Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

We juha tu
Sisi kama wafanyabiashara tunawahitaji wakenya

Ova
 
Watunga sera za uwekezaji wa Tanzania ni lazima wajue na kuelewa strategic long-term investment plan ya nchi za magharibi kwa bara la Afrika, ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kukabiliana na nchi ya Kenya. Tayari mkakati umebainisha nchi katika bara la Afrika zitakazo kuwa kitovu cha makampuni yao. Nchi hizo ni Kenya kwa Africa Mashariki, South Africa kwa nchi za Kusini mwa Africa, Nigeria kwa nchi za Africa Magharibi na Ivory Coast. Hakuna uwekezaji wa maana utafanywa na makampuni ya magharibi ikiwemo Japan katika nchi nyingine za kiafrika mbalimbali na mataifa hayo.

Nchi nyingi sasa zinatakiwa kutafuta njia mbadala za kujikwamua ili kuondoka katika his hub and spoke iliyotengezwa kwa kufanya yafuatayo
1. Government led investment drive in strategic area, ambayo itaendana na kubana matumizi ya serikali na kulalamikiwa
2. Strategically cloud in investment from China, Hugo hapokei maelezo na sio like mind wa nchi za magharibi kama Japan hivyo anaweza kuwekeza Tanzania ili kushindana na makampuni ya ya magharibi yaliyojikita Kenya. Ni Bahati mbaya pia Kenya ameanza kutuzidi kuwavutia China[emoji316]
 
tatizo hicho kinchi chenu kina mashauzi Sana.wakati hata njaa mmeshindwa kuidhibiti
Najuwa huipendi Kenya by induction ya falsafa ya Mwendazake. Na ni vigumu ukikutana na mtu ambaye amekuwa brainwashed na Mwendazake to the fullest.

Mimi nimetembelea Kenya mara nyingi sana kikazi, naifahahamu, nimekupa tool ya Google ili ikusaudie kupata takwimu mbalimbali.
Lakini ukitaka kuendelea kumtegemea mwanadamu aliyekufa na kuzikwa Chato sawa ni chaguo lako.
 
..hivi kwanini mnamchukia Rais Samia?

..hivi kwanini mnamchukia Rais Samia?
Very stupid question. Wewe kwa nini unataka apendwe na watu wote? Mitume tu hawakupendwa na watu wote. Itakuwa binadamu? Kila mtu ana haki ya kumpenda na kumchukia amtakaye usiwapangie watu. Na vigezo vya dini,jinsia, sijui nini ni vya kipumbavu. Magufuli alichukiwa na waislamu,wakristo na wasio na dini. Tegemea na mwingine naye atachukia na watu tofauti tofaut kwa sababu tofaut tofaut.

Kwa nini sisi wengine mtu akichukiwa tunakimbilia kwenye dini yake? Mbona walioongoza kumpinga magufuli walikuwepo maaskofu pia?

Tusiwe dhaifu kiasi hiki kujificha kwenye kichaka flani kila tunapokosolewa. Wasiwasi wangu utakuwa sasa akikosolewa kuna watakaosema ni sababu ni mwanamke. Kuna wapumbavuh wengine watasema sababu ni dini flani.

Wengine nao watakuja na akili za hovyo kwa sababu ya aliyetoka alikuwa hivi na vile ....
Acheni hisia na mihemko. Tumieni akili. Kila mtu anaruhusiwa kupenda na kuchukia aamuacho.
 
..hivi kwanini mnamchukia Rais Samia?
Hamchukii, nadhani hata Rais asingekuwa Mama Samia angeandika hivihivi.

Nadhani hawa ndio walikuwa WASHAURI WA KARIBU WA JPM , Sasa wanachukia wanapoona mambo yanakwenda tofauti hata kama yanafanyika kwa Manufaa na Tija wao Nafsi ZINAUMA.

Wanapambana kuhakikisha Utawala wa Mama hautoboi zaid ya .....
 
hizi mada za kipumbavu namna hii sijui kwa nini hata zinaruhusiwa, hakuna hoja yoyote zaidi ya blah balah zinaochochewa na chuki

Nyie wafuasi wa jiwe nawapa changmoto moja.. Leteni takwimu za ukuaji wa uchumi miaka 5 ya Kikwete na miaka 5 ya Magufuli tulinganishe ni rais gani wa hovyo
Pia leteni takwimu za ukuaji wa deni la taifa miaka 5 ya Kikwete na miaka 5 ya Magufuli tuone ni rais yupi alikuwa anatuingiza shimoni

leo hii wawekezaji tena wa Kenya wanaitwa wakoloni mamboleo, ujue yul;e mganga aliiharibu sana akili za watu nchi hii
 
Kwenye hoja ya watalii, itakuwa vibaya sana kama tukiruhu walipe kenya huku waje kutembea tu. ila kama wakitumia visa ileile lakini wanabebwa na makampuni ya kitz, hapo sawa.
 
hizi mada za kipumbavu namna hii sijui kwa nini hata zinaruhusiwa, hakuna hoja yoyote zaidi ya blah balah zinaochochewa na chuki

Nyie wafuasi wa jiwe nawapa changmoto moja.. Leteni takwimu za ukuaji wa uchumi miaka 5 ya Kikwete na miaka 5 ya Magufuli tulinganishe ni rais gani wa hovyo
Pia leteni takwimu za ukuaji wa deni la taifa miaka 5 ya Kikwete na miaka 5 ya Magufuli tuone ni rais yupi alikuwa anatuingiza shimoni

leo hii wawekezaji tena wa Kenya wanaitwa wakoloni mamboleo, ujue yul;e mganga aliiharibu sana akili za watu nchi hii

Kikwete amekabidhi nchi kwa magu ikiwa na GDP ya $48.5B , Mpaka magufuli anaanga dunia Tanzania ina GDP ya $~70B, hakuna nchi yoyote duniani ishawahi kufanya ivi ndan ya miaka mitano tu peke yake!!!!

- Deni la taifa bado linavumilika na mkono wa kukopa upo, sasa point yako ni falasy
 
Wewe lini Kenya walikupenda?
Najuwa huipendi Kenya by induction ya falsafa ya Mwendazake. Na ni vigumu ukikutana na mtu ambaye amekuwa brainwashed na Mwendazake to the fullest.

Mimi nimetembelea Kenya mara nyingi sana kikazi, naifahahamu, nimekupa tool ya Google ili ikusaudie kupata takwimu mbalimbali.
Lakini ukitaka kuendelea kumtegemea mwanadamu aliyekufa na kuzikwa Chato sawa ni chaguo lako.
 
Kikwete amekabidhi nchi kwa magu ikiwa na GDP ya $48.5B , Mpaka magufuli anaanga dunia Tanzania ina GDP ya $~70B, hakuna nchi yoyote duniani ishawahi kufanya ivi ndan ya miaka mitano tu peke yake!!!!

- Deni la taifa bado linavumilika na mkono wa kukopa upo, sasa point yako ni falasy
Hahaha hizo data umetoa wapi? Magufuli hakuacha GDP ya 70 Bilioni, uchumi wa Tanzania 2020 ulikuwa umeshukana kufikia 57B, na hapo alichukua 48 kutoka kwa Kikwete. Kikwete yeye alichukua 18.4 kutoka kwa Mkpa mpaka 2010 kwa miaka mitano tu akafikia 32 B, Magufuli kachukua 48.5 kaongeza kidogo tu
ngoja nikuwekee na takwimu kamili kabisa
Capture.PNG
 
Mimi nadhan ni sisi watanzania tu ndo tunakosa kujiamini, tunaweza fanya mengi na kuuza zaid Kenya zaid ya tunavyofikiri. Kinachowapa wakenya fursa ni Sera zetu mbovu ambazo hazivutii wawekezaji. Tuchukue mfano kwenye mabasi, Kenya hawana masuala ya Bei elekezi. Demand and supply ndo inategemewa Sana Ila ukija kwetu mpaka sehem ya kunya utapangiwa
 
Hahaha hizo data umetoa wapi? Magufuli hakuacha GDP ya 70 Bilioni, uchumi wa Tanzania 2020 ulikuwa umeshukana kufikia 57B, na hapo alichukua 48 kutoka kwa Kikwete. Kikwete yeye alichukua 18.4 kutoka kwa Mkpa mpaka 2010 kwa miaka mitano tu akafikia 32 B, Magufuli kachukua 48.5 kaongeza kidogo tu
ngoja nikuwekee na takwimu kamili kabisaView attachment 1774056

First things first, Tanzania gdp its always stated by the bank of tanzania not any other source

2) ukisoma vizuri nmesema ~$70B ( in simple words nmekadiria kutoka na ripoti ya bot)
3) hakuna nchi yoyote duniani ilishawahi kuachieve this growth ndan ya miaka mitano peke yake!
4) kuna uwezekano huna uelewa wa nn maaana ya GDP!
GDP hua inapanda na kushuka always kutoka na exports znavoenda, ukitumia graph yako as a sample u can clearly see 2019 was the peak na baada ya hapo ulishuka tena na ndo nchi zote duniani zmeexperience the same same! na 2019 ndo corona iliingia, tanzania keyplayers WA GDP ni tourism, sasa huezi kusema ameongeza kidogo! yaani huelewi gdp ndo tatizo linaanzia apo
 
Umebase hoja zako upande mmoja tu vipi kuhusu Tanzania haitanufaika na chochote mbona hili hujalisemea ?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tanzania Ina nafasi kubwa Sana ya kunufaika watu wamekazana kuangalia uwekezaji wa viwanda na kusahau kinachovutia wawekezaji ni sera, Kenya viwanda vingi ni vya wageni ambao wanachukulia advantage ya eac kuuza Tanzania laiti tungekuwa na sera nzuri hao wawekezaji hawawez kwenda Kenya maaana hata resources na soko si tumewazidi. Sisi tuna advantage ya soko la mpaka Kongo lakin hakuna tunachofanya
 
First things first, Tanzania gdp its always stated by the bank of tanzania not any other source

2) ukisoma vizuri nmesema ~$70B ( in simple words nmekadiria kutoka na ripoti ya bot)
3) hakuna nchi yoyote duniani ilishawahi kuachieve this growth ndan ya miaka mitano peke yake!
4) kuna uwezekano huna uelewa wa nn maaana ya GDP!
GDP hua inapanda na kushuka always kutoka na exports znavoenda, ukitumia graph yako as a sample u can clearly see 2019 was the peak na baada ya hapo ulishuka tena na ndo nchi zote duniani zmeexperience the same same! na 2019 ndo corona iliingia, tanzania keyplayers WA GDP ni tourism, sasa huezi kusema ameongeza kidogo! yaani huelewi gdp ndo tatizo linaanzia apo
mzee nimekupa takwimu nhapo juu, wewe toa za kwako, sio0 maneno
GDP inashuka na kupanda, hata kwa kikwete ilishuka na kupanda, tunacho linganisha hapa ni final, wakatiu wa Kikwete pia kulitokea global recession na utalii kudidimia

Kingine ni kuwa hueleweki, umekataa chanzo changu cha takwimu halafu bado unakitumia tena kufanya arguments zako. weka hicho chanzo chako unachokiuamini kinachoonyesha trend ya uchumi kutoka 2005 hadi 2020 kisha ndio ufanye hizo arguments zako zako na hizo excuse. Maana hata hiyo GDP yako ya 70 bilioni haipo kwenye takwimu nilizokuonyesha
 
Back
Top Bottom