Kenya yapata PET CT scanner ya kwanza Afrika Mashariki na Afrika ya Kati

Hahaha asee nyinyi wawili mnafaana kweli. Kuna ile Churchill Show comedy mnafaa muende auditions zake kama duo. Very funny. Kama wale mbilikimo wawili wa Naija.
Kwani ni uongo? Au nikuletee video this thing you take it big deal, Magufuli executes it on the podium instantly like chewing bubblegum.
 
MK254
Mbona kimya mkuu jibu hiyo, ni kweli? Au ni habari feki?
 
 
Kwani ni uongo? Au nikuletee video this thing you take it big deal, Magufuli executes it on the podium instantly like chewing bubblegum.
Well si kila mwanaume anapenda kuchew bubble gum. Uhuru Kenyatta ana style yake na matunda yake ndo haya. PET CT scanner ya kwanza East and Central Africa. Huku Kenya kuna katiba ya kufatwa, division of powers. U.Kenyatta haezi kuja na kimbelembele chake kwenye maswala yanayohusu wizara ya afya. Wao wenyewe wanajiweza.
 
Huyo aga khan anajenga hii kitu Tanzania, tusemeje

1B $ Aga Khan East Africa University
 
MK254
Mbona kimya mkuu jibu hiyo, ni kweli? Au ni habari feki?

Hehehe sasa nijibu kitu gani, angalia siku zote tukileta habari nzuri kuhusu Kenya lazima Watanzania wajibu kwa kauli za na sisi tutafaya, tutajenga, tutakua na kama hiyo, subiri hata sisi tutafanya. Sasa na sisi Kenya tukiatangaza vitu tulivyopanga kufanya, situtajaza server za JF bure.
Hivyo, ndio maana unaona kauli nyingi huwa nazipita kimya maana hii JF tumeijaza mada za kihivyo tangu zamani, hamna haja ya kupoteza muda, hivyo naleta habari nzuri, Watanzania wanatiririka na hayo yao ya 'tuta', nawaacha wapate raha zao, ile kitu tunaita feel good.....kama kujipiga punyeto.

Hapa ni vitu vilivyomo, juzi rais Uhuru amesafiri kwenda Mombasa kwa kutumia SGR, wengi hata tumeshachoka nayo, sio habari tena, lakini Watanzania bado wanaimba tutajenga SGR. Yaani vitu ambavyo tulishachoka navyo huku ndio bado mpo kwenye utafiti yakinifu, sijui kama ile fly over huwa mnaishangaa shangaa ya TAZARA imekamilika? Sisi huku fly overs ni nyingi mpaka basi.
 
Umekula au unatoa povu tu
 
Kenya ni ina swaga ambazo J.K wa kwanza alizipiga marufuku kwa nguvu sana...ni ule ubeberu mbaya zaidi kenya ni kawaida kuona mashamba ya wananchi masikini yayopakana na mashamba ya matajiri hayana hata njia ya kupata maji, masikini ni masikini na tajiri ni tajiri ni mfumo umbao unapelekea kila kitu Kenya kwenda kwa namna ya mwenye nguvu...ni mfumo ambao unafaida na hasara haswa kwa watu wavivu wa kutumia akili zao kwa wenye uwezo wa kuona fursa wanafaidi.....unaingia Tanzania taratibu nenda agha khan, ocean road, kcmc na hospitals nyingine wanazotoa huduma bora kwa hadhi zetu mtu kipato cha kawaida huwezi hata kujaribu kufungua file
 
Hiyo PET scan sio ya serikali kwahiyo wala Uhuru Kenyatta hausiki, ni sawa na wewe upate pesa ama umekopa au umevuja jasho ukatanikiwa kununua ndege au meli ili ufanye biashara ya usafirishaji, je Uhuru hapo anahusikaje?, acheni sifa za kijinga, Kenyatta Hospital ameitelekeza hata ultrasound zilizopo nyingi hazifanyi kazi, mnachekelea Karen Hospital inayomilikiwa na wageni kwa sehemu kubwa kupata mashine mpya.
 
Hahaha aliposema hilo swala ni la wizara ya afya nilimuonea huruma sana huyu kijana anaonekana anavuta gundi kupindukia
 
Kamuulize Tundu Lissu yeye mwenyewe yupo mitaa hiyo. Anakula tu bata wakati madaktari wanaangalia kama tundu za risasi zimeanza kujiziba.
Tundu Lisu na wenzake wana matatizo ya akili kama ilivyo marafiki zao huko Kenya, atakubali vipi kwenda kutibiwa nchi ambayo ilishindwa kunyoosha pua ya Isaac Rutto iliyopindishwa na bomu la machozi?
 
Punguza mihemko kijana nimemjibu mwenzako we unarukia bila hata kunawa mikono? Yeye ndo alisema eti haya mambo JPM anayafanya kwa urahisi sana. Nikamuambia U.K hana wakati wa kufanya kazi ya wizara ya afya.
 
Punguza mihemko kijana nimemjibu mwenzako we unarukia bila hata kunawa mikono? Yeye ndo alisema eti haya mambo JPM anayafanya kwa urahisi sana. Nikamuambia U.K hana wakati wa kufanya kazi ya wizara ya afya.
Yeye wakati alionao ni kuidhinisha pesa kwenda NYS kwa ajili ya girlfriend wake Waiguru azitafune, yeye kama rais hausiki kujua nini kinatokea, by the way, Juzi walisafiri pamoja kwa kutumia gari moshi kwenda Mombasa
 
Yeye wakati alionao ni kuidhinisha pesa kwenda NYS kwa ajili ya girlfriend wake Waiguru azitafune, yeye kama rais hausiki kujua nini kinatokea, by the way, Juzi walisafiri pamoja kwa kutumia gari moshi kwenda Mombasa
Unamuonea wivu nini? Wananchi wa Kirinyaga County wenyewe walisema sababu yao kuu ya kumpa Waiguru kura zao, ili awe gavana wao, ni kwamba wanataka rais awe analala kwenye kaunti yao. Sasa wewe yanakuhusu vipi?
 
hongereni.
 
Unamuonea wivu nini? Watu wa Kirinyaga wenyewe walisema sababu yao kuu ya kumpa Waiguru kura, ili awe gavana wao, ni kwamba wanataka rais awe analala kwenye county yao. Sasa wewe yanakuhusu vipi?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji120] [emoji120] Hapo umemaliza kila kitu[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…