Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
Bro,, hakuna aliyeomba chakula hapo. Wamarekani wanajaribu kujikombakomba wenyewe ili tuwapatie deals kwa kupeana chakula kitakachopewa refugees kule KakumA.Kwa hiyo wakenya hela ya chakula mnanunua condom alafu mnaomba msaa da wa chakula?
Huo ni umalaya [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app