Kenya hawako vizuri moja kwenye ndoa za Kikiristo wawili wakioana wanakuwa mwili mmoja wanahesabika mtu mmoja hivyo Mali hapo inakuwa ya mtu mmoja yaani mke na mume haiwi vipande vipande kusema hii ya mke hii ya mume ni zao wote
Pili mke hata akiwa mama wa nyumbani hata kama sio ndoa ya Kikiristo Pesa za Mumewe na zake zimo humo sababu mke anapofanya kazi za nyumbani ni sawa na mfanyakazi wa ndani hivyo Kwa hiyo anastahili kulipwa mshahara kila mwezi Kwa kazi hizo za ndani anazofanya hivyo kama kukitokea talaka meanamke ana haki ya kudai malipo ya misharara ya muda wote alikaa Kwa huyo Mwanaume na riba juu kama alikuwa hamlipi mshahara kila mwezi na kiinua mgongo wanapoachana.Hiyo Sheria inataka kumfanya mwanamke mfano huyo anayeitwa golikipa kuwa Hana chochote anachofanya humo ndani wanasahau kuwa huyo ni mfanyakazi wa ndani domestic worker .Hivyo hiyo tafsiri ya kusema alichochuma ndicho apewe haiko sawa.Mishahara yake kashika Mwanaume kama ni kujenga nyumba Kuna Pesa zake za mishahara yake ambayo alipaswa kulipwa kama mfanyakazi wa ndani ambayo mume hakumlipa na mke hakuiidai ili nyumba ijengwe au biashara zifunguliwe au magari yanunuliwe.Hivyo kwenye Kila mali ambayo mume anayo mke ambaye ni golikipa full time housewife ana hisa kupitia mshahara wake ambayo la sacrifice Kwa kutolipwa ili ufanye maendeleo
Hiyo Sheria ya Kenya hopeless haijazingatia Sheria za kazi yaani labour laws kutafsiri role ya mke mfano full time housewife ni Nini kwenye nyumba anamfanya kazi Gani na stahiki zake ni zipo kama mfanyakazi wa ndani