Kenya yapewa msaada wa chakula na USA

View attachment 1303414
Donation ya mipira toka marekani iliwafikia?
Hahahaha, umeshikwa pabaya sana. Condom za Kazi gani, wanalazimisha kutupatia condoms lakini utayakuta yamejazana ktk vituo vya Afya, hatuyatumii, sisi tunatumia " Perfumed condoms".

Lakini kumbuka kwamba ni MTU aliyeshiba ndiye mwenye kuhitaji kondom, ni kosa kubwa kumpa kondom MTU ambaye hajapata chakula kwa siku tatu anakaribia kufa. Hivi huko Kenya mnawezaje kufanya "Sex" mkiwa na njaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Ksh imeimarika kwenye makaratasi wananchi wanaishi bila mlo kamili. Msimu huu hatuwauzii mahindi, tunawauzia unga ili tuheshimiane.
Msimu huu mahindi yetu tumepeleka zimbabwe,ndio maana unaona jirani zetu nuksi njaa imetamaraki kwao,yan inabidi wajue waihitaji TZ than TZ inavyowahitaji wao
 

Attachments

  • Screenshot_20191225-191836_Chrome.jpg
    132.6 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…