Kenya yaja na muundo mpya wa Jeshi la Polisi

kenya unaijua....kukubwa, je tatizo la rushwa litaisha kwa mfumo huu? kule wanaita tkk-toa kiti kidogo, siyo rahisi kma hata katiba walibadilisha lkn bdo mfumo wa rushwa uko pale pale mkuu.
Kenya nimewapongeza tu, niliowaongelea ni Tanzania.
 
Force means army
The force against offenses and offenders hata ikiwa service kama ni nature ya police wa Tanzania kua brutal ndio on the spot the situation will reverse 🔀 in the notch of name or what?
 
Force means army
The force against offenses and offenders hata ikiwa service kama ni nature ya police wa Tanzania kua brutal ndio on the spot the situation will reverse 🔀 in the notch of name or what?
Tunapoongelea kuwa na Police Service haimaanishi renaming. JWTZ ni Force na Polisi nao ni Force lakini wana misingi na majukumu tofauti. Hivyo tunapoongelea Police Service maana yake tunaongelea mabadiriko kuanzia kwenye elimu, utendaji na uendeshwaji wake siyo just renaming.
 
And thus you should stick into, sababu ukisema tu hatutaki force in front of the police while mentioning it ni useless tu sababu maana ya force ni jeshi labda tubadilishe tusiite jeshi la police tuite huduma ya police vile vile sasa hapo sijui jambazi mwenye AK 47 mwenye njaa ya kumwaga damu za watu anahitaji huduma gani kutoka kwa police
 
Ahaaa haaa haaa
ukisema police is synonymous to force.
 

Hapana, Force ni lazima iendelee ku exists ndiyo maana katika comment yangu nikaigusia Field Force Unit (FFU).
Kwa historia, tabia, mazingira na hata uchumi wa Mwaafrika na maeneo mengi duniani bado Police Force inahitajika kuliko maelezo.
 
Tenda ya sare hiyo hakuna kingine
Wangesema wamefanikiwa na kupambana na rushwa hapo ningeelewa.

Hizi zingine ni upigaji tu wa hela
 
Reactions: Oii
Wakenya wamesema hizo sare ni mbovu kupindukia. Nimependa walivyotupilia mbali vile vitengo tofauti vya A.P(Polisi wa Utawala) na Kenya Police. Sasa wote watakuwa chini ya kitengo kimoja na watafanya kazi kwa pamoja.
 
Kenyan Monkeys hawamuelewi kabisa Uhuruto uko Twitter
 
Hata mbadili nguo na manenoo lakini kama viongozi wenu hawajui kujali utu na watu masikini haina haja ya hayoo yotee. Rushwa haishii kwa kuvaa na kubadili manenoo ya juu ya police. Ombeni kiongozi boraaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…