Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
Asante sana
Ila kwa Tanzania hata tungeaokoa wakenya wangapi au raia wangapi bado isingekuwa headline popote kwa sababu ni utamaduni wetu kuwasaidia watu wote bila ya kutazama kwanini tunawapa msaada wala bila ya kusema kwanini tunawapa msaada,ndo maana baada ya uhuru tu,tuliamua kusaidia mataifa yote yanayotuzunguka na wenyewe wakapata uhuru,ni jambo la kiutamaduni na la asili kwa binadamu kupeana misaada katika matatizo,nadhani utamkumbuka sana mzee Jakaya Kikwete jinsi alivyoshughulika na mgogoro wakati uchaguzi,leo amani ikapatikana na mwisho serikali ya umoja wa kitaifa ikaundwa.
Aliwafanyia hisani nzuri sana muheshimiwa yule,Mungu ambariki siku zote.