Kenya yakumbwa na baa kubwa la njaa, tayari watu 150k wanahitaji msaada wa dharura

Wanatuonea wivu Sana WATANZANIA ila BAVICHA hawajui hilo

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Wakenya njaa ni kama ilishawaoa na ina watoto nae

Sijawahi kusikia miezi 6 inapita bila njaa kuicharaza Kenya, iwe mvua liwe jua, Kenya njaa kwao ni Pete na kidole

Tukiwaambia ninyi hamjiwezi sababu matumbo yenu yamewashinda kuyahudumia wanaleta makasiriko 😅😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…