Hahahaha, Mdude ndio nani tena?, sisi tunakuletea habari za Leo Leo ambazo hutokia kila siku huko Kenya. Hii ndio sababu Forbes imeiweka Kenya ni namba 7 katika nchi hatari zaidi duniani, kwa mwendo huu ni wazi " next report" Kenya itapanda hadi namba 2 " watch my words".
Yupo Kwa slum za Mombasa Bangladeshi slum
Itina riri ria ngiri!
Kuna baadhi ya nchi duniani, huwa haziingizwi katika hizi researches kwasababu hata mazingira hayaruhusu hao watafiti kwenda kufanya hizo researches.Last 2 weeks zaidi ya watu mia walikufa Afghanistan juu ya terrorism hadi Trump akacancel peace agreement na Taliban. Watu wangapi Kenya walikufa last week juu ya police shotings?
Sio "ako" sema "atakuwa na kisimbuzi cha DSTV"That guy wishes he was a Kenyan. Yaani alikuwa anawatch hii kitu live at the same time yenye sisi huku Kenya pia tunaiwatch live. Lazima ako na Dstv kutazama vipindi vya Kenya halafu anatutusi kila siku.
Lol.. Si mtakuja kujitia kitanzi siku moja kwa sababu ya hii lugha 'yenu' kuharibiwa.Sio "ako" sema "atakuwa na kisimbuzi cha DSTV"
Mnatuharibia lugha si bora muendele kuongea ki-kikuyu ebooh!!
You can't be rich and soft. The richer you get, the more dangerous you become. That's why South Africa is dangerous.Most dangerous cities in Africa, Again Nairobi among top ten.
Most Dangerous Cities In Africa
With longstanding economic disparity and ongoing racial tension, the nation of South Africa has six of the ten most dangerous cities on the continent.www.worldatlas.com
Sio "ako" sema "atakuwa na kisimbuzi cha DSTV"
Mnatuharibia lugha si bora muendele kuongea ki-kikuyu ebooh!!
Hakuna neno "ako" ktk kiswahili mnatuharibia lugha kijana.Wewe ndiye huelewi lugha. Yaani hivi hujui kwamba 'ako' ni neno sahihi la Kiswahili?
Kisha ni 'muendelee' sio 'muendele'.
You can't be rich and soft. The richer you get, the more dangerous you become. That's why South Africa is dangerous.
You're dumber than the comment.This is the MOST dumbest comment ive ever ever read.. how is Rich connected to dangerous?? Hahaha you are as dumb as hell. How many countries in the world are rich en safe, en how many countries are poor en dangerous like kenya? Some places in middle east and Africa are the most dangerous in the world en they are very poor. Eti kenya ni Rich!! [emoji23][emoji23][emoji23] then there is a new definition of rich
That's why people are killed in South Africa and Kenya like fliesYou can't be rich and soft. The richer you get, the more dangerous you become. That's why South Africa is dangerous.
Yule wivu huyu ulafi wa mali.Kuna raia aliuwa mke wake Kigamboni juzi juzi hapa akamzika kwenye shamba lake Mkuranga...hilo tukio linafanana tu na la huyu mkenya
Tony Kroos au Tony254 wa jamii forums.? KakulaghaiUmesikia tony alivyo niambia kuusu wewe kukataa kunipa kampani ya kunitembeza NAII eti anasema nikushawishi Kwa chapo mnapenda sana chapo ? Eti nikununulie chapo 6 morning 6 nyingine afternoon and another 6 chapo evening hapo lazima utakubali .kumbe wakenya mnapenda kula hivyo!!!
You need to get the point wote wameua genius, they commited a similar crime despite the different motivesYule wivu huyu ulafi wa mali.
Sababu mbili tofauti .
Sawa kak ila ujue yule wa kigamboni usikute alikua anachepuka kweli ndio maana mme akamfyekelea mbali.You need to get the point wote wameua genius, they commited a similar crime despite the different motives
Mwanamke mgani anaweza penda kudate masikini kama wewe?Sawa kak ila ujue yule wa kigamboni usikute alikua anachepuka kweli ndio maana mme akamfyekelea mbali.
Wanawake mtihan ndugu usikute jamaa hasira zimempanda kwasababu mke alikua anahonga pesa za mboga kwa mchepuko.
Unakumbuka na ile habar ya hap hap Dar jamaa kampiga mkewe mpk kumuua japo hakudhamiria kuua na wala hakutumia silaha kwasababu mke kapewa hela ya kula akaachwa watoto njaa ye akaenda kukesha bar????
Asa hayo ndio yanafanana.
Ila huyu mkumbafu katili kutoka ktk kabira la kikatili Africa la kikuyu ameua kisa ulafi tu wa mali.
Kudadake sidate ht na mkenya kwa staili hii.
Asa nimepata jibu kwann wachaga nao makatili kwa wame kisa mali ni kwasababu wamepakana na hawa ng'ombe pori wa kikenya.