tonge nyama
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 380
- 499
Manyang’au yamepoteana kwenye huu uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maajabu sn yn hakuna mkenya hata mmoja humu so far, ila tulisema kwa mwendo tunaoenda nao na hawa jamaa wanavyoenda tutabaki pekee etu tu humu [emoji3][emoji3][emoji3]Sijawahi kuoana uzi nyang'au wote wameukimbia kama huu.
Uzi kiboko yao huu hata wameshindwa zile bla bla zao [emoji3][emoji3][emoji3]leo wamevuliwa nguoSijawahi kuoana uzi nyang'au wote wameukimbia kama huu.
Na elimu yao ya chuo isioweza kufanya tathmini kablaWakenya ni wazembe mno yn tumewagalagaza vby sn huwezi kuwaona humu, tumewapiga KO kila kona [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mke wenyewe anae, Kwa kawaida ya Kenya jinsi ilivyo na upumbavu yemwenyewe pengine mke [emoji3][emoji3][emoji3]Huyo sijui kama leo ataweza hata kumridhisha mkewe [emoji23][emoji23]
Mpuuzi yule, huakisi akili za serikali ya jubilee, failed gova, ni wa kupuuzwa tuYule mpumbavu wa pima Pima pima pimaaa afya yetu muhimu Sana naona anapita Kwa mbaaali huku akichungulia
Tatizo viongozi wa kenya wanachukua maamuzi baada ya kunywa chang'aa
Tz ni kiongozi hapa EA ni km baba hatuwezi ku ACT kwa mtoto wetu wenyewe ila mtoto anapozd ss ndiyo tunamuonesha cc ni nani kwake, kenya ni mtoto mdogo sn kwa Tz kivyote yn kuanzia ukubwa mpk mali, ss nyie watoto mnataka kutuzoea na ndiyo maana tunawashikisha adabu kwnz zen baadae mkinyooka ndo tunawapa misaada.Watanzania mna shida kweli, taarifa kama hizi WaKenya hata hawashughulikii... Sisi tunatoa orodha tunavyotaka.. Nyinyi kazi yenu ni reactionary... Eleweni hivo Kwanza. We ACT then you REACT.. tofauti sana kama mnaelewa "pecking order" hapa EA
Kwa nini SA au USA hazikushughulika na hizo list za KE?Tz ni kiongozi hapa EA ni km baba hatuwezi ku ACT kwa mtoto wetu wenyewe ila mtoto anapozd ss ndiyo tunamuonesha cc ni nani kwake, kenya ni mtoto mdogo sn kwa Tz kivyote yn kuanzia ukubwa mpk mali, ss nyie watoto mnataka kutuzoea na ndiyo maana tunawashikisha adabu kwnz zen baadae mkinyooka ndo tunawapa misaada.
Tulia tuna mpango wa kujenga ukuta kila mtu abaki kwao.Kwa nini SA au USA hazikushughulika na hizo list za KE?
yeah, lakini sioni mbona mnalialia kama watotoTulia tuna mpango wa kujenga ukuta kila mtu abaki kwao.
Nani anayelia ?yeah, lakini sioni mbona mnalialia kama watoto