Kenya yajiandaa kuagiza maziwa lita milioni 200 kutoka kwa majirani, haya wenye akili changamkieni fursa

Kenya yajiandaa kuagiza maziwa lita milioni 200 kutoka kwa majirani, haya wenye akili changamkieni fursa

Tuliwaambia vita vya biashara vitaumiza uchumi wa Kenya kwasababu Kenya haijitoshelezi kwa mambo mengi inategemea majirani zake hasa Tanzania kwa mambo mengi sana, hasa chakula na raw materials kwa ajili ya viwanda vyake, huu ni mwanzo tu, utasikia viwanda vingi vya Kenya vinaupungufu wa raw materials.

Ni mtu mjinga pekee atakayefurahia kuuza raw materials kwasababu huko ni sawa na kutengeneza ajira nchi jirani, tutafurahia kama mtaagiza processed milk and milk products, na sio raw milk, kamwe hatutowauzia
 
WaTz labda utupe mtindi (yogurt) na hapo ni wa kula na ugali...

Ila tamaduni ya kunywa maziwa fresh ni kama hakuna na sio kutokana na kipato ila ni DESTURI kama ulivyosema... najua wajua kuwa kila soko lina tabia zake na hiyo ndo tabia ya Tz ... by the way karibu tule senene na hayo maziwa utanywea Kenya [emoji4][emoji4][emoji4]

Senene wanaliwa sana kwenye mkoa wa magharibi huku kwetu, kabila la shemeji zangu Waluhya wana undugu na Wanyambo na Wahaya wa huko Tanzania, nilishangaa sana tamaduni na desturi zao zinaendana hata lugha zinafanana sana.
 
Upo on point mzee wa kuipenda moro..

Mipaka ilichorwa na mzungu tu ila vipi waluhya hawana show off na elimu karee au huko ligi ni mluo na mkikuyu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upo on point mzee wa kuipenda moro..

Mipaka ilichorwa na mzungu tu ila vipi waluhya hawana show off na elimu karee au huko ligi ni mluo na mkikuyu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hehehe! Inshomire hiyo ipo tu kwa Wahaya (Tz) na Wajaluo (Ke)....
....A luo does not just hear and understand; A Luo deciphers meaning from contexts
 
Hehehe! Inshomire hiyo ipo tu kwa Wahaya (Tz) na Wajaluo (Ke)....
....A luo does not just hear and understand; A Luo deciphers meaning from contexts
Nshomire mpaka form six but no job [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. wazee wa lugha tatu

Ila waluo (wajaluo) wanapenda kujisifu sana na hata wahaya wanaeza wasilingane nao kabisa.. Halafu back in school wale wajaluo pure waliweza kuongea kiingereza clean kuliko kiswahili, ilikuwa raha sanaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio nilichokua nakuambua kwenye uzi mwengine, sababu kuu za umaskini kwenu ni uzembe na chuki, maana kwa mfano hapa sisi pamoja na kainchi ketu kadogo na nusu yake kame tupu, tunazalisha maziwa kuwazidi nyie, sasa imetokea tunahitaji zaidi hivyo inatubidi tusake kutoka kwa majirani, sasa nyie mna nchi kubwa yenye rotuba kila mahali badala ya kutumia ubongo muwekeze kwenye ukulima na kuwa bread basket wa Afrika, mumekalia uzembe na kauli za chuki eti sijui mara Tanga freshi mara nini.

Umaskini utawatesa sana kwa muda mrefu huku mkiangalia raslimali na macho hamjui mufanye nini.
Kwanini nyinyi msitumie ubongo kufuga ng'ombe wenu wakawatosheleza? Oh nimesahau hata chakula hamjitoshelezi ndio maana Turkana kuna njaa inaua watu. Tumieni akili zenu mzalishe vyakula vya kuwatosha
 
Endelea kusikia,juzi kati hapa Kiwanda cha Tanga fresh walikua wanatangaza masoko yaani wanapata maziwa machache ,kiwanda chao kina uwezo mkubwa zaidi. ..Lakini ni uongo mpate maziwa ghafi kutoka Tz ...Serikal hii haitaki kuuza vitu ghafi tena, mkishauziwa nyie mnayaongezea thaman alafu mtuuzie tena...iyo haiwezekan utawala huu...Nimewaambia fugeni ng'ombe naona hamuelewi ....Sio kwamba tunawaonea wivu hapana,hakuna haja ya kufanya hivyo hata huku kun viwanda vingi vya kuchakata maziwa

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Unabisha kwamba huwa hamnywi maziwa? Hao unaowaambia wafuge ng'ombe wanafuga, wanazalisha, wanaprocess na kuyanywa maziwa zaidi yenu. Hiyo hoja yako haina mashiko. Nina uhakika wakulima wenu wangefaidi mno na bei nafuu zaidi kwa mazao yao kama wangekuwa huru kuchangamkia fursa kama hizi. Sema mzee wenu wa mikwara huwa anawaza tu kuonekana mbabe mbabe kwenye kila jambo.
 
Halafu hii desturi ya wao kutokupenda kunywa maziwa niliishangaa sana, siku zote nilikua najua ni Dar tu maana kule ni pwani, lakini niliikuta hata kule mikoani.
Hawa wenzetu huwa hawanywi maziwa na wala hawajui umuhimu wa maziwa sanasana kwa watoto ambao bado wanakua. Nawaonea huruma watoto wa kitanzania ambao huwa wananyweshwa Azam Energy Drink badala ya maziwa. [emoji1]
 
Unabisha kwamba huwa hamnywi maziwa? Hao unaowaambia wafuge ng'ombe wanafuga, wanazalisha, wanaprocess na kuyanywa maziwa zaidi yenu. Hiyo hoja yako haina mashiko. Nina uhakika wakulima wenu wangefaidi mno na bei nafuu zaidi kwa mazao yao kama wangekuwa huru kuchangamkia fursa kama hizi. Sema mzee wenu wa mikwara huwa anawaza tu kuonekana mbabe mbabe kwenye kila jambo.
Hahahahaha, tuliwaambia kwamba hii vita ya Kenya na Tanzania itaathiri zaidi uchumi wa Kenya kuliko Tanzania kwasababu Kenya inaitegemea Tanzania katika maeneo mengi sana. Tunaanza na raw materials ya viwanda vyenu, viwanda vinavyofuatia kuathirika ni viwanda vya nguo, soon tunapiga marufuku kuwauzia pamba.
 
Hahahaha kunywa maziwa iko kwenye damu ni gene zetu hatunywi maziwa na sio peke yetu wapo wengi duniani hawatumii maziwa kwa maisha yao
Hebu jipe mda kidogo usome
Nyie mnakunywa sana maziwa lakini sisi mwili haulazimishwi
Hata China hawanywi maziwa hivyo na wasomali bila maziwa haishi haha
Kwahivyo huwa hamnywi maziwa kwasababu ya mila au ni dini ndio hazikubali? Maanake mkisha nyweshana sumu huwa hamsahau maziwa. Mbona naona kama huo ni uhuni flani tu, eti wa kubana matumizi? 😀
 
Kwahivyo huwa hamnywi maziwa kwasababu ya mila au ni dini ndio hazikubali? Maanake mkisha nyweshana sumu huwa hamsahau maziwa. Mbona naona kama huo ni uhuni flani tu, eti wa kubana matumizi? 😀
Tunaogopa tukinywa maziwa tutaanza kubaguana kutokana na makabila yetu, hatutaki ukabila. Soon tunapiga marufuku kuwauzia pamba, 80% ya pamba inayotumika katika viwanda vya Kenya hutokea Tanzania.
 
Kwahivyo huwa hamnywi maziwa kwasababu ya mila au ni dini ndio hazikubali? Maanake mkisha nyweshana sumu huwa hamsahau maziwa. Mbona naona kama huo ni uhuni flani tu, eti wa kubana matumizi? 😀
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sio hivyo mkuu, ukisoma genetics of lactose intolerance utaelewa nina maana gani na wala haihusiani na dini wala mila
Utashangaa hata Europeans walifundishwa na Russians kunywa maziwa just 4000 years ago walikuwa hawajui kunywa maziwa ya ng'ombe

Wapo watu wengi sana wanakunywa maziwa au kupewa maziwa na mama wakiwa wadogo tu lakini wanapokuwa huacha kabisa
Hii ni kama wanyama wanakunywa wakiwa wadogo tu na wakikuwa hawanywi tena (hii nimechomekea ok)
Lakini ukibukua kidogo utaona mengi sana na nyie jirani mmefundishwa kunywa maziwa na mmekuwa wakubwa na kuendelea kunywa
Kwetu ukiuliza hata humu mtu amekunywa maziwa lita ngapi kwa wiki utashangaa majibu yetu
Sio hatumudu hapana bali sio mazoea kwa wengi mbali na wafugaji
Lakini mimi nakunywa kiasi ingawa sio mpenzi hivyo
 
Eyce maziwa sio ya kunywa fresh peke yake, kuna other products zitokanazo na maziwa alafu pia ni mzuri kubadilika kiukulima kulingana na technologia.
 
Hawa wenzetu huwa hawanywi maziwa na wala hawajui umuhimu wa maziwa sanasana kwa watoto ambao bado wanakua. Nawaonea huruma watoto wa kitanzania ambao huwa wananyweshwa Azam Energy Drink badala ya maziwa. [emoji1]

Cow milk is not recommend food substitute for infants. Acha kujitia ujuaji boss,
Even for toddlers there is nothing special apart from Calcium that they need from whole milk,
Get some basics ..
 
joto la jiwe Kenya ni kama Israel, tunakuza na kununua toka kwa nchi kama tz na ndio sababu kuuuu tuko level moja na Morocco,Algeria,Egypt,SA na Nigeria...mkifikia Ghana tafadhali tag us.
 
Cow milk is not recommend food substitute for infants. Acha kujitia ujuaji boss,
Even for toddlers there is nothing special apart from Calcium that they need from whole milk,
Get some basics ..
Usilete ujuaji wako hapa nimewataja wapi infants au substitute? Umesema mwenyewe kwamba kuna Calcium kwenye maziwa. Sasa sielewi ubishi mwingi ni wa nini.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sio hivyo mkuu, ukisoma genetics of lactose intolerance utaelewa nina maana gani na wala haihusiani na dini wala mila
Utashangaa hata Europeans walifundishwa na Russians kunywa maziwa just 4000 years ago walikuwa hawajui kunywa maziwa ya ng'ombe

Wapo watu wengi sana wanakunywa maziwa au kupewa maziwa na mama wakiwa wadogo tu lakini wanapokuwa huacha kabisa
Hii ni kama wanyama wanakunywa wakiwa wadogo tu na wakikuwa hawanywi tena (hii nimechomekea ok)
Lakini ukibukua kidogo utaona mengi sana na nyie jirani mmefundishwa kunywa maziwa na mmekuwa wakubwa na kuendelea kunywa
Kwetu ukiuliza hata humu mtu amekunywa maziwa lita ngapi kwa wiki utashangaa majibu yetu
Sio hatumudu hapana bali sio mazoea kwa wengi mbali na wafugaji
Lakini mimi nakunywa kiasi ingawa sio mpenzi hivyo
Hata baniani naye pia huwa anasema kwamba ana allergy ya bidhaa flani kama bei yake haijampendeza. [emoji1]
 
Back
Top Bottom