Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

Hapa kuna kitu cha kutafakari
 
Vibaraka wa the late dicteta mna kazi sana
 
We
Kiongozi hakika una maono makubwa sana mama anatakiwa kuwa makini sana na hawa wakenya.
 
Nakubaliana na wewe ila natumaini Makamu wa Rais atamwongoza asiitumbukize kwenye mtogo wa kipuuzi.
 
Mmemsikia Rostum Azizi alivyowalipua Wakenya? Wakenya hawafai kwani hawataki Watanzania wawekeze Kenya. Hata Konyagi imekuwa ngumu sana kuingia soko la kenya. hatari sana.
 
nimekuambia rate ya ukuaji ilikuwa ndogo chini ya uongozi wa Magufuli, au hujui maana ya rate?

hakuna nchi yoyote ishawahi kuachieve hio growth rate ndan ya miaka mitano peke yake, bado huelewi tu unachoandika?
 

..wanampinga bila hoja za msingi ndio maana tunasema wanaongozwa na chuki.
 
 
Sisi yetu ni kusema "mtanikumbuka"
 
Mi nasubiri vifaranga vya Kenya, kampuni zetu hazikidhi soko.
 
Mkuu, Kenyatta anajua wazi kwamba watanzania waliamshwa usingizini kwa muda na kweli wakaamka, Lakini Sasa wanalazimishwa kulala ndio maana anatumia usingizi uliowalaza watanzania kuwa faida ya wakenya.
 
hakuna nchi yoyote ishawahi kuachieve hio growth rate ndan ya miaka mitano peke yake, bado huelewi tu unachoandika?
hakuna nchi yoyote? we naona hufuatilii hata vyombo vya habari zaidi ya TBC inayokuimbia mapambio ya jiwe, kuwa Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kasi ya ukuaji uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…