Kenya yakumbwa na baa kubwa la njaa, tayari watu 150k wanahitaji msaada wa dharura

Kenya yakumbwa na baa kubwa la njaa, tayari watu 150k wanahitaji msaada wa dharura

Wanatuonea wivu Sana WATANZANIA ila BAVICHA hawajui hilo

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Wakenya njaa ni kama ilishawaoa na ina watoto nae

Sijawahi kusikia miezi 6 inapita bila njaa kuicharaza Kenya, iwe mvua liwe jua, Kenya njaa kwao ni Pete na kidole

Tukiwaambia ninyi hamjiwezi sababu matumbo yenu yamewashinda kuyahudumia wanaleta makasiriko 😅😅😅😅
 
Really!? Kuna msanii popular wa kimarekan ana hilo jina;unamjua? Or it isn't ur cup of tea
Jina km hilo kw mwanaume labda nickname...
Screenshot_20200423-213413_Opera%20Mini~2.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom