Hehehe sasa nijibu kitu gani, angalia siku zote tukileta habari nzuri kuhusu Kenya lazima Watanzania wajibu kwa kauli za na sisi tutafaya, tutajenga, tutakua na kama hiyo, subiri hata sisi tutafanya. Sasa na sisi Kenya tukiatangaza vitu tulivyopanga kufanya, situtajaza server za JF bure.
Hivyo, ndio maana unaona kauli nyingi huwa nazipita kimya maana hii JF tumeijaza mada za kihivyo tangu zamani, hamna haja ya kupoteza muda, hivyo naleta habari nzuri, Watanzania wanatiririka na hayo yao ya 'tuta', nawaacha wapate raha zao, ile kitu tunaita feel good.....kama kujipiga punyeto.
Hapa ni vitu vilivyomo, juzi rais Uhuru amesafiri kwenda Mombasa kwa kutumia SGR, wengi hata tumeshachoka nayo, sio habari tena, lakini Watanzania bado wanaimba tutajenga SGR. Yaani vitu ambavyo tulishachoka navyo huku ndio bado mpo kwenye utafiti yakinifu, sijui kama ile fly over huwa mnaishangaa shangaa ya TAZARA imekamilika? Sisi huku fly overs ni nyingi mpaka basi.