Jaribuni tu ndio mtaona...mkishtukizia ardhi tumeshaipora yote, manake sio kw uvivu huoHalafu hii kenya kwanini isiunganishwe na tanzania iwe ni mkoa wa tanzania ili ifaidike na wingi wa chakula tulio nao,naona kwa hali walio nayo, mwaka 2025 mbali sana wakenya wote watakuwa wamemalizwa na njaa
Hatujaomba, na km pia ni vyakula madukani vipo...Mtakufa njaa,ingali ardhi ipo lakini si kila ardhi lazima ilimwe. Ona sasa kila mwaka mnapewa msaada wa chakula
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe ni wa huko huko,ndio maana nikashangaa mbona umeorojeka sana,kumbe njaa banaJaribuni tu ndio mtaona...mkishtukizia ardhi tumeshaipora yote, manake sio kw uvivu huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajawahi kuniumiza mkuu,ujuaji wao na kujifake life kwao kwa kujifanya wameyapatia while wanaishi kwenye slum km kibera ndiko kunakonikeraMkubwa bila shaka walisha kuumiza hawa
Sasa nimeanza kuelewa faida ya trip za Uhuru. Jamaa akipaa huwa anaenda kuomba msosi kwa ajiri ya wananchi wake. Ila jamaa atakua ana lugha tamu sana kila anapotua lazima apate gunia kadhaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri tungewauzia uji na ugali kabisa, huenda hata kuni na maji ya kupikia hawana hawa majirani zetu.Kumbe Ksh imeimarika kwenye makaratasi wananchi wanaishi bila mlo kamili. Msimu huu hatuwauzii mahindi, tunawauzia unga ili tuheshimiane.
Burundi ni sawa na mkoa mdogo mmojawapo ndani ya kenya, ukilinganisha mbu linganisha angalau na kiroboto sio panzi.Aibu Sana, 60 yrs baada ya kupata Uhuru bado mbapewa msaada wa chakula, hata Burundi hawajafikia hatua hii, pamoja na kwamba wamewekewa vikwazo na EU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee jamaa una majibu 🤣🤣🤣🤣Hahahaha, umeshikwa pabaya sana. Condom za Kazi gani, wanalazimisha kutupatia condoms lakini utayakuta yamejazana ktk vituo vya Afya, hatuyatumii, sisi tunatumia " Perfumed condoms".
Lakini kumbuka kwamba ni MTU aliyeshiba ndiye mwenye kuhitaji kondom, ni kosa kubwa kumpa kondom MTU ambaye hajapata chakula kwa siku tatu anakaribia kufa. Hivi huko Kenya mnawezaje kufanya "Sex" mkiwa na njaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara ya mwisho walimweza walimletea scania hadi ikulu uhuru alifurahi kweli kuletewa msahada wa misosi hadi Ikulu alitoka mbio kufungua ndani wakakuta barua inasema "anyeni kazi acheni kombaomba misosi" ndani ya scania hakukuwa na hata kilo moja ya mahindi
Sent using Jamii Forums mobile app