Kenya yafuta 50/50 baada ya talaka, unachukua ulichochangia

Wanawake hangaikeni ili mpate vyenu, si mlitaka 50/ 50, ndio hii sasa, kila mtu apambane..

Upendeleo umetolewa kwa wanawake mashuleni, udahili vyuoni, usawa kwenye mafsi za ajira nk. , kisingizo cha mfumo dume hakipo tena..
 
Kwa nini Mwanamke asifanye kazi?
Mbona anafanya kazi za nyumbani akiwa mama wa nyumbani ni mfanyakazi wa ndani huyo

Swala ungeuliza kuwa kama anafanya kazi za ndani mume anatakiwa amlipe mshahara Kila mwezi Kwa viwango vinavyokubalika na serikali Kwa hizo kazi za ndani anazofanya
 
Kenya wajinga hopeless kabisa kisheria

Tanzania tuko vizuri mfano umeoa Mwanamke hafanyi kazi wale wanaitwa golikipa anajinyima anakula ugali na tembele na kutovaa vizuri ili kubana kahela ka mumewe wanunue kiwanja wajenge au kuanzisha biashara

Mchango wake ni hiyo sacrifice yake angeamua kuwa nataka chips kuku Kila siku na mavazi high fashion za Ulaya au marekani na Kila siku mruke viwanja na kula Bata mngepata mafanikio?

Wakenya wajinga pumbavu zao
Mbona unatokwa na povu wakati hamna kitu kibaya walicho andika?
Yaani kuandika kuwa watu wakiachana, haki itafuatwa wakati wa kugawa mali ndio vibaya?
Kimsingi kusema mali itagawanywa nusu kwa nusu sio sawa; kwani kuna vigezo ambavyo lazima vifuatwe na ndicho walichosema wakenya
Fikiria mwanamme anamiliki nyumba, gari na vitega uchumi kadhaa, aoe baada ya mwaka waachane.. unaona ni sawa waanze kuuza ile nyumba, gari nk ili wagawane? Ila kwa wale walio fanya kila kitu kwa pamoja ni sawa kugawana 50/50.......na ndio maana ya haki itafuatwa
 
Kenya wajinga hopeless kabisa kisheria

Tanzania tuko vizuri mfano umeoa Mwanamke hafanyi kazi wale wanaitwa golikipa anajinyima anakula ugali na tembele na kutovaa vizuri ili kubana kahela ka mumewe wanunue kiwanja wajenge au kuanzisha biashara

Mchango wake ni hiyo sacrifice yake angeamua kuwa nataka chips kuku Kila siku na mavazi high fashion za Ulaya au marekani na Kila siku mruke viwanja na kula Bata mngepata mafanikio?

Wakenya wajinga pumbavu zao
Ni kweli, kuna support isiyopimika kwa macho, kuna provision yake kwenye hayo mabadiliko?
 
Mkuu maelezo zaidi hapa
Iko hivi,wengi wao anaishi na wewe kwa lengo la 50/50 mtakapoachana. Haijalishi unalianzisha wewe au yeye. Sasa,majitu ya hivi,unakuta hata watoto 3 mlionao,hakuna hata mmoja wa kwako. Akiamua kumzalia ampendae, utaghalamia kama baba mzazi, kumbe kekundu. Na wote hapo wanasubili shea toka kwako.Hapo maabara pia zijiandae kwenye vipimo vya DNA.
 
Kenya wajinga hopeless kabisa kisheria

Tanzania tuko vizuri mfano umeoa Mwanamke hafanyi kazi wale wanaitwa golikipa anajinyima anakula ugali na tembele na kutovaa vizuri ili kubana kahela ka mumewe wanunue kiwanja wajenge au kuanzisha biashara

Mchango wake ni hiyo sacrifice yake angeamua kuwa nataka chips kuku Kila siku na mavazi high fashion za Ulaya au marekani na Kila siku mruke viwanja na kula Bata mngepata mafanikio?

Wakenya wajinga pumbavu zao
Hapa umeonesha wewe ndiyo mjinga kwa maelezo yako haya.
 
Kenya wajinga hopeless kabisa kisheria

Tanzania tuko vizuri mfano umeoa Mwanamke hafanyi kazi wale wanaitwa golikipa anajinyima anakula ugali na tembele na kutovaa vizuri ili kubana kahela ka mumewe wanunue kiwanja wajenge au kuanzisha biashara

Mchango wake ni hiyo sacrifice yake angeamua kuwa nataka chips kuku Kila siku na mavazi high fashion za Ulaya au marekani na Kila siku mruke viwanja na kula Bata mngepata mafanikio?

Wakenya wajinga pumbavu zao
Umesoma ukaelewa kilichopitishw?ni kwamba kitakuwa na fairness...kama mlipambana wote basi ni sawa kupiga pasu..ila kama ndo hii umeolewa Leo baada ya mwez unavunja ndoa makusud ili upewe hyo 50
 
Watakipimaje? Kwamba watu wawe wanaandikisha jina la Kila unachonunua?

Huu ni ujinga,ila Tzn tuwe na 65% Men Kwa 35% Women bila kujalisha walichochangia
Huo ndio ujinga pro max plus, vipi kama mwanamke ndio mwenye mali zote? Unyama kila mtu asepe na vyake tu ndio tutaheshimiana
 
Back
Top Bottom