Kenya yakumbwa na baa kubwa la njaa, tayari watu 150k wanahitaji msaada wa dharura

Kenya yakumbwa na baa kubwa la njaa, tayari watu 150k wanahitaji msaada wa dharura

Wakati jpm anatuambia tuendelee kulima mashambani, walikuwa wanatucheka kwamba tutakufa kama nzi na Corona
Kwa hivo within 3 weeks mushalima, kupanda na kuvuna chakula? Mazuzu wengine ni Kama mnatumia uji badala ya akili.
 
Msichague chakula majirani hata mihogo mchukue tu kutoka Bongo si lazima mke githeri kipindi hiki.
 
Kenya inashughulikiwa kila upande na majanga tofauti, njaa imeshaanza kuwang'ata huku Corona ikiwapuliza na locust wakiwapetipeti 😅😅😅😅

View attachment 1427088
Hii sio habari nzuri Wala haifurahishi, na haikupaswa kuandika kishabiki namna hii. Jirani yako ni ndugu yako. Nyumba ya jirani inapowaka kamsaidie kuzima Moto usije rukia nyumbani kwako.
Tuomboleze na waombolezao.
I love Kenya, I love Kenyans.
MK254
 
Nani amewaomba msamaha???
Serikali ya Kenya itashughulika
 
Yaani hawa jamaa wanajiona wajanja na kizungu chao feki lakini hawana lolote. Sasa wameanza kulia njaa barabarani, tena mchana kweupee.

 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom