Mr JM
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 266
- 466
Sasa Mkuu unafurahia matatizo ya mwenzako as if walipenda tambua hizo zote ni majanga hata katika nchi yeyote yaweza fika bro be wise weee utakuwa mchawi haswaKenya inashughulikiwa kila upande na majanga tofauti, njaa imeshaanza kuwang'ata huku Corona ikiwapuliza na locust wakiwapetipeti 😅😅😅😅
View attachment 1427088