ila kwetu hapa lazima wizara ya afya iridhie kilichokubaliwa, na hapo ndio mtihani maana waziri wetu wa afya hatokubali kuwarubuni Wakenya na kuruhusu mje na huo uchafu wenu bila kupimwa.
 
Sisi hatuna mpango na nyinyi endeleeni kufa na corona tu nyinyi nyang'ao. Hatuhitaji KQ kuja kwetu.

Nashangaa kuona mataga leo kwenye nyuzi za Kenya, nilidhani mtakua nyote kule jukwaa lenu la siasa mkijaribu kupooza moto wa Lissu kuifunka Dodoma.
 
Nashangaa kuona mataga leo kwenye nyuzi za Kenya, nilidhani mtakua nyote kule jukwaa lenu la siasa mkijaribu kupoza moto wa Lissu kuifunka Dodoma.
Siyo lazima ujionyeshe ulivyo pungu Kila pahala😂🤣😂!
 
Gajungi,

Guys, there's this:

Tanzania, Kenya kama mataifa huru ya kongole kwenu

Calling for each to mind one's own business. A gentleman's call for recognition of one's sovereignty.

Why the hell should there be any concern on any decision in one country to the other?

Isn't it that we are getting too low?

No border or interaction interest surpasses that of one's sovereignty!
 
Wanachofanya wanajaribu kuficha haibu kama wamewekewa kikwazo na TANZANIA , ndio maana kila cku wanabwabwaja wao tu upande wa TANZANIA kimya .hii ndio shida ya kujifanya unanguvu halafu kumbe huna madhara yake ndio haya unaanza ugomvi halafu unakimbilia samahan
 
But the same Magufuli who said his son had corona is the same one who says corona doesn't exist.
Magufuli is fool.
Wakenya mnasema mpo vizuri kwa kingereza!!! So we huoni tofauti ya hizo sentence mbili tofauta! "Magufuli who SAID his son HAD Corona.. this means those days kabla ya maombi ya kuliombea taifa na dogo alipona.Now Magufuli says We DO NOT have Corona in Tanzania baada ya maombi! Ety Uhuru nae anasema kuwa Tourism site hazina Corona na wataliii waje!!! Serious kweli unafunga bars na shule coz Corona inazidi kuenea then unasema tourism site ziko safe? Ma friend you can not eat a cake and still have it, hiyo ndio tatizo ya kula pesa ya doner ya ku combat Corona and at tha same time unataka pesa toka kwa tourists. Cjui ni kukurupuka au kumkomoa Tanzania
 
[emoji23][emoji23]skia ufala sasa. Wewe + magufuli mnakua fool zaidi sasa sababu mliombea corona ikaisha na bado imezidi ...ikaua wabunge watatu pamoja na rais mstaafu mkapa
 
It is ok. Every country is obliged to protect her citizens from the pandemic. Tz has been graded as a high-risk country.
Since the time you started to regard TZ as a High risk corona country to date it has proven you wrong, bad enough you are the one suffers the most, our schools are open for month's now, sports and recreational activities, busness everything is normal this part and we dont see people falling as you wish todate we have no chinise Corona here unless the time for corona to incubate is more than 120days before first sign appear, we took all hygine measures, social distancing we used local madicene including inhaling hot local medicated steam and above all we played to the one who gives life and owns everything.
 
Hahaha! Tunawashangaa na kuajabikia vitendo vya KITOTO kutoka kwenu. Yaani tunajua mpo chini ki akili na tunawaelewa ila kwa sasa inapitiliza kupita kiasi. Ni huruma tuu.
 
Kila mtu abakie na ndege zake, airports zake na corona yake.
 
Hahaha! Tunawashangaa na kuajabikia vitendo vya KITOTO kutoka kwenu. Yaani tunajua mpo chini ki akili na tunawaelewa ila kwa sasa inapitiliza kupita kiasi. Ni huruma tuu.

Sasa mnaangaika na sisi wa nini mbona sisi hatuna shobo na nyie?
 
Mkulima anaingoja ndege yake.
Mwambie macharia afungue njia hiyo chombo kitue nairobi. Anamsingizia kagwe wa nini wakati hamna muda mrefu ofisini ishu ya kemsa itamuondoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…