Kenya yanusuru mabaharia saba wa Tanzania waliokuwa wanazama

Asante sana
Ila kwa Tanzania hata tungeaokoa wakenya wangapi au raia wangapi bado isingekuwa headline popote kwa sababu ni utamaduni wetu kuwasaidia watu wote bila ya kutazama kwanini tunawapa msaada wala bila ya kusema kwanini tunawapa msaada,ndo maana baada ya uhuru tu,tuliamua kusaidia mataifa yote yanayotuzunguka na wenyewe wakapata uhuru,ni jambo la kiutamaduni na la asili kwa binadamu kupeana misaada katika matatizo,nadhani utamkumbuka sana mzee Jakaya Kikwete jinsi alivyoshughulika na mgogoro wakati uchaguzi,leo amani ikapatikana na mwisho serikali ya umoja wa kitaifa ikaundwa.
Aliwafanyia hisani nzuri sana muheshimiwa yule,Mungu ambariki siku zote.
 
Kuna mkoa upi sijakatiza hiyo Bongo, mwanangu piga codes haswa ERP uone unavyolipiwa nauli, hoteli na kila kitu ukiisafi Afrika.
Unakuta unaitwa Lindi ukafanye implementation ya hotel ERP, unaishi kwen ihoteli full board miezi mitatu
Hapa nina shughuli ya Malawi ila huyu mdudu balaa.
Nilikuwa najiuliza hiki Kiswahili umekitolea wapi.. Hongera kwa kula mashavu lakn.
 
Nyie mmenusuru wawili umefungua na uzi wakati sisi tumenusuru maelfu ya wakenya kwa kuwapa chakula waliokua hatarini kufa kwa njaa
 
Hapa umesema ukweli, Tanzania kuwasaidia wengine ni ngumu sana, nakumbuka ajali mbaya ya waimbaji kutoka Rwanda, waliteseka hadi serikali yao ikatuma usaidizi na Tanzania folded their hands, Rwndese hawajasau, kuna rafiki yangu mrwanda hunikumbusha hilo sana nikitaja Tz. Pia kuna chama cha kikanisa cha akina mama kutoka Kenya walipata ajali, raiya walio kua karibu walikataa kuwasaidia eti kwa ajili ni wakenya, wengine walitaka wapewe pesa kwanza, this I watched kwa news, whatever propaganda CCM gov't fed your minds has destroyed utu ndani yenyu. Mnahitaji kutubu kwa mwenyezi Mungu ili muinuke.
Wana bahati sana mabaharia hao,,,ingekuwa upande wetu wangepiga MAYDAY MAYDAY wala hakuna ambaye angekurupuka kuwafata...ahsante sana Kenyan marine rescue authority kuwaokoa mabaharia wetu..halafu hapo Pemba tanga pako very deep and rough sea...hata hizi boat kubwa zikifika maeneo hayo jasho linawatoka...
 
Hapa umesema ukweli, Tanzania kuwasaidia wengine ni ngumu sana, nakumbuka ajali mbaya ya waimbaji kutoka Rwanda, waliteseka hadi serikali yao ikatuma usaidizi na Tanzania folded their hands, Rwndese hawajasau, kuna rafiki yangu mrwanda hunikumbusha hilo sana nikitaja Tz. Pia kuna chama cha kikanisa cha akina mama kutoka Kenya walipata ajali, raiya walio kua karibu walikataa kuwasaidia eti kwa ajili ni wakenya, wengine walitaka wapewe pesa kwanza, this I watched kwa news, whatever propaganda CCM gov't fed your minds has destroyed utu ndani yenyu. Mnahitaji kutubu kwa mwenyezi Mungu ili muinuke.

Duh nimekumbuka hicho kisa cha akina mama kutoka Kenya, yaani hawa waliharibiwa na Nyerere, aliwalisha chuki fulani hivi itachukua vizazi kadhaa kabla kuwatoka.
Sema upande wa Zanzibar hawako hivyo..
 
Hapa umesema ukweli, Tanzania kuwasaidia wengine ni ngumu sana, nakumbuka ajali mbaya ya waimbaji kutoka Rwanda, waliteseka hadi serikali yao ikatuma usaidizi na Tanzania folded their hands, Rwndese hawajasau, kuna rafiki yangu mrwanda hunikumbusha hilo sana nikitaja Tz. Pia kuna chama cha kikanisa cha akina mama kutoka Kenya walipata ajali, raiya walio kua karibu walikataa kuwasaidia eti kwa ajili ni wakenya, wengine walitaka wapewe pesa kwanza, this I watched kwa news, whatever propaganda CCM gov't fed your minds has destroyed utu ndani yenyu. Mnahitaji kutubu kwa mwenyezi Mungu ili muinuke.
Nadhani system ya hapa kwetu haipo sawa...Nina maana watu hawana maamuzi ya moja kwa moja ktk kuamua jambo.mfano....inaweza ikatokea ajali BAHARIA au ziwani ,, lakini watu husika wakawa hawapo on duty...hilo ndy tatizo ,,hata ajali ya MV bukoba inasemekana taarifa za kuzama kwa meli zilitoka nje ya inchi kama kuna meli inazama hapo kwenu.....lazima kuwe na kitengo maalumu kiwe active muda wote ktk majanga kama haya...kiwe na uwezo wa kufanya maamuzi bila kumsubiri mtu
 
Back
Top Bottom