Kenya yasalimu amri kwa Tanzania, yaingiza Tanzania katika orodha ya nchi zinazoruhusiwa kuingia Kenya bila masharti yoyote

Nafikiri Tanzania kitu cha kufanya ni kuwa na makubaliano mapya kabisa jinsi tutakavyokuwa na reciprocal basis agreement ambayo Air Tanzania wataruhusiwa kwenda Nairobi kwa wiki mara 7 na wao kuja Dar Es Salaam mara 7. Hakuna KQ kwenda Zanzibar, Kilimanjaro au Mwanza na sisi hakuna kwenda Mombasa, Kisumu etc. Kama hawataki isiwe tabu.

Hatuwezi kuwa tunachezewa ngoma ile ile kila baada ya miaka kadhaa.
 
Watanzania mna shida kweli, taarifa kama hizi WaKenya hata hawashughulikii... Sisi tunatoa orodha tunavyotaka.. Nyinyi kazi yenu ni reactionary... Eleweni hivo Kwanza. We ACT then you REACT.. tofauti sana kama mnaelewa "pecking order" hapa EA
 
Tz ni kiongozi hapa EA ni km baba hatuwezi ku ACT kwa mtoto wetu wenyewe ila mtoto anapozd ss ndiyo tunamuonesha cc ni nani kwake, kenya ni mtoto mdogo sn kwa Tz kivyote yn kuanzia ukubwa mpk mali, ss nyie watoto mnataka kutuzoea na ndiyo maana tunawashikisha adabu kwnz zen baadae mkinyooka ndo tunawapa misaada.
 
Kwa nini SA au USA hazikushughulika na hizo list za KE?
 
Back
Top Bottom