Kenya yakumbwa na baa kubwa la njaa, tayari watu 150k wanahitaji msaada wa dharura

Kenya inashughulikiwa kila upande na majanga tofauti, njaa imeshaanza kuwang'ata huku Corona ikiwapuliza na locust wakiwapetipeti πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

View attachment 1427088
Sasa Mkuu unafurahia matatizo ya mwenzako as if walipenda tambua hizo zote ni majanga hata katika nchi yeyote yaweza fika bro be wise weee utakuwa mchawi haswa
 
Mbona mlikuwa mnakula mijeledi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa ni juzi tu wametuma tani kibao za matunda kwenda uingereza. Ifike muda waafrika tuanze kutumia akili asee!
Halafu wakajisifu ile mbaya; hawa nyang'au sijui akili zao zikoje. Za'izi wanaanza kulia njaa na kumlaumu rais wao Uhuru eti ni mlevi na mvuta bangi. Hawajui waingereza wanawachora tu.
 
Halafu wakajisifu ile mbaya; hawa nyang'au sijui akili zao zikoje. Za'izi wanaanza kulia njaa na kumlaumu rais wao Uhuru eti ni mlevi na mvuta bangi. Hawajui waingereza wanawachora tu.
Hko kwenu basi kuna uhuru gani, wakati mtu akisema ukwel km mitaani kuna njaa rais hujipiga kifua na kusema hao jamaa ni wapiga dili...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya wananifurahisha sana na harakati zao zakuiga kila kitu mzungu, Sasa ni juzi tu katuma matunda UK kumbe Raia wake wanakufa njaa bna
 
Juzi Kati apa walipigwa na wachina , kidogo Tu nzige wakawatandika, hawajakaa Sawa, korona inawatafuna, Leo tena njaa!!! Vp Kingereza hakieleweki au? Hawa c wanaongea English? Hahaaa njaa haina English matheee
Madhara ya copy and paste kutoka kwa mabwana zao badala ya kuangalia njia zinazofaa na kuendana na hali ya nchi yako ndio haya sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…