FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Mbona anafanya kazi za nyumbani akiwa mama wa nyumbani ni mfanyakazi wa ndani huyoKwa nini Mwanamke asifanye kazi?
Kila mtu aondoke na alichochuma. Hii itasaidia sana kuimarisha ndoa[emoji2827][emoji2827][emoji2827]View attachment 2882688
Ndugu zangu katika JF tujadili jinsi ya kuanzisha hili vuguvugu ambalo litasababisha mabadiliko ya sheria. Kila mtu aondoke na alichochuma. Hii itasaidia sana kuimarisha ndoa
Mbona unatokwa na povu wakati hamna kitu kibaya walicho andika?Kenya wajinga hopeless kabisa kisheria
Tanzania tuko vizuri mfano umeoa Mwanamke hafanyi kazi wale wanaitwa golikipa anajinyima anakula ugali na tembele na kutovaa vizuri ili kubana kahela ka mumewe wanunue kiwanja wajenge au kuanzisha biashara
Mchango wake ni hiyo sacrifice yake angeamua kuwa nataka chips kuku Kila siku na mavazi high fashion za Ulaya au marekani na Kila siku mruke viwanja na kula Bata mngepata mafanikio?
Wakenya wajinga pumbavu zao
Ni kweli, kuna support isiyopimika kwa macho, kuna provision yake kwenye hayo mabadiliko?Kenya wajinga hopeless kabisa kisheria
Tanzania tuko vizuri mfano umeoa Mwanamke hafanyi kazi wale wanaitwa golikipa anajinyima anakula ugali na tembele na kutovaa vizuri ili kubana kahela ka mumewe wanunue kiwanja wajenge au kuanzisha biashara
Mchango wake ni hiyo sacrifice yake angeamua kuwa nataka chips kuku Kila siku na mavazi high fashion za Ulaya au marekani na Kila siku mruke viwanja na kula Bata mngepata mafanikio?
Wakenya wajinga pumbavu zao
Iko hivi,wengi wao anaishi na wewe kwa lengo la 50/50 mtakapoachana. Haijalishi unalianzisha wewe au yeye. Sasa,majitu ya hivi,unakuta hata watoto 3 mlionao,hakuna hata mmoja wa kwako. Akiamua kumzalia ampendae, utaghalamia kama baba mzazi, kumbe kekundu. Na wote hapo wanasubili shea toka kwako.Hapo maabara pia zijiandae kwenye vipimo vya DNA.Mkuu maelezo zaidi hapa
Hapa umeonesha wewe ndiyo mjinga kwa maelezo yako haya.Kenya wajinga hopeless kabisa kisheria
Tanzania tuko vizuri mfano umeoa Mwanamke hafanyi kazi wale wanaitwa golikipa anajinyima anakula ugali na tembele na kutovaa vizuri ili kubana kahela ka mumewe wanunue kiwanja wajenge au kuanzisha biashara
Mchango wake ni hiyo sacrifice yake angeamua kuwa nataka chips kuku Kila siku na mavazi high fashion za Ulaya au marekani na Kila siku mruke viwanja na kula Bata mngepata mafanikio?
Wakenya wajinga pumbavu zao
Umesoma ukaelewa kilichopitishw?ni kwamba kitakuwa na fairness...kama mlipambana wote basi ni sawa kupiga pasu..ila kama ndo hii umeolewa Leo baada ya mwez unavunja ndoa makusud ili upewe hyo 50Kenya wajinga hopeless kabisa kisheria
Tanzania tuko vizuri mfano umeoa Mwanamke hafanyi kazi wale wanaitwa golikipa anajinyima anakula ugali na tembele na kutovaa vizuri ili kubana kahela ka mumewe wanunue kiwanja wajenge au kuanzisha biashara
Mchango wake ni hiyo sacrifice yake angeamua kuwa nataka chips kuku Kila siku na mavazi high fashion za Ulaya au marekani na Kila siku mruke viwanja na kula Bata mngepata mafanikio?
Wakenya wajinga pumbavu zao
Akifikiria hana chake ata behaveKila mtu aondoke na alichochuma. Hii itasaidia sana kuimarisha ndoa[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio ujinga pro max plus, vipi kama mwanamke ndio mwenye mali zote? Unyama kila mtu asepe na vyake tu ndio tutaheshimianaWatakipimaje? Kwamba watu wawe wanaandikisha jina la Kila unachonunua?
Huu ni ujinga,ila Tzn tuwe na 65% Men Kwa 35% Women bila kujalisha walichochangia
Kanuni inabikia hiyo hiyoHuo ndio ujinga pro max plus, vipi kama mwanamke ndio mwenye mali zote? Unyama kila mtu asepe na vyake tu ndio tutaheshimiana
Kila kitu uislamu mbona udini umekujaaNaona wanarudi kwenye sharia za Kiislam bila kusema ukweli.
Kama ni hivyo wanaume lazima tupunguzwe n hawa viumbe kwa wingi. Hawa wanapenda mali kuliko mtu. Shauri yao wanaume wa kenyaView attachment 2882688