Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

..wanampinga bila hoja za msingi ndio maana tunasema wanaongozwa na chuki.
Hoja wanazo. Kama huyu ametoa hoja. But pia unaweza ukapita tu sehemu mtu akakuona asikupende jinsi unavyotembea.
1. Unatembea kibabe
2. Unatembea unajifanya kama mcha Mungu kumbe mnafiq
3. Unatembea kwa kujisikia

Watu waruhusiwe tu kumchukia kwa sababu walizo nazo. Tutamwonesha ni dhaifu ikiwa tutadhani anapopingwa anapingwa sababu ni Jinsia Ke.

Tutaonesha Dini ni dhaifu ikiwa tutatumia kama excuse kuzuia asipingwe kwa sababu safari hii huyu ni wa Dini yetu. Magufuli kuna ambao walikuwa wanamwona hana makosa. But alipingwa na Wakristo pia. Na hapo nlijifunza kuna watu si wanafiki.

Ila sasa huyu naona vigezo vya kumtetea asipingwe ni vingi
1. Dini
2. Jinsia
3. Asili yake
Watu wanatumia vigezo hivyo ili aimbiwe nyimbo za sifa/na mapambio. Si sahihi.

Mimi huwa nawaheshimu hata wanaonichukia bila sababu. Ni haki yao ya msingi.
 
TANZANIA YAJISALIMISHA TENA MIKONONI MWA KENYA

Kwa miaka takribani mitano Tanzania imekuwa "mwana mpotevu" baada ya Hayati Rais Magufuli kustukia "faulo" za kibiashara yaani biashara zisizokuwa na mizania sawa baina ya majirani hawa wawili. Ikumbukwe kuwa Kenya ndilo taifa la kiafrika linaloongoza kwa uwekezaji nchini Tanzania. Kwa lugha nyingine, Tanzania imekuwa "koloni mamboleo" la Kenya kwa miongo kadhaa.

Hayati Rais Magufuli hakutaka Tanzania iendelee na utumwa, akaratibu mipango ya kuinasua Tanzania kutoka kwa "mkoloni mweusi". Hatua hii ya Magufuli iliikera sana Kenya na tangu hapo uhusiano wa kibiashara ukayumba.

Ikumbukwe pia kuwa Kenya ni kitovu kikubwa cha mabeberu katika ukanda wa Afrika Mashariki. Makampuni mengi ya Kenya ambayo yamewekeza hapa nchini hayamilikiwi na wakenya ama yanamilikiwa na wakenya wenye asili ya kizungu (walowezi).

Kenya ambayo ilishirikiana na mabeberu wa Israel kufanikisha "Operesheni Entebbe" mwaka 1976 haiwezi kuwa mshirika wa kuaminiwa na mwenye uchungu na mtu mweusi.

Tutarajie

[emoji117] Kenya kuongoza tena katika mauzo ya madini ya Tanzanite.
[emoji117] Watalii kurejea Kenya
[emoji117] Mlima Kilimanjaro sasa kuwa rasmi mlima wa Kenya
[emoji117] Hujuma katika Shirika letu la Ndege (ATCL) ili kuikuza tena Kenya Airways
[emoji117] Hujuma katika mashirika yetu ya simu ili kuikuza Safaricom
[emoji117] na kadhalika.

Suala muhimu siyo "KAZI IENDELEE" bali "KAZI GANI IENDELEE"!

2025 ifike haraka kwa kweli tufanye uchaguzi Mpya
 
TANZANIA YAJISALIMISHA TENA MIKONONI MWA KENYA

Kwa miaka takribani mitano Tanzania imekuwa "mwana mpotevu" baada ya Hayati Rais Magufuli kustukia "faulo" za kibiashara yaani biashara zisizokuwa na mizania sawa baina ya majirani hawa wawili. Ikumbukwe kuwa Kenya ndilo taifa la kiafrika linaloongoza kwa uwekezaji nchini Tanzania. Kwa lugha nyingine, Tanzania imekuwa "koloni mamboleo" la Kenya kwa miongo kadhaa.

Hayati Rais Magufuli hakutaka Tanzania iendelee na utumwa, akaratibu mipango ya kuinasua Tanzania kutoka kwa "mkoloni mweusi". Hatua hii ya Magufuli iliikera sana Kenya na tangu hapo uhusiano wa kibiashara ukayumba.

Ikumbukwe pia kuwa Kenya ni kitovu kikubwa cha mabeberu katika ukanda wa Afrika Mashariki. Makampuni mengi ya Kenya ambayo yamewekeza hapa nchini hayamilikiwi na wakenya ama yanamilikiwa na wakenya wenye asili ya kizungu (walowezi).

Kenya ambayo ilishirikiana na mabeberu wa Israel kufanikisha "Operesheni Entebbe" mwaka 1976 haiwezi kuwa mshirika wa kuaminiwa na mwenye uchungu na mtu mweusi.

Tutarajie

👉 Kenya kuongoza tena katika mauzo ya madini ya Tanzanite.
👉 Watalii kurejea Kenya
👉 Mlima Kilimanjaro sasa kuwa rasmi mlima wa Kenya
👉 Hujuma katika Shirika letu la Ndege (ATCL) ili kuikuza tena Kenya Airways
👉 Hujuma katika mashirika yetu ya simu ili kuikuza Safaricom
👉 na kadhalika.

Suala muhimu siyo "KAZI IENDELEE" bali "KAZI GANI IENDELEE"!
Upumbavu mtupu huu
 
Magufuli unaongea kama vile alikuwa anajua mambo ya biashara. Jibu ni kwamba alikuwa hajui!
 
hakuna nchi yoyote? we naona hufuatilii hata vyombo vya habari zaidi ya TBC inayokuimbia mapambio ya jiwe, kuwa Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kasi ya ukuaji uchumi

HAKUNA NCHI YOYOTE ILISHAWAHI PATA GROWTH KAMA HII, search kwenye data za central bank zote duniani leta nchi hio
 
TANZANIA YAJISALIMISHA TENA MIKONONI MWA KENYA

Kwa miaka takribani mitano Tanzania imekuwa "mwana mpotevu" baada ya Hayati Rais Magufuli kustukia "faulo" za kibiashara yaani biashara zisizokuwa na mizania sawa baina ya majirani hawa wawili. Ikumbukwe kuwa Kenya ndilo taifa la kiafrika linaloongoza kwa uwekezaji nchini Tanzania. Kwa lugha nyingine, Tanzania imekuwa "koloni mamboleo" la Kenya kwa miongo kadhaa.

Hayati Rais Magufuli hakutaka Tanzania iendelee na utumwa, akaratibu mipango ya kuinasua Tanzania kutoka kwa "mkoloni mweusi". Hatua hii ya Magufuli iliikera sana Kenya na tangu hapo uhusiano wa kibiashara ukayumba.

Ikumbukwe pia kuwa Kenya ni kitovu kikubwa cha mabeberu katika ukanda wa Afrika Mashariki. Makampuni mengi ya Kenya ambayo yamewekeza hapa nchini hayamilikiwi na wakenya ama yanamilikiwa na wakenya wenye asili ya kizungu (walowezi).

Kenya ambayo ilishirikiana na mabeberu wa Israel kufanikisha "Operesheni Entebbe" mwaka 1976 haiwezi kuwa mshirika wa kuaminiwa na mwenye uchungu na mtu mweusi.

Tutarajie

👉 Kenya kuongoza tena katika mauzo ya madini ya Tanzanite.
👉 Watalii kurejea Kenya
👉 Mlima Kilimanjaro sasa kuwa rasmi mlima wa Kenya
👉 Hujuma katika Shirika letu la Ndege (ATCL) ili kuikuza tena Kenya Airways
👉 Hujuma katika mashirika yetu ya simu ili kuikuza Safaricom
👉 na kadhalika.

Suala muhimu siyo "KAZI IENDELEE" bali "KAZI GANI IENDELEE"!
Sie wazee tuanaangalia kwa macho tu!
 
Wewe ni mkenya! Naona wakenya wanataka kuongoza kwenye mbio za "scramble for Tanzania"!! Naona mabeberu na mashirika yao yanajisogeza Tanzania kwa kasi!! Mungu iokoe Tanzania!
 
Tanzania Ina nafasi kubwa Sana ya kunufaika watu wamekazana kuangalia uwekezaji wa viwanda na kusahau kinachovutia wawekezaji ni sera, Kenya viwanda vingi ni vya wageni ambao wanachukulia advantage ya eac kuuza Tanzania laiti tungekuwa na sera nzuri hao wawekezaji hawawez kwenda Kenya maaana hata resources na soko si tumewazidi. Sisi tuna advantage ya soko la mpaka Kongo lakin hakuna tunachofanya
Wawekezaji huvutiwa na upigaji! Wawekezaji ni wapigaji! Ukiweka mazingira yanayowawezesha kupiga hapo utakuwa umewavutia!! Wawekezaji wengi hawapendi mambo ya win win situation!! Ukiona wawekezaji wanakukimbilia ujue hapo umepigwa!! Lengo lao ni kupiga faida mpaka kwa gharama ya damu yako! Tulivutia wawekezaji kwenye madini kwa kuweka sheria ya madini iliyoongoza kwenye mikataba mibovu tukapigwa!! Tukavutia wawekezaji kwenye gas tukapigwa!! Hadi leo tunalia!! Wimbo wa kuvutia wawekezaji unatia shaka! Tusivutie wawekezaji bali tutoe nafasi kwa wawekezaji!
 
unaposema hakuchaguliwa na wananchi unamaanisha hakuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura?. Unafahamu kuna watu waliwapa kura ccm sio kwa ushawishi wa magufuli Bali kwa kumwona tu picha ya mama?
Nazungumzia nafasi ya urais aseee, we vipi lakini?, pale alikuwepo kama VP.
 
TANZANIA YAJISALIMISHA TENA MIKONONI MWA KENYA

Kwa miaka takribani mitano Tanzania imekuwa "mwana mpotevu" baada ya Hayati Rais Magufuli kustukia "faulo" za kibiashara yaani biashara zisizokuwa na mizania sawa baina ya majirani hawa wawili. Ikumbukwe kuwa Kenya ndilo taifa la kiafrika linaloongoza kwa uwekezaji nchini Tanzania. Kwa lugha nyingine, Tanzania imekuwa "koloni mamboleo" la Kenya kwa miongo kadhaa.

Hayati Rais Magufuli hakutaka Tanzania iendelee na utumwa, akaratibu mipango ya kuinasua Tanzania kutoka kwa "mkoloni mweusi". Hatua hii ya Magufuli iliikera sana Kenya na tangu hapo uhusiano wa kibiashara ukayumba.

Ikumbukwe pia kuwa Kenya ni kitovu kikubwa cha mabeberu katika ukanda wa Afrika Mashariki. Makampuni mengi ya Kenya ambayo yamewekeza hapa nchini hayamilikiwi na wakenya ama yanamilikiwa na wakenya wenye asili ya kizungu (walowezi).

Kenya ambayo ilishirikiana na mabeberu wa Israel kufanikisha "Operesheni Entebbe" mwaka 1976 haiwezi kuwa mshirika wa kuaminiwa na mwenye uchungu na mtu mweusi.

Tutarajie

👉 Kenya kuongoza tena katika mauzo ya madini ya Tanzanite.
👉 Watalii kurejea Kenya
👉 Mlima Kilimanjaro sasa kuwa rasmi mlima wa Kenya
👉 Hujuma katika Shirika letu la Ndege (ATCL) ili kuikuza tena Kenya Airways
👉 Hujuma katika mashirika yetu ya simu ili kuikuza Safaricom
👉 na kadhalika.

Suala muhimu siyo "KAZI IENDELEE" bali "KAZI GANI IENDELEE"!
Sijasoma biashara Lakini naona ni faida sana kenya kuwekeza Tanzania maana kipato kwa nchi kinaongezeka kwa kodi mbali mbali na ajira hata Donald trump alihimiza sana nchi nyingine kuwekeza america

Kwenye import and export uwiano upo Sawa ambapo Ndio muhimu zaidi rejea vita ya uchumi kati ya america na China kupigania uwiano wa import export .

Kuhusu operation entebe na mahusiano ya Kenya na Israel hata Tanzania ilikuwa na urafiki mkubwa na Israel tangu zamani rejea miundombinu ya Tanzania iliyojengwa na Israel plus jkt

Tanzanite haiwezi kutoka bila sheria kufuatwa sasahivi kuna ulinzi pale tofauti na zamani .

Watalii Ndio wengi watakuja Tanzania kuliko kwenda kenya sababu Ndege nyingi zinatua kenya kuliko Tanzania na kenya waliwekeza sana kwenye matangazo ya vivutio Kwahio Tanzania itajivutia watalii bila nguvu kubwa hata wakenya siku za nyuma walikuwa waoga sana kuhusu Hii issue

Atcl iweke ufanisi katika kazi ikiwemo kushusha garama za huduma na kupunguza matumizi mabovu ya ela hali kadhalika kwenye simu hivyo hivyo wakiendekeza magarama makubwa huduma mbovu watakimbiwa na wateja
 
MATAGA sukuma Gang kazini! Utadhani mama ndie aliemtwaa kumbe ni upumbavu wake kwa dharau za kijinga
 
Sijawahi kuona hata post moja kutoka kwako ikisifia chochote cha MAMA nadhani wewe chuki na roho mbaya vinakutesa sana. Pole sana..!
Mleta mada anaonekana ana matatizo makubwa, huenda zaidi ya tunavyodhania. Hata siku moja huwa haandiki chochote cha maana.

Watu kama hawa waliufaa sana utawala wa marehemu. Marehemu hakupenda watu wenye akili, wenye uwezo na wakweli kwa nafsi zao. Alipendelea zaidi kuzungukwa na watu wanafiki, wenye akili za kukariri.
 
Nazungumzia nafasi ya urais aseee, we vipi lakini?, pale alikuwepo kama VP.
Wawekezaji huvutiwa na upigaji! Wawekezaji ni wapigaji! Ukiweka mazingira yanayowawezesha kupiga hapo utakuwa umewavutia!! Wawekezaji wengi hawapendi mambo ya win win situation!! Ukiona wawekezaji wanakukimbilia ujue hapo umepigwa!! Lengo lao ni kupiga faida mpaka kwa gharama ya damu yako! Tulivutia wawekezaji kwenye madini kwa kuweka sheria ya madini iliyoongoza kwenye mikataba mibovu tukapigwa!! Tukavutia wawekezaji kwenye gas tukapigwa!! Hadi leo tunalia!! Wimbo wa kuvutia wawekezaji unatia shaka! Tusivutie wawekezaji bali tutoe nafasi kwa wawekezaji!
[emoji108]
 
Back
Top Bottom