Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonaje tupange dili la kuiangusha ili tufanane?Wanapeleka satellite wakati wanashindwa kuwalipa mshahara watumishi? Ugali kwao ni anasa.
Fak nigaz
Fak nigazUnaonaje tupange dili la kuiangusha ili tufanane?
Satelites zinasaidia kutatua matatizo ya dunia. Nchi nyingi zina satelites lakini warushaji satelites ni wachache ama US, au India, au Russia, au china au umoja wa Ulaya. So ukitengeneza satelite itabidi uende kwenye mataifa hayo uzuri US warushaji wengi kampuni binafsi so unaweza tafuta ikayokufaaKuna matatizo mengi tulionao hapa (earth) sasa huko hiyo satellite itasaidia wapi?
Kama ni issue ya 'promotions' kwanini hiyo satellite warushe kutoka USA..
Wewe ulishaumaliza umaskini na njaa Tanzania? Mawazo ya mjinga. Miaka 60+ ya Uhuru unafikiri wenzenu watakalia tuu cheap politics za ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo. The world has to move on....despite challenges mbalimbali. Kila sekta ifanye kazi yake.Ni swala la priority Kenya wanapenda sana kujimwambafai wakati raia wao kule Turkana wanakufa najaa, kibela slum ndo kubwa barani Africa wana high urban poverty rate, hizo pesa za stilate wange anza na kujengea raia wao simple and cheap residential houses, nakununulia watu wao chakula wasife njaa.
Fanya yako tuone utarushia wapi. Movie tu ya samia ilitengenezewa huko sembuse satellite.Kuna matatizo mengi tulionao hapa (earth) sasa huko hiyo satellite itasaidia wapi?
Kama ni issue ya 'promotions' kwanini hiyo satellite warushe kutoka USA..
Sio kwajili ya kazi za Kitaifa ka ya Kenya ni kwajiki ya kazi zake binafsi nfano server hosting space internet nambo kama hizo nfano kampuni inayomiliki mtandao wa Facebook whatspp pia wana satellite kwenye orbit kwajili ya uendeshaji wa mitandao yao bila kutumia server za kukodi au za makampuni mengine.
Tunaanza kupiga fix Starlink wana zaidi ya satellites 🛰 4,000 kwajili ya internet tu toka mwaka 2019 hii taarifa mnazipata wapi?Mkuu ngija nikuelimishe kidogo usipotoshe wengine Satellite kazi yake sio ku host ,
Hosting zinafanyika duniani maana servers zinahitaji eneo kubwa na miundombinu ya uhakika kama umeme na internet ya kasi pamoja na watu wa ku mantain hiyo kind of structure huwezi iweka kwenye orbit
Satellite zina kazi tofauti na kazi kubwa huwa ni kwa ajili ya mawasiliano kama unavyopata channel hapo nyumbani kwako kwa kutumia dish
Kazi nyingine nyingi ni kwa ajili ya uchunguzi hasa wa hali ya hewa na vitu vingine vya ki reserch hapa duniani
Zipo sattelite za kuchunguza anga la mbali na mifumo ya kiusalama za nchi tofauti tofauti
Na hapa majuzi Space X ime launch satellite zaidi ya elfu 2 kwenye orbit ya dunia kwa ajili ya internet inayoitwa Starlink hii ndio internet ya kwanza public inatotumia satellite
Satellite zinajengwa kwa material mepesi na kwa umbo dogo as possibile na inawekewa vifaa vinavyotumia umeme mdogo na battery za ku reserve umeme na solar panels kubwa maana source ya umeme huko angani ni jua tu
Mbona Tanzania kuna omba omba wengi tu mtaani??Ni swala la priority Kenya wanapenda sana kujimwambafai wakati raia wao kule Turkana wanakufa najaa, kibela slum ndo kubwa barani Africa wana high urban poverty rate, hizo pesa za stilate wange anza na kujengea raia wao simple and cheap residential houses, nakununulia watu wao chakula wasife njaa.