Kenya Yaishinikiza Tanzania Kupitia EAC Kufungua Ushoroba Mpya wa Barabara ya Mombasa-Holili-Singida Kwa faida ya Bandari ya Mombasa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Nchi ya Kenya Kupitia Mgongo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC inafanya juhudi kubwa ya kuishinikiza na kuihujumu Tanzania Kwa kuwarubuninkina Rwanda,Burundi na DRC Ili kufungua njia Mpya ya usafiri wa barabara.

Ushoroba unaopigiwa chapuo na Kenya ni WA Central Corridor ambao unaanzia Barabara ya Kutoka Mombasa-Voi-Taveta/Holili-Arusha-Singida Hadi Bujumbura via Kahama kwamba itapunguza umbali wa Transit goods Kwa zaidi ya km 350 badala ya Ushoroba wa Northern Corridor wa kutoka Mombasa-Kampala-Kigali Hadi Rwanda/DRC.

Lengo la Kenya sio kuwasaidia wasafirishaji Bali ni kuua Bandari ya Dar na kupokonya Wateja wa Tanzania ambao ni Rwanda,Burundi na Kaskazini mwa DRC ambao wanatumia Njia ya kuanzia Bandari ya Dar-Moro-Dodoma-Singida-Kahama Hadi Nchi hizo.

Naomba Serikali isikubali Kufa ya jambo hili Kwa Kisingizio Cha mtengamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na kukuza biashara maana itapunguza zaidi ya robo ya mizigo Bandari ya Dar na kuifaidisha Mombasa.

View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1817152138822246778?t=RN3quU6xyzkIhdhRJi3zmw&s=19

My Take: Kama Wakenya Wana hamu sana ya Kutumia njia hiyo ni Bora Serikali iwaeleze kwamba itafungua njia hiyo mara baada ya kukamilisha ujenzi wa njia zifuatazo:

1. Kupanua kina na kununua vifaa vya Kisasa Bandari ya Tanga.

2. Kujenga Barabara ya Kutoka Tanga-Handeni-Kibaya-Chemba-Singida

3. Kujenga SGR ya kutoka Tanga-Same-Arusha-Musoma

4. Kujenga na kuimarisha Bandari ya Musoma pamoja na kununua meli ya kubeba treni/behewa za mizigo.

Tukifanya hayo ndio Sasa tutaweza kushindana vizuri na Bandari ya Mombasa vinginevyo itakuwa ni kujitia dole mwenyewe na kupoteza pambano la Biashara ya logistics Kwa knockout.

@) Greenline ndio WaKenya wanapigia chapuo.

b) Blueline ndio njia proposed ya Serikali Kujenga.

Screenshot_20240728-113052.jpg

===========

Transporters accuse Tanzania of laxity in geofencing the Arusha-Singida road, which forms part of the Northern Corridor, but some observers blame it on the insidious competition for business between Mombasa and Dar es Salaam ports.

If the corridor increases efficiencies, importers and exporters in some parts of Tanzania, Burundi and DRC might prefer Mombasa to Dar es Salaam as their port of choice.

Transporters between Mombasa and Bujumbura are yet to fully utilise the Voi-Taveta/Holili-Arusha-Singida road network, part of the trunk road between the two cities, because Tanzania is yet to geofence the Arusha-Singida stretch.

A road is geofenced when it has inspection points, and cargo passing through it can be tracked electronically for taxation and to avoid dumping of goods.

Geofencing guards against theft and loss of cargo while in transit.

The highway, covering 1,545km, was completed in 2018, and is meant to reduce the transit distance from Mombasa to Bujumbura on the Northern Corridor by 358 kilometres.

“We are caught up between the regional ports scramble for business, and that is why we can’t ferry goods past the Taveta One-Stop Border Point, as, past there, the goods would not be tracked and would therefore be declared stolen,” explained Hamisi Juma, a Mombasa transporter.

The Citizen
 
Sasa kama Tanzania wamelala Kenya iache kuchangamkia fursa?.pamoja na viongozi wa Tanzania kuziuza bandari zao zote Kwa Dp world kwa madai uchwara ya kuwa bandari zetu zitakuwa Bora kuliko bandari zozote afrika mashariki kumbe ni upuuzi mtupu.yaani Bado tumezidiwa na bandari ya Mombasa mara elfumoja zaidi.Viongozi wa tz mjitathimini kama hizo nafasi zinawatosha
 
Ndio hatufungui Sasa (geofencing) wakashitaki basi
 
Kenya kwenye maslahi yao kimataifa huwa wako chap kwa haraka.
Hiyo Ilikuwa zamani hivi sasa huwa tukiwang'amua Manyang'au mapema na kubadili gia.

Mama akifyeka magugu yote yaliyobaki kwenye cabinet, Kenya watatuamkua tu!!

SGR kufika Mwanza na Kigoma kutaua Mombasa port mazima maana mzigo utatoka Dar hadi Kahama kwa masaa machache tu!!

Hii ni vita ya kiuchumi hakuna ujirani wala kuoneana huruma ni kuwakazia tu Kenya much know sana suti kali mtu jobless!!
 
Nchi ya Kenya Kupitia Mgongo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC inafanya juhudi kubwa ya kuishinikiza na kuihujumu Tanzania Kwa kuwarubuninkina Rwanda,Burundi na DRC Ili kufungua njia Mpya ya usafiri wa barabara.

Ushoroba unaopigiwa chapuo na Kenya ni WA Central Corridor ambao unaanzia Barabara ya Kutoka Mombasa-Voi-Taveta/Holili-Arusha-Singida Hadi Bujumbura via Kahama kwamba itapunguza umbali wa Transit goods Kwa zaidi ya km 350 badala ya Ushoroba wa Northern Corridor wa kutoka Mombasa-Kampala-Kigali Hadi Rwanda/DRC.

Lengo la Kenya sio kuwasaidia wasafirishaji Bali ni kuua Bandari ya Dar na kupokonya Wateja wa Tanzania ambao ni Rwanda,Burundi na Kaskazini mwa DRC ambao wanatumia Njia ya kuanzia Bandari ya Dar-Moro-Dodoma-Singida-Kahama Hadi Nchi hizo.

Naomba Serikali isikubali Kufa ya jambo hili Kwa Kisingizio Cha mtengamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na kukuza biashara maana itapunguza zaidi ya robo ya mizigo Bandari ya Dar na kuifaidisha Mombasa.

My Take: Kama Wakenya Wana hamu sana ya Kutumia njia hiyo ni Bora Serikali iwaeleze kwamba itafungua njia hiyo mara baada ya kukamilisha ujenzi wa njia zifuatazo:

1. Kupanua kina na kununua vifaa vya Kisasa Bandari ya Tanga.

2. Kujenga Barabara ya Kutoka Tanga-Handeni-Kibaya-Chemba-Singida

3. Kujenga SGR ya kutoka Tanga-Same-Arusha-Musoma

4. Kujenga na kuimarisha Bandari ya Musoma pamoja na kununua meli ya kubeba treni/behewa za mizigo.

Tukifanya hayo ndio Sasa tutaweza kushindana vizuri na Bandari ya Mombasa vinginevyo itakuwa ni kujitia dole mwenyewe na kupoteza pambano la Biashara ya logistics Kwa knockout.

@) Greenline ndio WaKenya wanapigia chapuo.

b) Blueline ndio njia proposed ya Serikali Kujenga.

View attachment 3054817

===========

Transporters accuse Tanzania of laxity in geofencing the Arusha-Singida road, which forms part of the Northern Corridor, but some observers blame it on the insidious competition for business between Mombasa and Dar es Salaam ports.

If the corridor increases efficiencies, importers and exporters in some parts of Tanzania, Burundi and DRC might prefer Mombasa to Dar es Salaam as their port of choice.

Transporters between Mombasa and Bujumbura are yet to fully utilise the Voi-Taveta/Holili-Arusha-Singida road network, part of the trunk road between the two cities, because Tanzania is yet to geofence the Arusha-Singida stretch.

A road is geofenced when it has inspection points, and cargo passing through it can be tracked electronically for taxation and to avoid dumping of goods.

Geofencing guards against theft and loss of cargo while in transit.

The highway, covering 1,545km, was completed in 2018, and is meant to reduce the transit distance from Mombasa to Bujumbura on the Northern Corridor by 358 kilometres.

“We are caught up between the regional ports scramble for business, and that is why we can’t ferry goods past the Taveta One-Stop Border Point, as, past there, the goods would not be tracked and would therefore be declared stolen,” explained Hamisi Juma, a Mombasa transporter.

The Citizen
Kwani hio Barabara imefungwa? mbona gari za Rwnda na Burundi zinaitumia sana? nenda Holili
 
Upo sawa ila kwa sasa tujikite kujenga SGR kutoka Bagamoyo/ Tanga ipite mikoa linapopita Bomba la Mafuta la Hoima hadi Kagera, Uganda na Rwanda. Then focus iwe kuifikisha SGR hiyo Kaskazini mwa Congo, Sudani Kusini na Baadae Afrika ya Kati.
 
Upo sawa ila kwa sasa tujikite kujenga SGR kutoka Bagamoyo/ Tanga ipite mikoa linapopita Bomba la Mafuta la Hoima hadi Kagera na Rwanda. Then focus iwe kuifikisha SGR hiyo Kaskazini mwa Congo, Sudani Kusini na Baadae Afrika ya Kati.
Safi, well said
 
SGR au hata MGR ya TANGA-SAME-SINGIDA-MUSOMA, tukaboresha bandari ya Tanga na kuweka Meli kadhaa za mizigo pale Musoma inaweza kuwa game changer kwawafanyabiashara wa Uganda, South Sudan nk.

Kujenga DRY port kubwa pale Tunduma, kuboresha Tazara na kuiungasha reli pale Makambako na bandari ya Mtwara, kuboresha bandari ya Mtwara.
Mizigo yote inayokwenda DRC, Zambia, Malawi nk destination inakuwa Tunduma Dry port na sio Dar es salaam port au Mtwara port.

Tanzania Ina potential kubwa sana kuwa economical superpower wa Africa kama watu wetu watatuliza vichwa/ kizazi kingine chenye fikra pevu na haraka kikishika dola.
Tunahitaji twist ndogo sana kuibadili nchi Kwa muda mfupi sana.
Siamini kama hawa tulionao wanaweza kuwa na akili yakuitoa nchi hapa.
 
Waruhusu tu, kwetu hatunaga baya.
Huo mlima Kilimanjaro nao mkitaka chukueni, au tuwape wazungu
 
Back
Top Bottom