Kenya yaendelea kuthibitisha kwamba si nchi usalama, Tajiri wa kizungu auliwa kinyama

Kenya yaendelea kuthibitisha kwamba si nchi usalama, Tajiri wa kizungu auliwa kinyama

Mzizi wa neno 'ako' ni -ko. Jifunze Kiswahili wee bwege.
Duh hiyo ni yako.
Hakuna kitu km hiko aiseee.
Hiyo kiswahili cha nyang'au.
Ila kiswahili sanifu hakipo hvyo.
Embu onganisha hilo neno na kitenzi.
 
Duh hiyo ni yako.
Hakuna kitu km hiko aiseee.
Hiyo kiswahili cha nyang'au.
Ila kiswahili sanifu hakipo hvyo.
Embu onganisha hilo neno na kitenzi.
'km'
'onganisha'
'hvyo'
'kiswahili' x2
'Embu'
Sentensi nne fupi pekee zina makosa sita na hapa unajifanya kutufunza Kiswahili? Akili yako timamu?
 
'km'
'onganisha'
'hvyo'
'kiswahili' x2
'Embu'
Sentensi nne fupi pekee zina makosa sita na hapa unajifanya kutufunza Kiswahili? Akili yako timamu?
Km ni ufupisho wa kama na hapa tunachat aisee.
Hvyo ni kifupisho cha hivyo.
Kiswahili iko sahihi,au inaandikwaje swahili ama???!!!!
 
Aii unapinga km wachina hawawaendeshi???!!!!
Vile wanavyowafanyia ubaguzi ktk reli yenu wenyewe.
Unapinga kama kila mtu hamuendeshi? Sii Wachina, sii wahindi, sii Wakenya, sii Waarabu, sii wazungu?
 
Km ni ufupisho wa kama na hapa tunachat aisee.
Hvyo ni kifupisho cha hivyo.
Kiswahili iko sahihi,au inaandikwaje swahili ama???!!!!
Hivi embu ni ufupisho wa nini?
Kiswahili unaandika ukianza na herufi ndogo?
Kaende shule ya chekechea kwanza ndio uje kujifanya gwiji wa lugha hapa.
 
Hivi embu ni ufupisho wa nini?
Kiswahili unaandika ukianza na herufi ndogo?
Kaende shule ya chekechea kwanza ndio uje kujifanya gwiji wa lugha hapa.
Inategemea wapi unaandika hilo neno.
Hata neno embe ukianza mwanzo wa sentensi utaanza kwa herufi kubwa.
Vivyo hivyo katika "kiswahili" ukianza mwanzo wa sentensi utaandika kwa kuanzia herufi kubwa "Kiswahili".
Umeona utofauti hapo???
Kwahiyo kisa ni neno kiswahili popote waliandika kwa herufi ndogo??
Je ukianza mwanzo mwa sentensi napo utaandika kwa herufi ndogo???
Na siyo kaende sema nenda kasome shule ya chekechea.
Neno "kaende" umelitumia vibaya ndio msamiati gani???
 
Point. [emoji106][emoji106][emoji106]
Huwa wanasema kwenye ndoa kama hamuelewani basi muwachane mara moja. Hakuna haja ya kuishi na adui yako kwenye nyumba moja.
 
Duh hiyo ni yako.
Hakuna kitu km hiko aiseee.
Hiyo kiswahili cha nyang'au.
Ila kiswahili sanifu hakipo hvyo.
Embu onganisha hilo neno na kitenzi.
Embu sio kiswahili sanifu. Inastahili kuwa "Ebu".
 
Inategemea wapi unaandika hilo neno.
Hata neno embe ukianza mwanzo wa sentensi utaanza kwa herufi kubwa.
Vivyo hivyo katika "kiswahili" ukianza mwanzo wa sentensi utaandika kwa kuanzia herufi kubwa "Kiswahili".
Umeona utofauti hapo???

Kwahiyo kisa ni neno kiswahili popote waliandika kwa herufi ndogo??
Je ukianza mwanzo mwa sentensi napo utaandika kwa herufi ndogo???
Na siyo kaende sema nenda kasome shule ya chekechea.
Neno "kaende" umelitumia vibaya ndio msamiati gani???
Hivi wewe umeenda shule ama shule yako ni JF? Sioni haja ya kubishana na mtu ambaye haelewi chochote huku akijifanya gwiji. Kaende ujifunze aina za nomino na namna zinavyotumika ndio uje tuongee.
 
Hivi wewe umeenda shule ama shule yako ni JF? Sioni haja ya kubishana na mtu ambaye haelewi chochote huku akijifanya gwiji. Kaende ujifunze aina za nomino na namna zinavyotumika ndio uje tuongee.
Jamaa wakenya hujifanya wajuaji sana.
Halafu mm ubavu wa ubishi sina kheri nikae kimya.
HAKUNA NENO KAENDE LABDA NI KTK MISAMIATI YA KIKENYA.
KWAHERI.
 
'Embu' ndio nini hicho? Wewe ni kama akili yako sio timamu. Sioni haja ya kujadili chochote nawe.
IPITIE SENTENSI ULIYONIULIZA THEN JIULIZE HT WW INAELEWEKA????
IREKEBISHE sentensi.
Sina ubavu wa kubishana hususan kwa watu ambao mnajifanya mnajua halafu hakuna mnalojua km ww KWAHERI BISHANA NA MUCH KNOW WENZAKO.
 
Back
Top Bottom