MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2]Hujui tofauti ya kichwa cha trani :treni yenyewe .reli na mabehewa wewe kweli pwagu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2]Hujui tofauti ya kichwa cha trani :treni yenyewe .reli na mabehewa wewe kweli pwagu
Haha!Samm999,no spoiler for me.Hold the door!I woke up at 5.30am just to download the 5th episode.Ilibidi nimeiwatch pia,at 6 in the morning!Damn GOT!1620 wagons
40 coaches
56 trains but
Still some Tanzanians are making fuss about it.... SMH simkalale ama mjenge lenu!!!!
I have been informed that HBO is currently not in Tanzania so I will post the biggest spoilers of last night's GoT episodeView attachment 350189
Do you have any problem other than being a moron and a dork?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2]
Wewe ndiye mwenye ushamba maana unategemea lugha moja ya Kiswahili ambacho chenyewe hakina maneno mengi ya msingi kwenye masuala ya uchumi.
Treni inaweza kuwa bila behewa na ikaitwa treni, kwa mfano ile inayotumiwa kwenye shunting.
Tatizo Kiswahili chenyewe magumashi na kinatumiwa sana na nyie wavivu, na ndio maana mpo nyuma hivi bila uelewa wa mambo mengi.
Unaposema "Kichwa cha treni" hayo ni maelezo ya maana ya neno locomotive, na sio mbadala wake.
Kama nilivyosema, nina uelewa wa ndani wa masuala ya reli, tatizo ni lugha yenyewe dhaifu na inakua tatizo kupata maneno yeke hata kwenye kamusi.
Kwa mfano, nimetafuta sana neno mbadala ya "Shunting", kuna siku niliandika ripoti fulani ya masuala ya reli ambayo nilitegemewa kuitafsiri pia kwa Kiswahili. Aisei nilihangaika kishenzi, lugha ya Kiswahili bado sana.

Hehehe hebu nipe nomino yake. Ama itakua mchepuko.shunt vt,vi 1 (of railway wagons) chepua/geuza njia. ~ing-yard n uwanja wa kugeuzia gari moshi. 2 (of a train) peleka njia nyingine. 3 (fig, colloq) kwepa, ahirisha. 4 (fig of a project) weka pembeni. ~er n mgeuzaji reli
Shunt lipo mzee, wewe tu hukuhangaika vya kutosha.
Nina uelewa wa ndani kwenye masuala ya reli, hivyo sijajichanganya kwa kusema treni 56.
Mabehewa yalioagizwa ni 1,620, hivyo muache ujuha wa Kibongo.
Kaka sifa zingine za kijinga hazifai, Train 56 halafu unajifanya sio mjinga kwa kulazimisha eti haujakosea,, yani hata wakenya wenzako wanakushangaa kwa jinsi ulivyowazidi uongo kupita kiasi, Hata Uingereza hawana Train 56 zaidi ni Train zinazotumika kwenye njia kuu tuu pengine ni mabus yaendayo kasi kwenye njia maalumu kama bongo,
Bro punguza uongo wa kitoto
Mzeiya lengana na hawa mamwere,kama kilami ni 56 trains na swa itakuwa?Treni 56,ngori iko piwa?Nijeiya anaku mraaya hata mjamo anakuchapia loco kwa swa itaitwaje?Nipe neno ninalofaa kutumia kuita vichwa vya treni.
Hehehe hebu nipe nomino yake. Ama itakua mchepuko.
Halafu hebu nipe jina la kichwa cha treni kwa kiswahili, yaani locomotive.
Locomotive ni adjective - enye nguvu ya kwenda, pia ni noun-kichwa cha garimoshi. Ila sisi tunaita treni, neno sahihi ni garimoshi. Kiswahili kipo wide sana, tatizo maneno mengi hatuyatumii sana, tunatohoa ya kizungu. Hahaha
Lugha nyingi zipo namna hii, sometimes unakosa neno moja kutafsiri neno kutoka lugha nyingine (hasa Kizungu).
Tungoje tuone.. ila kila la kheri majirani.. hatua mliyofikia siyo ya kubeza.. kwa nchi za Africa kuungana ni jambo jema zaidi ya kutengana.
I hope uwekezaji mnaoufanya utaleta faida na kuweza kulipa deni.
Haha!Samm999,no spoiler for me.Hold the door!I woke up at 5.30am just to download the 5th episode.Ilibidi nimeiwatch pia,at 6 in the morning!Damn GOT!
You are damn right bro,but when the fudge will I see my favourite GoT character Khaleesi (since they murdered my other favourite,King Geoffrey) do her thing with no interuptions,am tired of waiting man!Damn,if I were a character in GoT illd follow Khaleesi to the moon and back!Haha!That show is great AF
Deal with it!!
i promise you i will post pictures of these trains when they arrive.