Kenya yamuita balozi wa Tanzania akafafanue sakata la vifaranga na kupigwa mnada kwa ng'ombe

Kenya yamuita balozi wa Tanzania akafafanue sakata la vifaranga na kupigwa mnada kwa ng'ombe

[HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] ameiharibu sana chadema, ameua kabisa reasoning capacity.

Ni nchi gani unayoweza kuingiza viumbe hai bila kuwa na documentation? Ebu jaribu kwenda hata na embe tu usa uone kama watakuruhusu kuliingiza!

Huyo mwingizaji hakuwa na documents zozote za vipimo wala importation, eti watu wanataka aruhusiwe tu kwa kuwa vimetoka Kenya. Damn, .....!
 
Ninyi wakenya msiwe Na jaziba wala hasira hata kama wote tupo EAC lakini taratibu Na sheria za kila nchi lazima zifuatwe.
1, Ndo maana Msumbiji watu walifukuzwa kama wakimbizi kwenye migodi ya madini ya rubi pamoja Na kwamba watanzania ndo walikuwa wengi Na ukiangalia mchango Wa Tanzania kwenye Uhuru Wa Msumbiji ni mkubwa sana.
2.Leo hii watanzania, wakenya Na wengine wengi wanakamatwa china wakiwa Na madawa ya kulevya Na wanahukumiwa kulingana Na sheria za huko ikiwemo kunyongwa.
3.Kitu kingine cha msingi Afrika Mashariki Na kati Tanzania ndo inaongoza kwa kuwa Na eneo kubwa Na rasirimali nyingi , Leo hii ukienda mipakani wageni ndo wamejimilikisha ardhi, Nenda Kagera Watu kutoka Rwanda wamejimilikisha maeneo makubwa sana.
4. Harafu kingine nyinyi Wakenya tukiwaacha mnaweza kuchukua Arusha,Kilimanjaro,manyara Na Arusha maana Mlima Kilimanjaro huwa mnasema ni mlima wenu tena wakati Wa mkapa mlidai sana baada ya Nyerere kufariki lakin mkapa akawambia tunyoshe mpaka mkakataa maana bandari ya Mombasa ingelikuwa Yetu, pia mliwahi kudai kuwa Oldivai George mlisema ni ya kwenu,
N.B watanzania lazima tuchamae Chini ya Magufuri maana Wakenya Na Wanyarwanda ni hatari sana kwa ustawi Wa nchi Yetu miaka ijayo.
By Dr Mabuga M

Wakenya ni watu wa ajabu sana, alafu hizo claim zao za Mlima Kilimanjaro ukifatilia kiundani ni conspiracy tupu hazina valid document hata mmoja... But one thing for sure kenya coastline was part of Zanzibar
 
So what!? Mnavunja sheria na kanuni za Nchi yetu halafu mnataka tuwachekee tu. Mmezoea UNYANG'AU .....your game is up. It's either you (Kenyans) follow our country's Rules & Regulations (abiding by the Law) or F#%K OFF! God bless Tanzania and its People.
Yeye Magufuli mbona hafuati utawala wa sheria ??!!
 
Hahahaaaa! Kesho utasikia aliyechoma moto kapandishwa ...!
 
Jamani uzalendo ni muhimu. Vile vifaranga vilikuwa vigonjwa na hamna namna nyingine ya kutreat viral case.
Kwan walishindwa nini kuvirudisha kwa kufuata utaratibu maalum au kushirikisha nchi wahusika ktk kfanya maamuzi?!!!
 
[HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] ameiharibu sana chadema, ameua kabisa reasoning capacity. Wafuasi wake wamekuwa kama mazezeta wasiotumia akili angalau kufikiri.
Ni nchi gani unayoweza kuingiza viumbe hai bila kuwa na documentation? Ebu jaribu kwenda hata na embe tu usa uone kama watakuruhusu kuliingiza!
Huyo mwingizaji hakuwa na documents zozote za vipimo wala importation, eti watu wanataka aruhusiwe tu kwa kuwa vimetoka Kenya. Damn, .....!
Sio Lissu kuna Wajinga wa Kikenya humu ndani
 
Uzalendo ni muhimu na UNAFIKI ni DHAMBI.

Mamlaka zenyewe tu zimesema HAZIKUPIMA sababu si kazi yao, wewe usie na haya unaleta fix...shame on you!
Walizuia unga wa ngano ya Azam bila sababu huku wakiwatisha kuwa Kampuni ambazo zitapeleka nafaka Kenya ndio zitaruhusiwa tu. Hawa safari hii wamepata muarobaini wao wataelewa tu.
 
Tatizo wewe unatanguliza udaku katika mazungumzo ya msingi, unaushahidi wowote ule juu ya kuchinjwa na kusafirishwa kwa punda zaidi ya udaku wa maneno ya kwenye mitandao? nchi haziongozwi kwa jinsi unavyopenda, zinaongozwa kwa kufuata sheria zilizotungwa na kuwekwa na wananchi wenyewe, kama unadhani kuna sheria imekiukwa, kila mtu anayo haki ya kwenda mahakamani kutafuta haki hiyo.
Wewe mwambie aliyekutuma pole. Mimi kwenye point yangu kuna udaku upi? Umesafiri kwenda Kiteto kuona Punda wanavyoibiwa na machinjio yake? Siwezi ongea kitu bila fact. cc mshana jr.
 
Jamani uzalendo ni muhimu. Vile vifaranga vilikuwa vigonjwa na hamna namna nyingine ya kutreat viral case.
Nani kakwambia vilikuwa vigonjwa wakati waliochoma wamesema hawakuvipima ila walisema vinaweza kuwa na ugonjwa. Walimkomoa tu yule dada. Mbona ng'ombe hawachomi moto?
 
Huku kwetu naona jamaa wamekausha si idara ya mpakani,taasis yenyewe waLa wizara iliyotoa tamko.kama ishu ni vibali yule dada alipata wapi guys za kuleta vifaranga hao kama sio kuna ka mchezo huwa kanachezwa ? Na haya mambo ya EAC kwenye biashara yanasemaje ?
 
Tanzania hatujaribiwi.

Lazima heshima ya nchi yetu irudi hakuna kuwa shamba la bibi tena.

Ngoja muisome namba hadi huko Kenya.
 
Wakenya vifaranga huku ni tatizo leteni tanzania ujirani ni wa watu sio vibali.sehemu ya kutotoleshea zipo mje na vifaa tena kodi hakuna maofisa waacheni huko mipakani wale mishahara bila kazi ya kufanya
 
Magufuli kiboko yao , sio Kenya tu , mifugo toka Rwanda ,Uganda ,Burundi ikikamatwa inapigwa mnada

Magufuli Make Tanzania Great Again
Heh hiyo slogan si ya kubwa Trump au
 
Back
Top Bottom