Kenya yamuita balozi wa Tanzania akafafanue sakata la vifaranga na kupigwa mnada kwa ng'ombe

Kenya yamuita balozi wa Tanzania akafafanue sakata la vifaranga na kupigwa mnada kwa ng'ombe

Kukiukwa kwa taratibu hizo hakutoi loophole ya kuteketeza viumbe husika Kama Hakuna outbreak ya Ugonjwa usiotibika.

Mbona wale ng'ombe hawajachomwa moto?
nenda Kenya &%$#@%# wewe
 
  • Thanks
Reactions: Oii
hawa waTanzania ni wivu tu wanaiskilia Kenya...nchi yenye nguvu kiuchumi na kisiasa EA...ndio unawaona wanachoma wanyama wasio na hatia
 
Ninyi wakenya msiwe Na jaziba wala hasira hata kama wote tupo EAC lakini taratibu Na sheria za kila nchi lazima zifuatwe.

1, Ndo maana Msumbiji watu walifukuzwa kama wakimbizi kwenye migodi ya madini ya rubi pamoja Na kwamba watanzania ndo walikuwa wengi Na ukiangalia mchango Wa Tanzania kwenye Uhuru Wa Msumbiji ni mkubwa sana.

2.Leo hii watanzania, wakenya Na wengine wengi wanakamatwa china wakiwa Na madawa ya kulevya Na wanahukumiwa kulingana Na sheria za huko ikiwemo kunyongwa.

3.Kitu kingine cha msingi Afrika Mashariki Na kati Tanzania ndo inaongoza kwa kuwa Na eneo kubwa Na rasirimali nyingi , Leo hii ukienda mipakani wageni ndo wamejimilikisha ardhi, Nenda Kagera Watu kutoka Rwanda wamejimilikisha maeneo makubwa sana.

4. Harafu kingine nyinyi Wakenya tukiwaacha mnaweza kuchukua
Arusha,Kilimanjaro,manyara Na Arusha maana Mlima Kilimanjaro huwa mnasema ni mlima wenu tena wakati Wa mkapa mlidai sana baada ya Nyerere kufariki lakin mkapa akawambia tunyoshe mpaka mkakataa maana bandari ya Mombasa ingelikuwa Yetu, pia mliwahi kudai kuwa Oldivai George mlisema ni ya kwenu,

N.B watanzania lazima tuchamae chini ya Magufuli maana Wakenya Na Wanyarwanda ni hatari sana kwa ustawi Wa nchi Yetu miaka ijayo.
By Dr Mabuga M
 
Ila wakenya nao wanawashwawashwa sasa hao vifaranga si walishamuuzia mtanzania?

Wakulalamika ni mtanzania sababu yeye ndio aliewanunua na kuviingiza Tanzania kimagendo sasa Kenya kina kuwasha nini wakati pesa ulishalipwa?

Pilipili ale asha kuwashwa awashwe fulani
Wakenya Na Wanyarwanda lazima tuwe nao makini ni hatari sana kwa taifa letu miaka ijayo
 
Kwenye hili naungana na serikali yangu ya Tanzania ikaze tena sana tu ikiwezekana tuwahesabu wakenya waliopo bongo kisha tuweke idadi inayoruhusiwa wanauzidi watimliwe.

Wakenya hawana undugu hata kidogo...uliza walivyojaa uganda.

Kipindi kile tunasafiri kwenda mwanza kupitia nairobi kwa Scandinavia, ukiwa upande wao kwy road checks zao walikua wanatunyanyasa sana.

Yani ukifika sirari au namanga unashukuru Mungu.
 
Jamaa yangu anasoma Nairobi anakwambia hawa jamaa ni wabaguz mno
 
Ninyi wakenya msiwe Na jaziba wala hasira hata kama wote tupo EAC lakini taratibu Na sheria za kila nchi lazima zifuatwe.
1, Ndo maana Msumbiji watu walifukuzwa kama wakimbizi kwenye migodi ya madini ya rubi pamoja Na kwamba watanzania ndo walikuwa wengi Na ukiangalia mchango Wa Tanzania kwenye Uhuru Wa Msumbiji ni mkubwa sana.
2.Leo hii watanzania, wakenya Na wengine wengi wanakamatwa china wakiwa Na madawa ya kulevya Na wanahukumiwa kulingana Na sheria za huko ikiwemo kunyongwa.
3.Kitu kingine cha msingi Afrika Mashariki Na kati Tanzania ndo inaongoza kwa kuwa Na eneo kubwa Na rasirimali nyingi , Leo hii ukienda mipakani wageni ndo wamejimilikisha ardhi, Nenda Kagera Watu kutoka Rwanda wamejimilikisha maeneo makubwa sana.
4. Harafu kingine nyinyi Wakenya tukiwaacha mnaweza kuchukua Arusha,Kilimanjaro,manyara Na Arusha maana Mlima Kilimanjaro huwa mnasema ni mlima wenu tena wakati Wa mkapa mlidai sana baada ya Nyerere kufariki lakin mkapa akawambia tunyoshe mpaka mkakataa maana bandari ya Mombasa ingelikuwa Yetu, pia mliwahi kudai kuwa Oldivai George mlisema ni ya kwenu,
N.B watanzania lazima tuchamae Chini ya Magufuri maana Wakenya Na Wanyarwanda ni hatari sana kwa ustawi Wa nchi Yetu miaka ijayo.
By Dr Mabuga M
Sawa Dr
 
Nafikiri ww ni mtanzania,waliochoma viranga hawakukurupuka,kuna marufuku ya serikali juu ya uingizaji kuku na jamii zake sababu ya mafua ya ndege marufuku hiyo bado haijaondolewa.je kama kama kuku wangekuwa na maradhi nyie ndio mngekuwa wa kwanza kupaza sauti kwa uzembe wa watendaji wa serikali.
Acha difence mechanism Nani kwani anajua hatakufa? Kilichopo nyinyi jamaa tuwanyooshe
Haya ni mambo ya kupita. Maboarder yalikuwepo na tutakufa tutayacha
 
hawa wasenge wa Tanzania ni wivu tu wanaiskilia Kenya...nchi yenye nguvu kiuchumi na kisiasa EA...ndio unawaona wanachoma wanyama wasio na hatia
Acha Magufuri awanyooshe MNA nguvu gani kisiasa nyinyi kuuana ndo nguvu kisiasa ? Kurudia uchaguzi ndo nguvu kisiasa ? Kudai mlima Kilimanjaro ndo nguvu kiuchumi! ? Kufa Na njaa ndo nguvu kiuchumi???
 
Mkuu kashasema bukoba kuwa mfugo wowote uwe wa raia au nchi za kigeni ukiwa eneo lisilo ruhusiwa (raia na mgeni) na wanyama wa wageni wakivuka mpaka WATAIFISHWE na mmiliki achukuliwe hatua, vivo hivyo hata wakitanzania wakivuka mpaka nao wapigwe bei , mjadala umefungwa kwahiyo no more cheap diplomacy
 
Back
Top Bottom