Kenya yapewa msaada wa chakula na USA

Excuses kibao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliona siku ile ulikua na shaulu mpka ukamuuliza ichoboy alipoandika subutu na akakwambia ni sawa ukanywea...leo umekuja kivingine, kiswahili si lugha km vile kifaransa buda, maneno yalitoholewa kutokana na maeneo tofauti tofauti...


Na hayo maneno nayatumia vizuri sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi kwenye mada
 
Aibu Sana, 60 yrs baada ya kupata Uhuru bado mbapewa msaada wa chakula, hata Burundi hawajafikia hatua hii, pamoja na kwamba wamewekewa vikwazo na EU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatukuwaomba, wameleta wenyewe jomba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui ndio waonekaniwe na wao katika miradi..
Aibu ni ile hukuomba condom lkn unaletewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa nimeanza kuelewa faida ya trip za Uhuru. Jamaa akipaa huwa anaenda kuomba msosi kwa ajiri ya wananchi wake. Ila jamaa atakua ana lugha tamu sana kila anapotua lazima apate gunia kadhaa.
Niliona pia Russia walikuwa na mpango wa kuwawapa wakenya msaada wa chakula [emoji23][emoji23][emoji23] sijui walishawapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yamenikuta makubwa zaidi ya unavyofikiria kijana..
Ushalalia uji wa unga wa mohogo wenye chumvi tu? Ushalalia maji vikombe 6? Ushakula mashina ya mahindi ukalala?
pole sana. yote hayo ni mapito.
 
Honestty unacheka nini lakini?

Au umeshibaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…