Kenya yapata PET CT scanner ya kwanza Afrika Mashariki na Afrika ya Kati

Tatizo ninaloliona kwa Kenya, serikali imeshindwa kabisa kuzijengea uwezo public Hospitals, wameachia private Hospitals kutawala huduma zote za kibingwa, hii mashine itakuwa ghali sana kwa raia wa kawaida kuweza kuitumia, Magufuli amekubali kununua mwanzoni mwa mwaka ujao na itakuwa pale Ocean Road Hospital, it will be ten times cheaper than hiyo ya private hapo Kenya, raia wengi wa Kenya wataendelea kuja ocean road cancer institute kufuata huduma zenye bei nafuu.
MK254
Mbona kimya mkuu jibu hiyo, ni kweli? Au ni habari feki?
 
Mkuu, unaweza kuona tofauti kati ya ubepari na ujamaa, huduma za jamii chini ya ubepari zipo chini ya private sector na zipo ghali sana, maisha chini ya ubepari ni survival for the fittest, ujamaa unaamini kwenye usawa hivyo huduma zote za msingi zinabebwa na serikali kwa kiasi kikubwa ili kupunguza mzigo kwa wananchi waweze kuzimudu, ndivyo Obama care ilivyotaka kufanya, Trump ni bepari haipendi hiyo sera.
images
 
Kwani ni uongo? Au nikuletee video this thing you take it big deal, Magufuli executes it on the podium instantly like chewing bubblegum.
Well si kila mwanaume anapenda kuchew bubble gum. Uhuru Kenyatta ana style yake na matunda yake ndo haya. PET CT scanner ya kwanza East and Central Africa. Huku Kenya kuna katiba ya kufatwa, division of powers. U.Kenyatta haezi kuja na kimbelembele chake kwenye maswala yanayohusu wizara ya afya. Wao wenyewe wanajiweza.
 
Well si kila mwanaume anaenda kuchew bubble gum. Uhuru Kenyatta ana style yake na matunda yake ndo haya. PET scanner ya kwanza East and Central Africa. Huku Kenya kuna katiba ya kufatwa, division of powers. U.Kenyatta haezi kuja na kimbelembele kwenye maswala yanayohusu wizara ya afya. Wao wenyewe wanajiweza.
Huyo aga khan anajenga hii kitu Tanzania, tusemeje
images
aku-fas-22.jpg
images

1B $ Aga Khan East Africa University
 
MK254
Mbona kimya mkuu jibu hiyo, ni kweli? Au ni habari feki?

Hehehe sasa nijibu kitu gani, angalia siku zote tukileta habari nzuri kuhusu Kenya lazima Watanzania wajibu kwa kauli za na sisi tutafaya, tutajenga, tutakua na kama hiyo, subiri hata sisi tutafanya. Sasa na sisi Kenya tukiatangaza vitu tulivyopanga kufanya, situtajaza server za JF bure.
Hivyo, ndio maana unaona kauli nyingi huwa nazipita kimya maana hii JF tumeijaza mada za kihivyo tangu zamani, hamna haja ya kupoteza muda, hivyo naleta habari nzuri, Watanzania wanatiririka na hayo yao ya 'tuta', nawaacha wapate raha zao, ile kitu tunaita feel good.....kama kujipiga punyeto.

Hapa ni vitu vilivyomo, juzi rais Uhuru amesafiri kwenda Mombasa kwa kutumia SGR, wengi hata tumeshachoka nayo, sio habari tena, lakini Watanzania bado wanaimba tutajenga SGR. Yaani vitu ambavyo tulishachoka navyo huku ndio bado mpo kwenye utafiti yakinifu, sijui kama ile fly over huwa mnaishangaa shangaa ya TAZARA imekamilika? Sisi huku fly overs ni nyingi mpaka basi.
 
Umekula au unatoa povu tu
 
Kenya ni ina swaga ambazo J.K wa kwanza alizipiga marufuku kwa nguvu sana...ni ule ubeberu mbaya zaidi kenya ni kawaida kuona mashamba ya wananchi masikini yayopakana na mashamba ya matajiri hayana hata njia ya kupata maji, masikini ni masikini na tajiri ni tajiri ni mfumo umbao unapelekea kila kitu Kenya kwenda kwa namna ya mwenye nguvu...ni mfumo ambao unafaida na hasara haswa kwa watu wavivu wa kutumia akili zao kwa wenye uwezo wa kuona fursa wanafaidi.....unaingia Tanzania taratibu nenda agha khan, ocean road, kcmc na hospitals nyingine wanazotoa huduma bora kwa hadhi zetu mtu kipato cha kawaida huwezi hata kujaribu kufungua file
 
Well si kila mwanaume anapenda kuchew bubble gum. Uhuru Kenyatta ana style yake na matunda yake ndo haya. PET CT scanner ya kwanza East and Central Africa. Huku Kenya kuna katiba ya kufatwa, division of powers. U.Kenyatta haezi kuja na kimbelembele chake kwenye maswala yanayohusu wizara ya afya. Wao wenyewe wanajiweza.
Hiyo PET scan sio ya serikali kwahiyo wala Uhuru Kenyatta hausiki, ni sawa na wewe upate pesa ama umekopa au umevuja jasho ukatanikiwa kununua ndege au meli ili ufanye biashara ya usafirishaji, je Uhuru hapo anahusikaje?, acheni sifa za kijinga, Kenyatta Hospital ameitelekeza hata ultrasound zilizopo nyingi hazifanyi kazi, mnachekelea Karen Hospital inayomilikiwa na wageni kwa sehemu kubwa kupata mashine mpya.
 
Hahaha aliposema hilo swala ni la wizara ya afya nilimuonea huruma sana huyu kijana anaonekana anavuta gundi kupindukia
 
Kamuulize Tundu Lissu yeye mwenyewe yupo mitaa hiyo. Anakula tu bata wakati madaktari wanaangalia kama tundu za risasi zimeanza kujiziba.
Tundu Lisu na wenzake wana matatizo ya akili kama ilivyo marafiki zao huko Kenya, atakubali vipi kwenda kutibiwa nchi ambayo ilishindwa kunyoosha pua ya Isaac Rutto iliyopindishwa na bomu la machozi?
Dah basi wana hali ngumu sana, hospitals nyingi zenye huduma nzuri ni private hospitals huko Kenya inashangaza mtu anamtuoa mgonjwa wake government hospitals na kumpeleka private hospitals kama referral hospitals wakati Tanzania serikali ndio yenye huduma za hali ya juu ya afya.

Mlalahoi lazima afe Kenya Nafikiri hata kiwango cha national health insurance huko kwao ni mara 5 ya Tanzania kuendana na huduma covered na insurance yako.
 
Hiyo PET scan sio ya serikali kwahiyo wala Uhuru Kenyatta hausiki, ni sawa na wewe upate pesa ama umekopa au umevuja jasho ukatanikiwa kununua ndege au meli ili ufanye biashara ya usafirishaji, je Uhuru hapo anahusikaje?, acheni sifa za kijinga, Kenyatta Hospital ameitelekeza hata ultrasound zilizopo nyingi hazifanyi kazi, mnachekelea Karen Hospital inayomilikiwa na wageni kwa sehemu kubwa kupata mashine mpya.
Punguza mihemko kijana nimemjibu mwenzako we unarukia bila hata kunawa mikono? Yeye ndo alisema eti haya mambo JPM anayafanya kwa urahisi sana. Nikamuambia U.K hana wakati wa kufanya kazi ya wizara ya afya.
 
Yeye wakati alionao ni kuidhinisha pesa kwenda NYS kwa ajili ya girlfriend wake Waiguru azitafune, yeye kama rais hausiki kujua nini kinatokea, by the way, Juzi walisafiri pamoja kwa kutumia gari moshi kwenda Mombasa
 
Unamuonea wivu nini? Wananchi wa Kirinyaga County wenyewe walisema sababu yao kuu ya kumpa Waiguru kura zao, ili awe gavana wao, ni kwamba wanataka rais awe analala kwenye kaunti yao. Sasa wewe yanakuhusu vipi?
 
Hehehe sasa nijibu kitu gani, angalia siku zote tukileta habari nzuri kuhusu Kenya lazima Watanzania wajibu kwa kauli za na sisi tutafaya, tutajenga, tutakua na kama hiyo, subiri hata sisi tutafanya. Sasa na sisi Kenya tukiatangaza vitu tulivyopanga kufanya, situtajaza server za JF bure.
Hivyo, ndio maana unaona kauli nyingi huwa nazipita kimya maana hii JF tumeijaza mada za kihivyo tangu zamani, hamna haja ya kupoteza muda, hivyo naleta habari nzuri, Watanzania wanatiririka na hayo yao ya 'tuta', nawaacha wapate raha zao, ile kitu tunaita feel good.....kama kujipiga punyeto.

Hapa ni vitu vilivyomo, juzi rais Uhuru amesafiri kwenda Mombasa kwa kutumia SGR, wengi hata tumeshachoka nayo, sio habari tena, lakini Watanzania bado wanaimba tutajenga SGR. Yaani vitu ambavyo tulishachoka navyo huku ndio bado mpo kwenye utafiti yakinifu, sijui kama ile fly over huwa mnaishangaa shangaa ya TAZARA imekamilika? Sisi huku fly overs ni nyingi mpaka basi.
hongereni.
 
Unamuonea wivu nini? Watu wa Kirinyaga wenyewe walisema sababu yao kuu ya kumpa Waiguru kura, ili awe gavana wao, ni kwamba wanataka rais awe analala kwenye county yao. Sasa wewe yanakuhusu vipi?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji120] [emoji120] Hapo umemaliza kila kitu[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom