TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
Mad men are discussing[emoji23][emoji23][emoji23]. From the article, there's nowhere written that Kenya has turned to Ethiopia and there's nowhere Peter Munya said that we will buy from Ethiopia. If there's any evidence I would the thread owner present it to us. Either as video or from his social media's accounts.
Kataja mna majirani Wengi mtanunua hata Ethiopia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pale unaposikia kutegemea mende atoe damu ndo hii ya Wakenya.
Have you heard he said.
Wewe una akili sana. Tanzania ina masoko mengi ya chakulaAnd who is a loser here?
Tanzania is a loser!
Chakula chetu kitaoezea ndani,no one to sell to!
Unaringia soko?
Hivi soko linachezewa?
Use brains
Hata mkifuka buku kwendeni zenu mtajua wenyewe... Itafikia wakati mtaacha kuiwaza Tz mtaanza kuwaza tumbo na domo kama yamepitisha kitu kwa siku.Time will tell.Are you aware that today tumefuka Tanzanians 51 pamoja na lori zao?
Finding supplier is easier than finding a customer
Ethiopia is one of our neighbors. He also mentioned Uganda, so why have you insisted that we have turned to Ethiopia and excluding Uganda?Kataja mna majirani Wengi mtanunua hata Ethiopia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii umeiona. Wajinga wengine wanalazimisha lockdownCS Munya Slams Magufuli With Hard-hitting Message
Hahahaha, Joto la jiwe linaanza kuwaunguza, kuitegemea Ethiopia kwa chakula, ni sawa na kutegemea maiti ikutolee damu.
Yajayo yanafurahisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi hatuwazi nchi maskini kama Tanzania.Hata mkifuka buku kwendeni zenu mtajua wenyewe... Itafikia wakati mtaacha kuiwaza Tz mtaanza kuwaza tumbo na domo kama yamepitisha kitu kwa siku.Time will tell.
Una akili kama siafu. Kuna nchi zinazalisha chakula kingi Dunia. Akili yako inawaza chakula tuu. Kuna mataifa yanazalisha chakula Kenya itaagiza vyakula kutoka kwao sio lazima wanunue Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona kila siku kuipigia domo hadi mnasahau kufanya kilimo...halafu tukiangazia kiuhalisia ukitoa Burundi kuna nchi fukara hapa EAC kushinda Kenya kweliSisi hatuwazi nchi maskini kama Tanzania.
Unapoteza muda bure hamna kitu hapo
Hao Ethiopia juzi walitungua ndege yenu na hakuna kitu mtawafanya [emoji23]Ethiopia is one of our neighbors. He also mentioned Uganda, so why have you insisted that we have turned to Ethiopia and excluding Uganda?
Malori yote yanayoelekea Kenya si yote yamebeba chakula. Mengine yana mbao, mkaa wa mawe nk.Si kwa kipindi hiki soma majira kipindi hiki kila serikali ya nchi husika iko macho kutazama akiba iliyonayo na chakula kinachozalishwa ndani Sasa kipindi hiki chakula kinahitajika Sana maana hata Kama Nchi inayo inaendelea kukua kwa ajili ya akiba
Sent using Jamii Forums mobile app
55% of Tanzanians are poor.Sasa mbona kila siku kuipigia domo hadi mnasahau kufanya kilimo...halafu tukiangazia kiuhalisia ukitoa Burundi kuna nchi fukara hapa EAC kushinda Kenya kweli
Kazi imeanza na bado njaa ni ugonjwa zaidi hata yakoronaCS Munya Slams Magufuli With Hard-hitting Message
Hahahaha, Joto la jiwe linaanza kuwaunguza, kuitegemea Ethiopia kwa chakula, ni sawa na kutegemea maiti ikutolee damu.
Yajayo yanafurahisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbuka burundi ni taifa lisilo na baba(mabeberu) so burundi wapo vzr klk majiraniSasa mbona kila siku kuipigia domo hadi mnasahau kufanya kilimo...halafu tukiangazia kiuhalisia ukitoa Burundi kuna nchi fukara hapa EAC kushinda Kenya kweli
hahaa Truekumbuka burundi ni taifa lisilo na baba(mabeberu) so burundi wapo vzr klk majirani
Sent using Jamii Forums mobile app