Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

Mimi hapo walipo tia Dole kwenye gesi wakati Dangote hana gesi pale Mtwara nikashindwa kuelewa.
Hahaaa wakenya watia dole kwenye sera na maslahi ya masuala ya gesi ya Tanzania ... ha haaaa
 
Sijawahi kuona hata post moja kutoka kwako ikisifia chochote cha MAMA nadhani wewe chuki na roho mbaya vinakutesa sana. Pole sana..!
 
Acheni mawazo ya kijima!!!
Lile and iko la Mchungaji Msigwa inafaa liwe sticky ili watu kama hawa wa zama za mawe za kale walisome!
 
..at least hao walitokana na uchaguzi.

..unaweza kusema walikuwa wanachukiwa na walioshindwa uchaguzi.

..sasa huyu mama kosa lake ni nini? Je ni kwasababu ya kabila lake, dini yake, jinsia yake,..tatizo ni nini?
Ni mnafiki kama walivyo Wakenya.
 
Kushindwa kwako isiwe sababu ya kuwalaumu walioweza,ukitaka hama ili usiiendelee kuumizwa na hayo.
 
2 Kwani Mama Samia amekwenda Kenya kufanya ufunguzi wa Bomba la Gas au wamekwenda kuweka mipango tu sawa?
Nani anajua ?

You tell us.

Vyombo vya habari vinasema ameweka kidole mradi wa bomba la gesi. Kuweka kidole ? What the eff is that ???

Yeye mwenyewe kasema "tumegusia suala la bomba la gesi. Kilichobaki ni kuanza ujenzi..."

Umegusia ??? Kugusia maana yake mmeongea kijuu juu... halafu baada ya kuongea kijuu juu kinachofuata ni kuanza ujenzi ?????

Kwa hiyo hakieleweki wameingia mkataba au wame draft mkataba bado ku saini au wame brainstorm tu mawazo kijumla jumla?

Huyu Mama akiongea she is not making much sense, she is a lightweight, katoka wapi huyu ???
 
 
..hivi kwanini mnamchukia Rais Samia?
Uoga ni tatizo. Hii dunia huwezi kuendelea kwa kumuogopa jirani yako aliyekwisha kukuzidi maendeleo.

Hapa ndipo wachagga wanapojitofautisha na makabila mengine. Mtoto wa Swai akinunua gari ya milioni 200 yule wa Mtei havunjiki moyo na kujiona mnyonge, anafanya kazi kwa nguvu ili ndani ya mwaka/miwili awe na gari ya milioni 250.

Ukikubali kutawaliwa na unyonge utakufa nao.
 
Kwa hiyo miaka mitano ya hilo sijui jembe lenu(meko)baada ya kufanya hizo figisu kitu gani cha maana kiuchumi alifanikiwa kukifanya, ?jamaa alikuwa na siasa za kishamba sana!!unajidai kutaka kuwa dona cantrii kwa kumkumbatia Burundi!!!
nyinyi mbuzi hamjui hata potential yenu ukanda huu.

wacha watu waitumie kujinufaisha.
wakati mwenda zake anahangaika kujenga reli ya mpya kwa ajiri ya kuteka kanda hii kwa bandari mnaloloma,

tunawakumbusha tu,hakuna maslahi ya wote,kuba maslahi ya mtu mmmoja mmoja,shika kichwa chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…