pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Watz mnawaogopa sana wanyarwanda. Rais Paul Kagame anawatumia majasusi wake kuwatafuta wapinzani wake ambao ni miongoni mwa wanyarwanda wanaozidi kuhamia Kenya kwa wingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyarwanda wapo nchini tumesoma nao humu nchini wakifaulu kutoka ktk kambi zao na wengine wakiishi uraiani tumeendelea kusoma nao hadi vyuo vikuu wapo wameajiriwa na serikali yetu wengine wamepata na uraia kabisa lakini hiyo haiwaondolei ukweli kuwa ni watusi ,wahutu na wengineo kwani wana ndg huko kwao na wana mawasiliano.Mzee unaweza kuthibitisha haya unayosema au ni mawazo yako yaliyoaminishwa na Maneno ya kusikia?
kagame sio tishio kivile,kwanza keshazeeka,umri aliobakiza hapa duniani ni mchache kuweza kufanya lolote la kutisha,tunamkuza sana huyu kiberenge
Watz mnawaogopa sana wanyarwanda. Rais Paul Kagame anawatumia majasusi wake kuwatafuta wapinzani wake ambao ni miongoni mwa wanyarwanda wanaozidi kuhamia Kenya kwa wingi.
Kabisaa.Japo mm co ccm ila kwa hil naunga mkono.Jpm si pandikiz la kagame wala haungi mkono maslah ya kagame na hajawah.Jpm na serikal ya tz ni wadau wakubwa wa Burundi kuliko Rwanda na Kagame.
Licha ya udhaif unaoenekana kwa viongoz wa ccm katika mambo mengi ila kwenye nyanja hii ya usalama wa kitaifa JK na panel nzima isingeweza kujua kama Pk kampandikiza jpm.
Wakimbizi wa kisiasa kutoka Rwanda wamehamia kwa wingi sana Kenya.Kwa mfano mpinzani gani anayetafutwa na Kagame aliyeko Nairobi?
Weka mfano mkuu,wapinzani gani wa kisiasa walioko Nairobi?Wakimbizi wa kisiasa kutoka Rwanda wamehamia kwa wingi sana Kenya.
Mbona Barack Obama alikua rais wa Marekani wakati baba yake ni mkenya?, Mbona wahamiaji wengi toka nchi mbalimbali waliohamia Europe, Canada, Australia na USA wanasoma huko na kuajiriwa?.Wanyarwanda wapo nchini tumesoma nao humu nchini wakifaulu kutoka ktk kambi zao na wengine wakiishi uraiani tumeendelea kusoma nao hadi vyuo vikuu wapo wameajiriwa na serikali yetu wengine wamepata na uraia kabisa lakini hiyo haiwaondolei ukweli kuwa ni watusi ,wahutu na wengineo kwani wana ndg huko kwao na wana mawasiliano.
Sikurupuki kuandika hiki wapo kwa sasa wamekuwa wenyeviti wa mitaa,wenyeviti wa vyama wilaya hadi mikoa.Upo mkoa mmoja nchini mwenyekiti wake wa mkoa ni mkazi wa Rwanda aliyejipatia uraia hapa kwani wazazi wake walifika huku wakaweka makazi na kuishi but ni mtusi pure.
Vikao vya nec yumo kwanini asije siku moja akawa raisi wa nchi na hata asipofanikiwa siri za nchi atazijua na aweza kuzilikisha kwa kagame vyema.
Kwa taarifa yako kagame anaijua tz yetu kuliko hata ikulu yake.
Boss wakimbizi wa kisiasa lazima wawe watu mashuhuri ambao wanajulikana na kila mtu? Si huwa wanafanya mambo yao bila ya kujitambulisha kwa usalama wao? Au unataka kusema kwamba wanyarwanda hawapo Kenya, wakati wanaonekana wazi kwa mavazi, lugha na zile nyimbo zao za kilokole? Mimi mwenyewe nimeongea nao, wana hadi kanisa lao la dhehebu fulani ya kinyarwanda kwenye highway ya Nairobi- Namanga. Ila sidhani hizi habari za kufukuzwa kwa balozi wao ni za kweli.Weka mfano mkuu,wapinzani gani wa kisiasa walioko Nairobi?
Hapo Nairobi PK alishamuua Sendashonga na businessman wa Kinyalu mpk wakavunja mahusiano ya kibalozi mwaka 1998.
Hakuna mpinzani wake wa maana atakimbilia Nairobi.
Marekani ni nchi isiyokuwa na mwenyewe inacombine mataifa yote duniani.Jiulize ni watanzania wangapi wameajiriwa Rwanda wakifanya kazi kama nyie mlivyo huku tz.Mbona Barack Obama alikua rais wa Marekani wakati baba yake ni mkenya?, Mbona wahamiaji wengi toka nchi mbalimbali waliohamia Europe, Canada, Australia na USA wanasoma huko na kuajiriwa?.
Kuna haki za wakimbizi wanapokua ukimbizini, ikiwemo haki ya kupata elimu na kuajiriwa katika nchi alikokimbilia. Kati ya wanyarwanda na warundi, warundi ni wengi zaidi waliosoma na kuajiriwa nchini, kwa nini usitilie wasiwasi juu ya wasomali walivyoingia na kushika nyadhifa nchini Kenya, unahofia wanyarwanda ambao hata ukiulizwa utaje mmoja tu aliyepo katika nafasi ya juu serikali utashindwa badala yake utaendelea kuzungumza mambo ya kufikirika yasiyokua na ushahidi?
Funguka.kitendo pia kilichowakosanisha na M7 ingawaje baadhi ya nchi walifanikiwa.
JiongezeFunguka.
Acha mbwembwe wewe. Watoe wapi hizo info? Na kama wanazo kilitokea nn?Hawataweza kwa hilo nakuhakikishia.mpaka sasa immigration inaorodha ya wanyarwanda ,warundi, wakamba wote waliozaliwa hapa Tanzania na wameandikishwa kwa majina hata kama mzazi wako alikuja kabla ya Uhuru wa Tanganyika. Hizi nakupa ni info za ndani.
Boss wakimbizi wa kisiasa lazima wawe watu mashuhuri ambao wanajulikana na kila mtu? Si huwa wanafanya mambo yao bila ya kujitambulisha kwa usalama wao? Au unataka kusema kwamba wanyarwanda hawapo Kenya, wakati wanaonekana wazi kwa mavazi, lugha na zile nyimbo zao za kilokole? Mimi mwenyewe nimeongea nao, wana hadi kanisa lao la dhehebu fulani ya kinyarwanda kwenye highway ya Nairobi- Namanga. Ila sidhani hizi habari za kufukuzwa kwa balozi wao ni za kweli.