Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

TANZANIA YAJISALIMISHA TENA MIKONONI MWA KENYA

Kwa miaka takribani mitano Tanzania imekuwa "mwana mpotevu" baada ya Hayati Rais Magufuli kustukia "faulo" za kibiashara yaani biashara zisizokuwa na mizania sawa baina ya majirani hawa wawili. Ikumbukwe kuwa Kenya ndilo taifa la kiafrika linaloongoza kwa uwekezaji nchini Tanzania. Kwa lugha nyingine, Tanzania imekuwa "koloni mamboleo" la Kenya kwa miongo kadhaa.

Hayati Rais Magufuli hakutaka Tanzania iendelee na utumwa, akaratibu mipango ya kuinasua Tanzania kutoka kwa "mkoloni mweusi". Hatua hii ya Magufuli iliikera sana Kenya na tangu hapo uhusiano wa kibiashara ukayumba.

Ikumbukwe pia kuwa Kenya ni kitovu kikubwa cha mabeberu katika ukanda wa Afrika Mashariki. Makampuni mengi ya Kenya ambayo yamewekeza hapa nchini hayamilikiwi na wakenya ama yanamilikiwa na wakenya wenye asili ya kizungu (walowezi).

Kenya ambayo ilishirikiana na mabeberu wa Israel kufanikisha "Operesheni Entebbe" mwaka 1976 haiwezi kuwa mshirika wa kuaminiwa na mwenye uchungu na mtu mweusi.

Tutarajie

[emoji117] Kenya kuongoza tena katika mauzo ya madini ya Tanzanite.
[emoji117] Watalii kurejea Kenya
[emoji117] Mlima Kilimanjaro sasa kuwa rasmi mlima wa Kenya
[emoji117] Hujuma katika Shirika letu la Ndege (ATCL) ili kuikuza tena Kenya Airways
[emoji117] Hujuma katika mashirika yetu ya simu ili kuikuza Safaricom
[emoji117] na kadhalika.

Suala muhimu siyo "KAZI IENDELEE" bali "KAZI GANI IENDELEE"!
Nonsense!

We chawa bado unaomboleza ee?

Mwache mama akuonyeshe jinsi nchi inavyotakiwa kuongozwa.
 
nimesema chanzo chako as a( sample) , elewa kwanza apo alafu BOT hua wanatoa annual report kila mwaka kwa maadishi sio michoro sasa ni kazi yako kwenda kwenye website na kuziona
  • nmesema ~70B kwenye huoni hio sign ya almost before ama huelewi maaana ya hio sign?
  • Mbna hata kipindi cha magu tulishawahi kua na recession, kitu cha kawaida sana hicho but pandemic this is the first
  • Hakunaga final gdp we boya! kila sku kuna effects za GDP but znachukulia tu annually
  • yaaani uende kushoto kulia juu na chini magu alinua uchumi pakubwa sana na hapo ni bado miradi ilikua haijakamilika sasa ingekamilika ingekua story ingine
nabishana na mbumbumbu. Hutaki kutoa statistic unaimba ma propaganda ya Magufuli ambayo mwisho wa siku hata msaidizi wake wa karibu alikuja kumuumbua juzi.
, GDP inabadilika ila ninapoposema final namaanisha final mwisho wa mwaka husika, GDP kipindi cha Magufuli haiukuwahi kuvuka 63 B, sasa 63 B haiwezi kuwa aproximated to 70 B.
 
TANZANIA YAJISALIMISHA TENA MIKONONI MWA KENYA

Kwa miaka takribani mitano Tanzania imekuwa "mwana mpotevu" baada ya Hayati Rais Magufuli kustukia "faulo" za kibiashara yaani biashara zisizokuwa na mizania sawa baina ya majirani hawa wawili. Ikumbukwe kuwa Kenya ndilo taifa la kiafrika linaloongoza kwa uwekezaji nchini Tanzania. Kwa lugha nyingine, Tanzania imekuwa "koloni mamboleo" la Kenya kwa miongo kadhaa.

Hayati Rais Magufuli hakutaka Tanzania iendelee na utumwa, akaratibu mipango ya kuinasua Tanzania kutoka kwa "mkoloni mweusi". Hatua hii ya Magufuli iliikera sana Kenya na tangu hapo uhusiano wa kibiashara ukayumba.

Ikumbukwe pia kuwa Kenya ni kitovu kikubwa cha mabeberu katika ukanda wa Afrika Mashariki. Makampuni mengi ya Kenya ambayo yamewekeza hapa nchini hayamilikiwi na wakenya ama yanamilikiwa na wakenya wenye asili ya kizungu (walowezi).

Kenya ambayo ilishirikiana na mabeberu wa Israel kufanikisha "Operesheni Entebbe" mwaka 1976 haiwezi kuwa mshirika wa kuaminiwa na mwenye uchungu na mtu mweusi.

Tutarajie

👉 Kenya kuongoza tena katika mauzo ya madini ya Tanzanite.
👉 Watalii kurejea Kenya
👉 Mlima Kilimanjaro sasa kuwa rasmi mlima wa Kenya
👉 Hujuma katika Shirika letu la Ndege (ATCL) ili kuikuza tena Kenya Airways
👉 Hujuma katika mashirika yetu ya simu ili kuikuza Safaricom
👉 na kadhalika.

Suala muhimu siyo "KAZI IENDELEE" bali "KAZI GANI IENDELEE"!
Mama anakosea, na amekwisha kosea...hakika ni kazi gani iendelee.
 
TANZANIA YAJISALIMISHA TENA MIKONONI MWA KENYA

Kwa miaka takribani mitano Tanzania imekuwa "mwana mpotevu" baada ya Hayati Rais Magufuli kustukia "faulo" za kibiashara yaani biashara zisizokuwa na mizania sawa baina ya majirani hawa wawili. Ikumbukwe kuwa Kenya ndilo taifa la kiafrika linaloongoza kwa uwekezaji nchini Tanzania. Kwa lugha nyingine, Tanzania imekuwa "koloni mamboleo" la Kenya kwa miongo kadhaa.

Hayati Rais Magufuli hakutaka Tanzania iendelee na utumwa, akaratibu mipango ya kuinasua Tanzania kutoka kwa "mkoloni mweusi". Hatua hii ya Magufuli iliikera sana Kenya na tangu hapo uhusiano wa kibiashara ukayumba.

Ikumbukwe pia kuwa Kenya ni kitovu kikubwa cha mabeberu katika ukanda wa Afrika Mashariki. Makampuni mengi ya Kenya ambayo yamewekeza hapa nchini hayamilikiwi na wakenya ama yanamilikiwa na wakenya wenye asili ya kizungu (walowezi).

Kenya ambayo ilishirikiana na mabeberu wa Israel kufanikisha "Operesheni Entebbe" mwaka 1976 haiwezi kuwa mshirika wa kuaminiwa na mwenye uchungu na mtu mweusi.

Tutarajie

👉 Kenya kuongoza tena katika mauzo ya madini ya Tanzanite.
👉 Watalii kurejea Kenya
👉 Mlima Kilimanjaro sasa kuwa rasmi mlima wa Kenya
👉 Hujuma katika Shirika letu la Ndege (ATCL) ili kuikuza tena Kenya Airways
👉 Hujuma katika mashirika yetu ya simu ili kuikuza Safaricom
👉 na kadhalika.

Suala muhimu siyo "KAZI IENDELEE" bali "KAZI GANI IENDELEE"!
Mama anakosea, na amekwisha kosea...hakika ni kazi gani iendelee.
 
nimesema chanzo chako as a( sample) , elewa kwanza apo alafu BOT hua wanatoa annual report kila mwaka kwa maadishi sio michoro sasa ni kazi yako kwenda kwenye website na kuziona
  • nmesema ~70B kwenye huoni hio sign ya almost before ama huelewi maaana ya hio sign?
  • Mbna hata kipindi cha magu tulishawahi kua na recession, kitu cha kawaida sana hicho but pandemic this is the first
  • Hakunaga final gdp we boya! kila sku kuna effects za GDP but znachukulia tu annually
  • yaaani uende kushoto kulia juu na chini magu alinua uchumi pakubwa sana na hapo ni bado miradi ilikua haijakamilika sasa ingekamilika ingekua story ingine
Kumbe nabishana na mbumbumbu. Hutaki kutoa statistic unaimba ma propaganda ya Magufuli ambayo mwisho wa siku hata msaidizi wake wa karibu alikuja kumuumbua juzi.
, GDP inabadilika ila ninapoposema final namaanisha final mwisho wa mwaka husika, GDP kipindi cha Magufuli haiukuwahi kuvuka 63 B, sasa 63 B haiwezi kuwa aproximated to 70 B. Magufuli ange maintain ile rate ya ukuaji ya uchumi ya Mkapa na Kikwete leo hii uchumi wetu ulitakiwa uwe kwenye 80B ikikaribia 90B . ila alihbaribu uchumi akawa anatoa takwimu feki na kupitisha sheria za kulinda hizo takwimu fake.
 
Back
Top Bottom