ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Watakipimaje? Kwamba watu wawe wanaandikisha jina la Kila unachonunua?View attachment 2882688
Ndugu zangu katika JF tujadili jinsi ya kuanzisha hili vuguvugu ambalo litasababisha mabadiliko ya sheria. Kila mtu aondoke na alichochuma. Hii itasaidia sana kuimarisha ndoa
Huu ni ujinga,ila Tzn tuwe na 65% Men Kwa 35% Women bila kujalisha walichochangia