Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

sasa uchaguzi na kuchukowa kuna mahusiano gani. wewe ulitegemea watu wote mil 60 wampende. hamna cha dini, jinsia wala kabila. nature ndio ipo hivyo. amechukiwa gadafi ambae kila kitu alitoa bure kwenye nchi yake sembuse samia mkuu.
Na mama atatimua mamluki wa magufuli wote kwenye serikali yake, kenge nyinyi, na yule mpwawe D.jems hana muda segerea inamuhusu
 
maluweluwe mnayo nyinyi mnaoamini baada ya kifo cha mwamba wasukuma wanahangaika[emoji1787][emoji1787].
Kalifufueni sasa, ye si mnasema mwamba,mbona kala kichapo cha mungu,, naona bashite anawanunulia bando mumtukane Rais mitandaoni, mwambie nae faili lake lipo mezani
 
Kalifufueni sasa, ye si mnasema mwamba,mbona kala kichapo cha mungu,, naona bashite anawanunulia bando mumtukane Rais mitandaoni, mwambie nae faili lake lipo mezani
kichapo cha mungu ambacho hata wewe mganga njaa utachapwa[emoji23][emoji23].hicho ni kichapo au mfumo wa maisha??

tunajua hasira zinazidi kuwapanda sababu hamuoni dalili ya mama kuwabeba,hata baada ya kushangilia kifo cha jpm mat@ko wazi[emoji38][emoji38].
 
Mwendazake alikuwa ni shetani mkuu,, zamu yenu kuonja machungu safari hii k.enge nyinyi,
machungu gani sasa unazungumzia!!!

machungu wanayo waathirika wa mwendazake maana hata baada ya kufariki,bado wanashughulika[emoji23][emoji23].sijui imekaaje kisayansi hii.
 
..hivi kwanini mnamchukia Rais Samia?
Binafsi simchukii ila akikosea kujifanya anaratibu njia yake as hakuwa makamu wa rais wa late Pombe na kuendeleza agenda walizozinadi wakati wa kampeni na kuzinawilisha kwa jamii hapo lazima achukiwe.

Elewa, huyu rais siyo wa kuchaguliwa na wananchi bali ni rais wa kurithi kutoka kwa aliyekuwa boss wake (kikatiba)

Papo kwa papo akienda kwa njia atakayoambiwa achana na kuisimamia nchi fanya yako 'NITAMCHUKIA'
 
Uoga ni tatizo. Hii dunia huwezi kuendelea kwa kumuogopa jirani yako aliyekwisha kukuzidi maendeleo.

Hapa ndipo wachagga wanapojitofautisha na makabila mengine. Mtoto wa Swai akinunua gari ya milioni 200 yule wa Mtei havunjiki moyo na kujiona mnyonge, anafanya kazi kwa nguvu ili ndani ya mwaka/miwili awe na gari ya milioni 250.

Ukikubali kutawaliwa na unyonge utakufa nao.
perfect explanation. imekaa sawa hii kabisa.
 
Back
Top Bottom