Siyabonga101
JF-Expert Member
- Mar 8, 2016
- 2,424
- 2,300
Kwa nini Watanzania huwa hatupendi kuheshimu mawazo ya watu wengine!? Na kusimama pamoja inapokuja katika masuala ya TAIFA kwa manufaa ya Watanzania wote kwa ujumla!? Inasikitisha sana.Dah hata Mimi nashangaa mkuu
Hiyo mada yako uliyoleta imekaa kimipasho! Au hujalitambua hilo!? Au nawe ni dada indirect mkuu?Mkuu mwanaume hanaga mishasho, au ni Dada indirect may be...
Mada IPO kidiplosia zaidi. Waliosoma international relationship wataelewa.....so poleHiyo mada yako uliyoleta imekaa kimipasho! Au hujalitambua hilo!? Au nawe ni dada indirect mkuu?
Ukiwapa majibu Stahiki kama haya utaambiwa una mipasho mkuu. Wapuuzi sana hawa jamaa!Ila wakenya nao wanawashwawashwa sasa hao vifaranga si walishamuuzia mtanzania?
Wakulalamika ni mtanzania sababu yeye ndio aliewanunua na kuviingiza Tanzania kimagendo sasa Kenya kina kuwasha nini wakati pesa ulishalipwa?
Pumbavu kabisa wewe
Diplosia ndio aina mpya ya mipasho!? Pathetic!Mada IPO kidiplosia zaidi. Waliosoma international relationship wataelewa.....so pole
Haya ni mawazo yalo ya kijinga mjukuu wangu.Mkuu hebu fafanua kwa kina tatizo lipo wapi hasa? Na kwa nini litokee baada ya Raila swahiba wa rais wetu kushindwa Urais?
Pls fafanua bila kupendelea.
Tatizo wewe unatanguliza udaku katika mazungumzo ya msingi, unaushahidi wowote ule juu ya kuchinjwa na kusafirishwa kwa punda zaidi ya udaku wa maneno ya kwenye mitandao? nchi haziongozwi kwa jinsi unavyopenda, zinaongozwa kwa kufuata sheria zilizotungwa na kuwekwa na wananchi wenyewe, kama unadhani kuna sheria imekiukwa, kila mtu anayo haki ya kwenda mahakamani kutafuta haki hiyo.Huyo aliyeleta aliokota? Bidhaa zinazotoka China zina vigezo gani na mbona punda wanachinjwa kila siku na hatuambiwi ni daktari gani kaenda kuwapima ili wasafirishwe kwenda China. One sided decision or double standard. Mimi naunga mkono haya yote mradi yangeenda kwenye uwazi na sheria na kuhusisha wahusika wa wizara zote.
Hawa wakenya wanaenda kupigiwa magotiUnaongea pumba ww...Wa tz wengi tuna nufaika na huu urafiki wa kenya ..nenda sehem kama namanga uone biashara wanavyofanya Wa tz na wa kenya....haya mambo ni ya kukaa na kuyatatua kidiplomasia
Unaongea pumba ww...Wa tz wengi tuna nufaika na huu urafiki wa kenya ..nenda sehem kama namanga uone biashara wanavyofanya Wa tz na wa kenya....haya mambo ni ya kukaa na kuyatatua kidiplomasia
Halafu kuna majitu humu bila hata aibu yana support huu upuuzi wa hawa MANYANG'AU. Wahamie huko Kenya.Aendelee kuwanyoosha ma nyangau wote hawana akili hawa, watatupangiaje jinsi ya kutekeleza sheria zetu
Imefika kipindi mtu utakubali siasa zinatupeleka kubaya kwani kila kampeni tunategemea madhaifu ya tunaepambana naeKwa nini Watanzania huwa hatupendi kuheshimu mawazo ya watu wengine!? Na kusimama pamoja inapokuja katika masuala ya TAIFA kwa manufaa ya Watanzania wote kwa ujumla!? Inasikitisha sana.
Kama na sie tungefata sheria tusingechoma vifarangaSawa.Lakini kwa kufuata sheria na taratibu zilizopo.Diplomasia nayo ina sheria na taratibu zake!
Tatizo lako wewe ni uwelewa mdogo unaokusumbua, mwisho utasema gari zikikamatwa zimeingia kiholela zichomwe moto, watu walioingia bila vibali pia wachomwe moto, tumia akili uliyopewa na mungu katika kufikiria mambo, kila jambo linapangiwa sheria kutokana na mazingira ya wakati uliopo, kipindi cha Ebola tahadhari iliyochukuliwa mipakani na sasa hivi ni tofauti kabisa, kukutokea ugonjwa wa foot and mounth disease au kimeta, na ikaonekana kuna hatari ya kuenea katika hizi nchi zetu, hata hizo ng'ombe pia zitawashwa motoKukiukwa kwa taratibu hizo hakutoi loophole ya kuteketeza viumbe husika Kama Hakuna outbreak ya Ugonjwa usiotibika.
Mbona wale ng'ombe hawajachomwa moto?
Machinjio ya punda yapo tena wanayaoneshaga hadi kwenye habari za ITV hujawai ona?Tatizo wewe unatanguliza udaku katika mazungumzo ya msingi, unaushahidi wowote ule juu ya kuchinjwa na kusafirishwa kwa punda zaidi ya udaku wa maneno ya kwenye mitandao? nchi haziongozwi kwa jinsi unavyopenda, zinaongozwa kwa kufuata sheria zilizotungwa na kuwekwa na wananchi wenyewe, kama unadhani kuna sheria imekiukwa, kila mtu anayo haki ya kwenda mahakamani kutafuta haki hiyo.