Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

Binafsi simchukii ila akikosea kujifanya anaratibu njia yake as hakuwa makamu wa rais wa late Pombe na kuendeleza agenda walizozinadi wakati wa kampeni na kuzinawilisha kwa jamii hapo lazima achukiwe.

Elewa, huyu rais siyo wa kuchaguliwa na wananchi bali ni rais wa kurithi kutoka kwa aliyekuwa boss wake (kikatiba)

Papo kwa papo akienda kwa njia atakayoambiwa achana na kuisimamia nchi fanya yako 'NITAMCHUKIA'
kuwa makamu wa rais wkt huo alikuwa chini ya JPM.
sasa hiv ndio currently president.. hakuna hata kimoja ambacho amejenga jpm akakibomoa.

tofauti na jpm.. yeye approach yake ni diplomacy zaid sio mkono wa chuma.

hamuwez kuwa sawa kimawazo hata siku moja. kuwa tofauti si dhambi
 
..at least hao walitokana na uchaguzi.

..unaweza kusema walikuwa wanachukiwa na walioshindwa uchaguzi.

..sasa huyu mama kosa lake ni nini? Je ni kwasababu ya kabila lake, dini yake, jinsia yake,..tatizo ni nini?
Hakuna anaye mchukia mama huo ni wasiwasi wako tu.
 
Kwa hiyo miaka mitano ya hilo sijui jembe lenu(meko)baada ya kufanya hizo figisu kitu gani cha maana kiuchumi alifanikiwa kukifanya, ?jamaa alikuwa na siasa za kishamba sana!!unajidai kutaka kuwa dona cantrii kwa kumkumbatia Burundi!!!
utawezaje kuona wakati wewe ni kopofu?
 
Hivi unafahamu hata mradi wa bomba la mafuta mkataba wake ameusaini MAMA juzi huko Uganda .licha ya makelele ya huo mzoga wenu kulizungumzia toka mwaka 2018 mpaka corona inamfyeka alikuwa hajakamilisha.
 
Ndugu yangu tunatafuta wawekezaji mradi uwekezaji huo uwe wa win win situation. Sioni hoja yako ikiwa na msingi wowote ila ni hoja ya hofu tu. Ukiwafungia Kenya milango kwa hofu kwamba makampuni yake ni ya mabeberu haileti maana hataaa ili hali the same time tunawatafuta mabeberu waje kutoka kwao directly kuwekeza hapa. La muhimu brother ni sheria na masharti ya uwekezaji.

Mama kasema na sisi tutaongeza uwekezaji wetu kenya ili kuwe na urari wa biashara. Kumbuka kuna watanzania 55000 wamepata ajira kwenye hayo makampuni ya kenya. Hoja yako naona ni ya kisiasa zaidi na ina malengo ya chuki na kukomoana. Wakulima wetu nchi nzima wanaihitaji sana kenya kwa ajili ya mazao yao. Kumbuka kupitia kenya tunafikia nchi zenye njaa kubwa kama somalia sudani ethiopia.
 
kichapo cha mungu ambacho hata wewe mganga njaa utachapwa[emoji23][emoji23].hicho ni kichapo au mfumo wa maisha??

tunajua hasira zinazidi kuwapanda sababu hamuoni dalili ya mama kuwabeba,hata baada ya kushangilia kifo cha jpm mat@ko wazi[emoji38][emoji38].
Kama mzoga ulikuwa unajua kuwa utakufa kwa nini ulikuwa unaua watu na kuwamiminia risasa.
 
Hivi unafahamu hata mradi wa bomba la mafuta mkataba wake ameusaini MAMA juzi huko Uganda .licha ya makelele ya huo mzoga wenu kulizungumzia toka mwaka 2018 mpaka corona inamfyeka alikuwa hajakamilisha.
Soon na ww utakuwa mzoga hii nchi utaiacha kuwa na akiba ya maneno
 
Kama mzoga ulikuwa unajua kuwa utakufa kwa nini ulikuwa unaua watu na kuwamiminia risasa.
kila mtu atakufa,haimaanishi wahuni wa taifa waachwe.

ukijichanganya utamiminiwa RISASA tu maana hamna namna.
 
Binafsi simchukii ila akikosea kujifanya anaratibu njia yake as hakuwa makamu wa rais wa late Pombe na kuendeleza agenda walizozinadi wakati wa kampeni na kuzinawilisha kwa jamii hapo lazima achukiwe.

Elewa, huyu rais siyo wa kuchaguliwa na wananchi bali ni rais wa kurithi kutoka kwa aliyekuwa boss wake (kikatiba)

Papo kwa papo akienda kwa njia atakayoambiwa achana na kuisimamia nchi fanya yako 'NITAMCHUKIA'
unaposema hakuchaguliwa na wananchi unamaanisha hakuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura?. Unafahamu kuna watu waliwapa kura ccm sio kwa ushawishi wa magufuli Bali kwa kumwona tu picha ya mama?
 
..at least hao walitokana na uchaguzi.

..unaweza kusema walikuwa wanachukiwa na walioshindwa uchaguzi.

..sasa huyu mama kosa lake ni nini? Je ni kwasababu ya kabila lake, dini yake, jinsia yake,..tatizo ni nini?
Sababu ni moja tu.
Ameshikiwa remote control from msoga
 
Mawazo ya kimasikini haya.Wacha kila mtu afanye anachokiona kinafaa.kama ambavyo Jpm aliachwa akafanya anachoamua wacha mama naye afanye atakacho amua.Kwa kua tumeamua kukabidhi mambo na maamuzi yetu yote kwenye taasisi ya uraisi yatubidi tuwe wapole ili kila atakachoamua kufanya aliyekaa jumba jeupe tuamini anakifanya kwa manufaa ya nchi.
 
Back
Top Bottom