Kenya yapewa msaada wa chakula na USA

Kenya yapewa msaada wa chakula na USA

Halafu hii kenya kwanini isiunganishwe na tanzania iwe ni mkoa wa tanzania ili ifaidike na wingi wa chakula tulio nao,naona kwa hali walio nayo, mwaka 2025 mbali sana wakenya wote watakuwa wamemalizwa na njaa
Jaribuni tu ndio mtaona...mkishtukizia ardhi tumeshaipora yote, manake sio kw uvivu huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara ya mwisho walimweza walimletea scania hadi ikulu uhuru alifurahi kweli kuletewa msahada wa misosi hadi Ikulu alitoka mbio kufungua ndani wakakuta barua inasema "anyeni kazi acheni kombaomba misosi" ndani ya scania hakukuwa na hata kilo moja ya mahindi
Sasa nimeanza kuelewa faida ya trip za Uhuru. Jamaa akipaa huwa anaenda kuomba msosi kwa ajiri ya wananchi wake. Ila jamaa atakua ana lugha tamu sana kila anapotua lazima apate gunia kadhaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Ksh imeimarika kwenye makaratasi wananchi wanaishi bila mlo kamili. Msimu huu hatuwauzii mahindi, tunawauzia unga ili tuheshimiane.
Nafikiri tungewauzia uji na ugali kabisa, huenda hata kuni na maji ya kupikia hawana hawa majirani zetu.
 
Hahahaha, umeshikwa pabaya sana. Condom za Kazi gani, wanalazimisha kutupatia condoms lakini utayakuta yamejazana ktk vituo vya Afya, hatuyatumii, sisi tunatumia " Perfumed condoms".

Lakini kumbuka kwamba ni MTU aliyeshiba ndiye mwenye kuhitaji kondom, ni kosa kubwa kumpa kondom MTU ambaye hajapata chakula kwa siku tatu anakaribia kufa. Hivi huko Kenya mnawezaje kufanya "Sex" mkiwa na njaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wee jamaa una majibu 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom