Kenya yapewa msaada wa chakula na USA

Kenya yapewa msaada wa chakula na USA

Kwa hiyo wakenya hela ya chakula mnanunua condom alafu mnaomba msaa da wa chakula?
Huo ni umalaya [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro,, hakuna aliyeomba chakula hapo. Wamarekani wanajaribu kujikombakomba wenyewe ili tuwapatie deals kwa kupeana chakula kitakachopewa refugees kule KakumA.
 
Sisi tunagawa Mahindi Zimbabwe Huko kumbe majirani mnakufa njaa? Sasa kwanini hamsemi? Basi sisi tutawalete msaada wa kujenga Matundu ya Vyoo Pale kibera
 
Teh te te
[emoji3][emoji1787][emoji14][emoji13]
Ukigonga misosi na kushiba hamna [emoji382][emoji382] itakayo kulewesha.

Ila wewe uliyeshinda na kulala na njaa hapo korogosho, [emoji382][emoji382] kidogo tu chali.
Inawapa nguvu ya kuwanga kumbe[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kenya ndio wanapokwama kwenye njaa. Halafu huwezi amini wana ardhi nzuri kweli unapoingia tu mpakani kutokea Tz namanga. Maeneo yote ya kajiado,ina mashamba makubwa makubwa hayaendelezwi eti ni ya watu wanaishi ulaya wenye nayo. Hata kukodisha tu wanashindwa?. Kazi kupiga domo

Sent using Jamii Forums mobile app
Story za vijiweni bana, eti watu wanaoishi ulaya[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom