joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Tuliwaambia vita vya biashara vitaumiza uchumi wa Kenya kwasababu Kenya haijitoshelezi kwa mambo mengi inategemea majirani zake hasa Tanzania kwa mambo mengi sana, hasa chakula na raw materials kwa ajili ya viwanda vyake, huu ni mwanzo tu, utasikia viwanda vingi vya Kenya vinaupungufu wa raw materials.
Ni mtu mjinga pekee atakayefurahia kuuza raw materials kwasababu huko ni sawa na kutengeneza ajira nchi jirani, tutafurahia kama mtaagiza processed milk and milk products, na sio raw milk, kamwe hatutowauzia