SACO
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 2,623
- 3,397
nenda Kenya &%$#@%# weweKukiukwa kwa taratibu hizo hakutoi loophole ya kuteketeza viumbe husika Kama Hakuna outbreak ya Ugonjwa usiotibika.
Mbona wale ng'ombe hawajachomwa moto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nenda Kenya &%$#@%# weweKukiukwa kwa taratibu hizo hakutoi loophole ya kuteketeza viumbe husika Kama Hakuna outbreak ya Ugonjwa usiotibika.
Mbona wale ng'ombe hawajachomwa moto?
povuSo what!? Mnavunja sheria na kanuni za Nchi yetu halafu mnataka tuwachekee tu. Mmezoea UNYANG'AU .....your game is up. It's either you (Kenyans) follow our country's Rules & Regulations (abiding by the Law) or F#%K OFF! God bless Tanzania and its People.
Yaani mipaka ya nchi unaleta mambo ya kijingaMkuu hebu fafanua kwa kina tatizo lipo wapi hasa? Na kwa nini litokee baada ya Raila swahiba wa rais wetu kushindwa Urais?
Pls fafanua bila kupendelea.
Wakenya Na Wanyarwanda lazima tuwe nao makini ni hatari sana kwa taifa letu miaka ijayoIla wakenya nao wanawashwawashwa sasa hao vifaranga si walishamuuzia mtanzania?
Wakulalamika ni mtanzania sababu yeye ndio aliewanunua na kuviingiza Tanzania kimagendo sasa Kenya kina kuwasha nini wakati pesa ulishalipwa?
Pilipili ale asha kuwashwa awashwe fulani
Naunga mkono maoni yakoHawa wakenya wanaenda kupigiwa magoti
Ngoja tunyooshane kwanza ili tukikaa kwenye mijadala ya ki diplomasia basi tuwe tunaheshimiana mkuu.
Mkuu akaze tuu mpaka pale wakenya watakapoa acha dharau
Kama hujui Wakenya ndo wanabidhaa nyingi Tanzania kuliko sisi , suala la mahindi tutapeleka Kongo kama wakikataaWakulima wa tz walipokatazwa kuuza mazao kenya wakaanza kulia....
Njia za panya walipita a.k.a magendo. Say no to magendo fata sheria za nchi ufanye biashara popoteMpakani walipitaje mkuu? Maana wamechomewa ndani ya boarders
Wanatamani Raisi wetu Na Rasilumali zetuMkuu hawa jamaa bana wanazingua. Nahisi kama hawatupendi design
Nahisi piaWanatamani Raisi wetu Na Rasilumali zetu
Jamaa yangu anasoma Nairobi anakwambia hawa jamaa ni wabaguz mnoKwenye hili naungana na serikali yangu ya Tanzania ikaze tena sana tu ikiwezekana tuwahesabu wakenya waliopo bongo kisha tuweke idadi inayoruhusiwa wanauzidi watimliwe.
Wakenya hawana undugu hata kidogo...uliza walivyojaa uganda.
Kipindi kile tunasafiri kwenda mwanza kupitia nairobi kwa Scandinavia, ukiwa upande wao kwy road checks zao walikua wanatunyanyasa sana.
Yani ukifika sirari au namanga unashukuru Mungu.
Hii thread IPO very diplomatic. Kaa kandoPambaneni na hali zenu mapimbi nyinyi
They don't trust in our products. Ila jamaa ni ma player mnoKama hujui Wakenya ndo wanabidhaa nyingi Tanzania kuliko sisi , suala la mahindi tutapeleka Kongo kama wakikataa
SahihiNjia za panya walipita a.k.a magendo. Say no to magendo fata sheria za nchi ufanye biashara popote
Sawa DrNinyi wakenya msiwe Na jaziba wala hasira hata kama wote tupo EAC lakini taratibu Na sheria za kila nchi lazima zifuatwe.
1, Ndo maana Msumbiji watu walifukuzwa kama wakimbizi kwenye migodi ya madini ya rubi pamoja Na kwamba watanzania ndo walikuwa wengi Na ukiangalia mchango Wa Tanzania kwenye Uhuru Wa Msumbiji ni mkubwa sana.
2.Leo hii watanzania, wakenya Na wengine wengi wanakamatwa china wakiwa Na madawa ya kulevya Na wanahukumiwa kulingana Na sheria za huko ikiwemo kunyongwa.
3.Kitu kingine cha msingi Afrika Mashariki Na kati Tanzania ndo inaongoza kwa kuwa Na eneo kubwa Na rasirimali nyingi , Leo hii ukienda mipakani wageni ndo wamejimilikisha ardhi, Nenda Kagera Watu kutoka Rwanda wamejimilikisha maeneo makubwa sana.
4. Harafu kingine nyinyi Wakenya tukiwaacha mnaweza kuchukua Arusha,Kilimanjaro,manyara Na Arusha maana Mlima Kilimanjaro huwa mnasema ni mlima wenu tena wakati Wa mkapa mlidai sana baada ya Nyerere kufariki lakin mkapa akawambia tunyoshe mpaka mkakataa maana bandari ya Mombasa ingelikuwa Yetu, pia mliwahi kudai kuwa Oldivai George mlisema ni ya kwenu,
N.B watanzania lazima tuchamae Chini ya Magufuri maana Wakenya Na Wanyarwanda ni hatari sana kwa ustawi Wa nchi Yetu miaka ijayo.
By Dr Mabuga M
Acha difence mechanism Nani kwani anajua hatakufa? Kilichopo nyinyi jamaa tuwanyoosheNafikiri ww ni mtanzania,waliochoma viranga hawakukurupuka,kuna marufuku ya serikali juu ya uingizaji kuku na jamii zake sababu ya mafua ya ndege marufuku hiyo bado haijaondolewa.je kama kama kuku wangekuwa na maradhi nyie ndio mngekuwa wa kwanza kupaza sauti kwa uzembe wa watendaji wa serikali.
Haya ni mambo ya kupita. Maboarder yalikuwepo na tutakufa tutayacha
Acha Magufuri awanyooshe MNA nguvu gani kisiasa nyinyi kuuana ndo nguvu kisiasa ? Kurudia uchaguzi ndo nguvu kisiasa ? Kudai mlima Kilimanjaro ndo nguvu kiuchumi! ? Kufa Na njaa ndo nguvu kiuchumi???hawa wasenge wa Tanzania ni wivu tu wanaiskilia Kenya...nchi yenye nguvu kiuchumi na kisiasa EA...ndio unawaona wanachoma wanyama wasio na hatia