Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
hahaha rudi shule kaanze upya huna unachojua wewe
Uganda inategemea sana Tanzania kwa mchele na Sunflowers kwa ajili chakula, au mchele kwako sio chakula?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Mtanzania
Umenipa Ukenya,thats cool too,wote Wabantu walewale!
Shida ni kwetu sisi tusiokua na GDP yenye mabavu kama wao!
Wao wana GDP yenye uzito,they can buy any food from anywhere!
Be serious!
Im holding my breath siku inatokea mvua imegoma kunyesha nchini kwa mwaka mmoja,what catastrophe will come out in TZ?
It will be a disaster my nigga!
Ishu hapa tujifunze kuzalisha na kufanya biashara na kuacha upumbavu na utoto huu
umekoma na GDP sidhani kama hata unajua ni kitu gani.
mvua igome kunyesha umezaliwa mwaka gani??huwa haigomi bali inazidi na kuharibu kila kitu.maisha yanaendelea.
Unatakiwa kujibu maswsli, pili swala la kujua konsonati ya jina la mtu sio kazi yangu madhari ushamuelewa nani namzungumzia bc tatu hapa nipo Kwenye kuchat sipo darasan lina kiswahil cha darasani na cha kuchat ,Sasa badala ya kujibu maswali unahamisha mada eti jifunze kiswahili unazan Mimi Kama wewe kiswahili umekijua baada ya kwenza shule tena unachanganya na maneno ya kingereza kibaoLets get this outta way:
Sio “Laila Odinga” ni “Raila Odinga”!
Jifunze Kiswahili sahihi!
Na pia Jifunze kujenga paragraphy na kupangilia sentensi sio unarundika mikojo,mavi,kamasi,etc sehemu moja kama ulivyofanya!
Kila dikteta huku Africa anapenda kuitaja China kama mfano!
China ni concentration slave camp,sio nchi!
Maendeleo ni total well being nje na ndani ya mwili wa mwanadamu!
Huwezi kaaa hapa unaichukulia China kama mfano tunaotakiwa kuufata!
Lazima tuige proper free industrial democracies zilizo prove quality of life all the way through kama Western countries!
Usitetee mavi ya China hapa....unaiga human rights abuser,slave camps operators,tyrannical-autocratic regime ndio mfano sahihi wa kujenga nchi yako karne hii ya 21?
Kenya’s democracy ni more “vibrant” than Tanzania’s today!
Na alieua Tanzania’s democracy ni mawe,thats a FACT!
Uchaguzi wa Kenya kua na mapungufu sio ajabu,hata USA nako uchaguzi hua una contentions nyingi!
Ila sio hapa,state inaua watu wake wakosoaji,mkuu anavamia bunge,mahakama,anavunja katiba anavyotaka bila mtu kuuliza!
Hakuna democrasia 100%!
Kenya yao ni vibrant than ours,thats a FACT!
Ushahidi bro or we assume you pulling data up your orificesUganda inategemea sana Tanzania kwa mchele na Sunflowers kwa ajili chakula, au mchele kwako sio chakula?
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe hata hujui uko wapi hapa.unadhani uko chumbani kwako unapanga nguo,vile unataka zikae.Usiniletee unayodhani wewe ni sawa kwako
Ninayo yangu,sio yako,wewe unayo yako,siitaki,nataka yangu!
Fvck what you think!
Usilazimishie watu vitu vyako!
Ruka posts zangu,achana nazo!
Analogy ya mvua is useless kwangu!
Pesa si shida vipi, unakopa IMF unasema pesa si shida,Pesa si shida kwa kenya boss....mahindi tunatoa hadi Mexico, ngano tunatoa hadi marekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa kujibu maswsli, pili swala la kujua konsonati ya jina la mtu sio kazi yangu madhari ushamuelewa nani namzungumzia bc tatu hapa nipo Kwenye kuchat sipo darasan lina kiswahil cha darasani na cha kuchat ,Sasa badala ya kujibu maswali unahamisha mada eti jifunze kiswahili unazan Mimi Kama wewe kiswahili umekijua baada ya kwenza shule tena unachanganya na maneno ya kingereza kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe hata hujui uko wapi hapa.unadhani uko chumbani kwako unapanga nguo,vile unataka zikae.
kama hutaki kubadirishwa mtazamo,unataka kuubadirisha mtazamo wa nani!!!!!
Nimekaa Ethiopia Enzi za ubaharia wng wa nchi kavuMtu akitoka nje ya nchi yake aende nchi nyengine atakua amekimbia njaa? Mbona unashindwa kufikiria? Ni watanzania wangapi wametoka nje ya nchi Yao na kwenda nchi za watu ni njaa iliwafukuza tanzania? Population ya Ethiopia ni nyingi mno na nafasi za Ajira ni adimu mno hata ingekua ni watanzania ambao Wana population Kama ya Ethiopia ingewalazimu pia watoke kwa hio style.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Wakenya wanachotuzidi ni mbinu za biasharaSisi tunaweza kuuza chakula popote duniani, ila kenya ndio watakula vipodozi na kiwi zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa we kwa akili zako unafikir chakula n Mali mbichi tu.....mahindi makavu,maharage na grains nazo zinaoza ,tuko Zaid ya mil55 kinaozaje !! ....And who is a loser here?
Tanzania is a loser!
Chakula chetu kitaoezea ndani,no one to sell to!
Unaringia soko?
Hivi soko linachezewa?
Use brains
Sasa we kwa akili zako unafikir chakula n Mali mbichi tu.....mahindi makavu,maharage na grains nazo zinaoza ,tuko Zaid ya mil55 kinaozaje !! ....And who is a loser here?
Tanzania is a loser!
Chakula chetu kitaoezea ndani,no one to sell to!
Unaringia soko?
Hivi soko linachezewa?
Use brains
Unajua kitu kinachoitwa "survival strategy?". Kenya hawana resources kwahiyo lazima watafute " survival strategies ", kama Tanzania tutafanya wenyewe kila kitu, wakenya watakufa, kwahiyo kamwe " Nature haiwezi kuachia hiyo itokee, kinachotokea ni "Specialization of labour.Wakenya wanachotuzidi ni mbinu za biashara
Wanakuja hku wananunua Bidhaa na wao wanauza bidha hiyo hiyo yetu kwengine kwa standard ya iliyowekwa vzr
Wakenya wanakuja sana huku mfano kiwangwa wananunua mananasi tena kwa bei nzr ambayo mkulima anapata Hela, wao wakiyapeleka kwao wanaayazidisha ubora wanauza pia
Kiukweli licha ya mapungufu yao ila Wanajua sana strategy za biashara
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Pesa co shida huku mnaomba pesa kila leo, yn kilichobaki ni viongozi wenu kutumia kigezo cha majanga kupata misaada, ni aibu kwa Afrika aisee.Pesa si shida kwa kenya boss....mahindi tunatoa hadi Mexico, ngano tunatoa hadi marekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tayari hyo ishakuwa solved, marufuku kampuni ya kigeni kununua mazao Tz labda iungane na kampuni ya Tz, ss hapo tunasubiri nature tu ndo iwabebe but tushawaua tayar [emoji3][emoji3][emoji3]Unajua kitu kinachoitwa "survival strategy?". Kenya hawana resources kwahiyo lazima watafute " survival strategies ", kama Tanzania tutafanya wenyewe kila kitu, wakenya watakufa, kwahiyo kamwe " Nature haiwezi kuachia hiyo itokee, kinachotokea ni "Specialization of labour.
Hahahaha, hahahaha. Umenichekesha sana Leo mkuu.Mkuu tayari hyo ishakuwa solved, marufuku kampuni ya kigeni kununua mazao Tz labda iungane na kampuni ya Tz, ss hapo tunasubiri nature tu ndo iwabebe but tushawaua tayar [emoji3][emoji3][emoji3]