Kenya yamtimua balozi wa Rwanda

Kenya yamtimua balozi wa Rwanda

Watz mnawaogopa sana wanyarwanda. Rais Paul Kagame anawatumia majasusi wake kuwatafuta wapinzani wake ambao ni miongoni mwa wanyarwanda wanaozidi kuhamia Kenya kwa wingi.
 
Mzee unaweza kuthibitisha haya unayosema au ni mawazo yako yaliyoaminishwa na Maneno ya kusikia?
Wanyarwanda wapo nchini tumesoma nao humu nchini wakifaulu kutoka ktk kambi zao na wengine wakiishi uraiani tumeendelea kusoma nao hadi vyuo vikuu wapo wameajiriwa na serikali yetu wengine wamepata na uraia kabisa lakini hiyo haiwaondolei ukweli kuwa ni watusi ,wahutu na wengineo kwani wana ndg huko kwao na wana mawasiliano.
Sikurupuki kuandika hiki wapo kwa sasa wamekuwa wenyeviti wa mitaa,wenyeviti wa vyama wilaya hadi mikoa.Upo mkoa mmoja nchini mwenyekiti wake wa mkoa ni mkazi wa Rwanda aliyejipatia uraia hapa kwani wazazi wake walifika huku wakaweka makazi na kuishi but ni mtusi pure.
Vikao vya nec yumo kwanini asije siku moja akawa raisi wa nchi na hata asipofanikiwa siri za nchi atazijua na aweza kuzilikisha kwa kagame vyema.
Kwa taarifa yako kagame anaijua tz yetu kuliko hata ikulu yake.
 
Si huyu nilimwona juzi tu kwenye televisheni akiongea mambo ya 1994 sasa katimuliwa lini na nani
 
kagame sio tishio kivile,kwanza keshazeeka,umri aliobakiza hapa duniani ni mchache kuweza kufanya lolote la kutisha,tunamkuza sana huyu kiberenge
 
Habari ya uongo mtupu,jamiiforum imeanza kua source ya fake news.

Huyo balozi yupo na anapiga kazi kama kawa hapo Nairobi wala hawana kwere yoyote na serikali ya Kenya.

Muwe mnaangalia na source za habari zenu.
 
Ila angekua hajazeeka ndo angekua tishio au?
kagame sio tishio kivile,kwanza keshazeeka,umri aliobakiza hapa duniani ni mchache kuweza kufanya lolote la kutisha,tunamkuza sana huyu kiberenge
 
Kwa mfano mpinzani gani anayetafutwa na Kagame aliyeko Nairobi?

Watz mnawaogopa sana wanyarwanda. Rais Paul Kagame anawatumia majasusi wake kuwatafuta wapinzani wake ambao ni miongoni mwa wanyarwanda wanaozidi kuhamia Kenya kwa wingi.
 
Watu wanadhani kumpandikiza rais ni kama unavyopandikiza mahindi sio?

Huyo jamaa mnazidi kumu-overate tu,lkn hizo nguvu mnazosema wala hana hata kidogo.
Kabisaa.Japo mm co ccm ila kwa hil naunga mkono.Jpm si pandikiz la kagame wala haungi mkono maslah ya kagame na hajawah.Jpm na serikal ya tz ni wadau wakubwa wa Burundi kuliko Rwanda na Kagame.
Licha ya udhaif unaoenekana kwa viongoz wa ccm katika mambo mengi ila kwenye nyanja hii ya usalama wa kitaifa JK na panel nzima isingeweza kujua kama Pk kampandikiza jpm.
 
Wanyarwanda wapo nchini tumesoma nao humu nchini wakifaulu kutoka ktk kambi zao na wengine wakiishi uraiani tumeendelea kusoma nao hadi vyuo vikuu wapo wameajiriwa na serikali yetu wengine wamepata na uraia kabisa lakini hiyo haiwaondolei ukweli kuwa ni watusi ,wahutu na wengineo kwani wana ndg huko kwao na wana mawasiliano.
Sikurupuki kuandika hiki wapo kwa sasa wamekuwa wenyeviti wa mitaa,wenyeviti wa vyama wilaya hadi mikoa.Upo mkoa mmoja nchini mwenyekiti wake wa mkoa ni mkazi wa Rwanda aliyejipatia uraia hapa kwani wazazi wake walifika huku wakaweka makazi na kuishi but ni mtusi pure.
Vikao vya nec yumo kwanini asije siku moja akawa raisi wa nchi na hata asipofanikiwa siri za nchi atazijua na aweza kuzilikisha kwa kagame vyema.
Kwa taarifa yako kagame anaijua tz yetu kuliko hata ikulu yake.
Mbona Barack Obama alikua rais wa Marekani wakati baba yake ni mkenya?, Mbona wahamiaji wengi toka nchi mbalimbali waliohamia Europe, Canada, Australia na USA wanasoma huko na kuajiriwa?.

Kuna haki za wakimbizi wanapokua ukimbizini, ikiwemo haki ya kupata elimu na kuajiriwa katika nchi alikokimbilia. Kati ya wanyarwanda na warundi, warundi ni wengi zaidi waliosoma na kuajiriwa nchini, kwa nini usitilie wasiwasi juu ya wasomali walivyoingia na kushika nyadhifa nchini Kenya, unahofia wanyarwanda ambao hata ukiulizwa utaje mmoja tu aliyepo katika nafasi ya juu serikali utashindwa badala yake utaendelea kuzungumza mambo ya kufikirika yasiyokua na ushahidi?
 
Weka mfano mkuu,wapinzani gani wa kisiasa walioko Nairobi?

Hapo Nairobi PK alishamuua Sendashonga na businessman wa Kinyalu mpk wakavunja mahusiano ya kibalozi mwaka 1998.

Hakuna mpinzani wake wa maana atakimbilia Nairobi.
Boss wakimbizi wa kisiasa lazima wawe watu mashuhuri ambao wanajulikana na kila mtu? Si huwa wanafanya mambo yao bila ya kujitambulisha kwa usalama wao? Au unataka kusema kwamba wanyarwanda hawapo Kenya, wakati wanaonekana wazi kwa mavazi, lugha na zile nyimbo zao za kilokole? Mimi mwenyewe nimeongea nao, wana hadi kanisa lao la dhehebu fulani ya kinyarwanda kwenye highway ya Nairobi- Namanga. Ila sidhani hizi habari za kufukuzwa kwa balozi wao ni za kweli.
 
Mbona Barack Obama alikua rais wa Marekani wakati baba yake ni mkenya?, Mbona wahamiaji wengi toka nchi mbalimbali waliohamia Europe, Canada, Australia na USA wanasoma huko na kuajiriwa?.

Kuna haki za wakimbizi wanapokua ukimbizini, ikiwemo haki ya kupata elimu na kuajiriwa katika nchi alikokimbilia. Kati ya wanyarwanda na warundi, warundi ni wengi zaidi waliosoma na kuajiriwa nchini, kwa nini usitilie wasiwasi juu ya wasomali walivyoingia na kushika nyadhifa nchini Kenya, unahofia wanyarwanda ambao hata ukiulizwa utaje mmoja tu aliyepo katika nafasi ya juu serikali utashindwa badala yake utaendelea kuzungumza mambo ya kufikirika yasiyokua na ushahidi?
Marekani ni nchi isiyokuwa na mwenyewe inacombine mataifa yote duniani.Jiulize ni watanzania wangapi wameajiriwa Rwanda wakifanya kazi kama nyie mlivyo huku tz.
Sitakiwi kutaja majina na nafasi za watu kwani wanajijua hata humu wapo.Ni mtanzania yupi aweza kupata wadhifa Rwanda na uraia na akaishi kama wao wanavyoishi nchi nyingine.
Ninyi kwa ninyi mnauana mtawezaji kuishi na wageni.Usifananishe na vitu visivyofananishika kwani watanzania hatujawahi vunja haki za wakimbizi hata aiku moja.
 
Kama hakuna hakuna mtu yoyote kutoka serekali zote mbili amethibitisha chochote hata ki sirisiri basi siwezi amini.... Haswa enzi hizi za fake news
 
Hawataweza kwa hilo nakuhakikishia.mpaka sasa immigration inaorodha ya wanyarwanda ,warundi, wakamba wote waliozaliwa hapa Tanzania na wameandikishwa kwa majina hata kama mzazi wako alikuja kabla ya Uhuru wa Tanganyika. Hizi nakupa ni info za ndani.
Acha mbwembwe wewe. Watoe wapi hizo info? Na kama wanazo kilitokea nn?
 
Mkuu kwanza hizi habari za balozi wao kufukuzwa Kenya sio za ukweli,mtoa mada source yake ni ya uongo 100% na ikiwa ni ya kweli wanipige ban hapa JF hata ya mwaka.

Pili,kama ni makanisa ya dizaini hio hata Bongo yapo,Uganda,Msumbiji etc,angalia hata wkt Patrick karegeya alivyouwawa S/Africa misa yake ya mazishi iliendeshwa na wakina nani?

Lkn 85% ya hao unaowaona kwny hizo makanisa ni mapandikizi ya PK;ndio maana kama kungekua na Siginficant/potential threat wa PK hapo Nairobi lazima kilio kingesikika tu.

Na wala hawawezi kuchagua kuja Nairobi wkt walioko S/Africa,Msumbiji wanashughulikiwa fresh tu,walioko Ulaya huko kila siku wanapewa warning ya kufuatiliwa ije kua hapo Nai boss.

Back
Top Bottom