Kenya yapitwa mara mbili na Tanzania katika mobile money transactions

Millionaires siku hizi kwan wana transact pesa kupitia simu
Kwani hao $millionaires hawaruhusiwi kutuma pesa uko?haiko biased mbona....vihela vya kawaida ambayo sio lazima utume bank sikuhz simu inamaliza
 
Ni mnaongea kiushabiki au ni English hamjui? Mbona habari ipo wazi kwamba hiyo pesa ni ya mwezi mmoja tena na za miezi mingine ya nyuma zimewekwa? Fungua link tena ipo paragraph ya kwanza kabisa
 

Kumbe wanalinganisha Q3 na mwezi mmoja wa Kenya.
Bongolala kweli. 🤣 🤣 🤣
 

The idiots are comparing 3 months of Tanzania (Q4) vs 1 month of Kenya.
 
My only question is why these transactions do not translate into profits??? What i know for a fact is Safaricom's profits are more than all mobile phone companies in TZ combined. It's either the data is wrong or our neighbors downsouth are simply not good business men. How do all those transactions not translate to profits for someone 🙄🙄🙄🙄🙄 someone somewhere should be smiling all the way to the bank!!!
 
Mwezi June pekee $4.6B Hawa n'gombe wasijesema wameenda shule hata siku 1 n'gombe ni n'gombe tu
 
Millionaires don't do mobile money transfer that has several limitations. They sign cheques and do bank-to-bank transfers. Halloo!
 
Millionaires don't do mobile money transfer that has several limitations. They sign cheques and do bank-to-bank transfers. Halloo!
Ukiskia millionaire unamuona ni mtu wa hadhi ya cheque tu aisee Acha huo upuuzi...pesa nyingi tu zinatumwa kwenye simu...mtu anamashamba analima uko vijijini unategemea atawandikia cheque au atatuma kwa simu?hela kubwa ndio lakini vihela chini ya $5000 unarusha kwa simu tu ....Yani me bongo sasa hv hela nyingi zinatumwa kwa simu ishazoeleka
 
Millionaires don't do mobile money transfer that has several limitations. They sign cheques and do bank-to-bank transfers. Halloo!
Unamkumbuka yule Laizer aliyepata Tanzanite ya $5M, yeye na Bank wapi na wapi, zaidi ya 60% milionea wa Tanzania ni wachimba madini, wakulima na wafugaji, tofauti na huko kwenu zaidi ya 80% ya matajiri ni wageni wanaishi mijini.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Uzi umefungua na mihemko na hata hujaelewa? Hizi shule mnaenda kusomea ujinga? Our southern neighbours are dumb! [emoji28]
Hahahaha, hadi September 2020, Q3 Tanzania $4.98B, Kenya by July 2020 $4.18B. Wekeni yenu ya September 2020 tulinganishe kama mlifikia Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Bongolala, it doesn't matter how you joined the billionaires club. Whether you are a peasant farmer or a gold miner doesn't really matter. The point is, billionaires don't depend on mobile money to transact their money. Billionaires and millionaires transact huge sums of money on a daily basis sometimes running into millions.
How you believe such a person will depend on Mpesa for instance to transact is baffling to say the least!
 
Hakuna wakulima fukara kamawa Tanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haunidanganyi! Mashinani balaa, ndio laana mlio nayo licha ya rotuba, farmers ni subsistence Kama wote! Hiyo hailipi kamwe! Ni middlemen wajanja ndio wanakula vizuri wengine balaa! Mko ovyo lakini hampendagi aibu! Vumilia Kaka.
 
Hahahaha, hadi September 2020, Q3 Tanzania $4.98B, Kenya by July 2020 $4.18B. Wekeni yenu ya September 2020 tulinganishe kama mlifikia Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Tunajua kizungu huwa hamuelewi. July alone Kenyans transacted 4.1 billion dollars and it's clearly written there. Nashangaa hizi kelele zako za by July 2020 sijui umetoa wapi

Sasa unaona vile tuko worlds apart?! What you transacted in nine months is equal to what we transacted in July alone!
 
Kumbe wanalinganisha Q3 na mwezi mmoja wa Kenya.
Bongolala kweli. 🤣 🤣 🤣
Dar es Salaam. Some Sh18 trillion is transacted on mobile money platforms in Tanzania every month, a Cabinet minister said at the weekends.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…