Kenya yaja na muundo mpya wa Jeshi la Polisi

1954tanu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,038
Reaction score
487
Serikali ya Kenyà imebadili muundo wa Jeshi la Polisi ambapo sasa vyeo vya kipolisi vimebadilika na hata sare za jeshi hilo zimebadilishwa. Jeshi limebadilishwa kutoka Kenya Police Force na kuwa Kenya Police Service.

Mabadiliko hayo yamekuja ili kulifanya jeshi liwahudumie wananchi tofauti na ilivyokuwa awali.
 
Serikali ya Kenyà imebadili muundo wa Jeshi la Polisi ambapo sasa vyeo vya kipolisi vimebadilika na hata sare za jeshi hilo zimebadilishwa. Jeshi limebadilishwa kutoka Kenya Police Force na kuwa Kenye Police Service.

Mabadiliko hayo yamekuja ili kulifanya jeshi liwahudumie wananchi tofauti na ilivyokuwa awali.
Mbona haya madiliko toka Kenya Police Force kuwa Kenya Police Service yalifanyika zamani wakati wa Katiba mpya, au leo wamebadili tena? Au wamebadili tu uniform?
 
Wamebadili uniform, ila aliezichagua sijui alikuwa na akili ya wapi
 
Niliskia kauli yake moja kuwa kutoka kuwa feared force mapka kuwa respected force kunalakujifunza hapa
 
Mkuu weka picha.
Hapo.

1536960723500.png
 
Ndo zile za blue. Wenyewe wanajiita the blues hahahaaa
Wameachana na Jungle Uniforms ili kuleta maana halisi ya Police Service.
By the way nawapongeza sana. Kwa miaka mingi nimekuwa nikilipigia kelele suala hilo huko nchini Tanzania kwamba Jeshi letu la Polisi libadirike kutoka Police Force kwenda Police Service lakini wapi na siku waliposikia ndiyo eti wakaja na Polisi Jamii.
Kwa mazingira ya mchi yetu bado tunahitaji sana kiwa na Police force kwa kuwa tayari tuna Field Force Unit hiyo ingetosha ma haya maeneo mengine yangebaki kutoa services tu. Just imagine hadi trffic ni Police Force, ugomvi wa mke kutukanana na mume majirani wanaripoti Polisi inakuja defender imejaa Polisi wenye silaha za moto hasa....huu si ukichaa huu?
 
kubadilika jina cyo kubadilisha utendaji wa kazi, je kubadilisha jina kutatoa ulaji rushwa kwenye hiki kitengo ambpo imekithir kuliko jeshi lolote barani Afrika?
 
Kwahiyo sasa polisi wa kenya hawatumii siraha za moto na nguvu tena si ndio???
 
kubadilika jina cyo kubadilisha utendaji wa kazi, je kubadilisha jina kutatoa ulaji rushwa kwenye hiki kitengo ambpo imekithir kuliko jeshi lolote barani Afrika?
Kuna anayeongelea kubadirika kwa jina hapa? Unapoongelea Police Service hapo unaongelea mabadiriko ya muundo na zaidi utendaji. Ambao msingi wake unajengwa kwenye mafunzo ya awali ya Polisi.
 
kenya unaijua....kukubwa, je tatizo la rushwa litaisha kwa mfumo huu? kule wanaita tkk-toa kiti kidogo, siyo rahisi kma hata katiba walibadilisha lkn bdo mfumo wa rushwa uko pale pale mkuu.
 
Back
Top Bottom