NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Kwa hivo within 3 weeks mushalima, kupanda na kuvuna chakula? Mazuzu wengine ni Kama mnatumia uji badala ya akili.Wakati jpm anatuambia tuendelee kulima mashambani, walikuwa wanatucheka kwamba tutakufa kama nzi na Corona
Nyinyi ya cut and paste yamewafikisha wapiMadhara ya copy and paste kutoka kwa mabwana zao badala ya kuangalia njia zinazofaa na kuendana na hali ya nchi yako ndio haya sasa.
Haitaki makasiriko.
mku**nd# wako
Hakuna chakula chochote kimetolewa bongo sistee. Dola flour is a Kenyan brand.Msichague chakula majirani hata mihogo mchukue tu kutoka Bongo si lazima mke githeri kipindi hiki.
Hii sio habari nzuri Wala haifurahishi, na haikupaswa kuandika kishabiki namna hii. Jirani yako ni ndugu yako. Nyumba ya jirani inapowaka kamsaidie kuzima Moto usije rukia nyumbani kwako.Kenya inashughulikiwa kila upande na majanga tofauti, njaa imeshaanza kuwang'ata huku Corona ikiwapuliza na locust wakiwapetipeti π π π π
View attachment 1427088
Hahaaa!!juzi tu mlinengua viuno mliposikia zile habari feki kutoka kwa mabeberu kuhusu jiweHakuna kitu kinachompa furaha mkenya kama kusifiwa na mizungu.
am not a miss
Hahaaa!!juzi tu mlinengua viuno mliposikia zile habari feki kutoka kwa mabeberu kuhusu jiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini Nelly akawa mrembo