Kenya yasalimu amri kwa Tanzania, yaingiza Tanzania katika orodha ya nchi zinazoruhusiwa kuingia Kenya bila masharti yoyote

Kenya imetoa orodha mpya ambapo imeingiza nchi ya Tanzania katika orodha ya nchi raia wake wabaruhusiwa kuingia Kenya bila masharti yoyote.

Hii inakuja baada ya Tanzania kuzifungia ndege za Kanya kuingia Tanzania kwa takriban miezi miwili sasa na kusababisha kuyumba kwa sekta za utalii na usafiri wa anga nchini Kenya.

Kwa kipindi chote hicho, Kenya imekua ikifanya jitihada kubwa za kuibembekeza Tanzania kuruhusu ndege za Kenya bila mafanikio, serikali ya Tanzania imekua ikisisitiza kwamba hakutokua na mazungumzo hadi pale Kenya itakapoiweka Tanzania katika orodha hiyo, jambo ambalo leo Kenya imetekeleza

Swali la kujiuliza ni: Kenya imetumia vigezo gani vilivyoifanya kuirudisha Tanzania katika nchi ambazo hazina maambukizi ya Virusi vya Corona?

Kenya hoyeeeee?
HII NDIYO MAANA HALISI YA DOLA KUU, HUWEZI KUIWEKEA VIKWAZO DOLA KUU, UTAUMIA MWENYEWE, HILI LIMEDHIHIRIKA KWA KUNYALAND. Tanzania hatutalegeza kamba!
 
last time all the country sans Tanzania were listed Tanzania haikuweapo na sisi tukaongeza list ya banned airlines kaka au umesahau kaka? Kwa bifu hamna mtu anatuweza hapa EA!

nigeria, uk na israel walisalimu amri sembuse kunyaland?
 
Watanzania mna shida kweli, taarifa kama hizi WaKenya hata hawashughulikii... Sisi tunatoa orodha tunavyotaka.. Nyinyi kazi yenu ni reactionary... Eleweni hivo Kwanza. We ACT then you REACT.. tofauti sana kama mnaelewa "pecking order" hapa EA
Sio shida mlevi wenu kashaomba pooo huko kama tulivyotabili kwamba Kenya haiwezi kushindana na TANZANIA sio kwenye vita vya kiuchumi wala vita halisi labda kwenye mbio
 
Watanzania mna shida kweli, taarifa kama hizi WaKenya hata hawashughulikii... Sisi tunatoa orodha tunavyotaka.. Nyinyi kazi yenu ni reactionary... Eleweni hivo Kwanza. We ACT then you REACT.. tofauti sana kama mnaelewa "pecking order" hapa EA
Atlist umejitaid kutoka ukiwa naked aya waite na wakuny wenzio mje wote mtuambie metumia vigezo gani kuiwek Tz kwa iyo list uchwara.....acha kututajia USA, SA...hao wako mbal sn na nyie as far as bordering is concerned
 
Bitter Kenyans
Screenshot_20200916-085137.png
 
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] asilie mana waliji fany wao ndio super power in EA block kumbe hata chai hawatishi pumbvu hao....wangoje kufundishwa zaid n majiran mana y nidham hao wafwasi wa wazung
😅😅😅 Yaani ameandika kwa uchungu Sana, alafu, wakenya wengi wameanza kuelewa nguvu ya TZ kwamba nibkubwa Sana tofauti walivyokuwa wakidanganywa.
 
Kenya hiihii ya wanajeshi wakata mikaa somalia ama ipi? Hiihii ya wanajeshi kusombelea mikate supermarket ?
Yaani mkifanya masihara Kanda ya ziwa tuna beba!! mpaka Utahamia Tabora tena tunatamani kweli!! Kipunguni hakutakalika, MWanaghati ndo kabisaaa mtakula kichapo mpaka mlie poo!!

wakurya watendaje Tarime km mpaka ukifungwa unadhani!! ! Somalia wametulia ajili ya kenya mpya wakurya wameituliza somalia!! yaani usichezee Kenya! kwanza iombe samahani!!

Bila kenya kuwalea wakurya na wamasai Idd amini angewachakaza sana! nyie wanyamwezi hamna kitu mmelelewa tu na wakurya tangu uhuru!! tumewapa uhuru!!! bure halafu mnaleta dharau hapa!! tutachukua mikoa yetu tuna tamani tu muanze zogo!!

Najuwa wazaramo waogaaa hata paka wanaogopa!! mnajificha nyuma ya watoto wetu!! nasema jaribuni muone moto usiozimika
 
Kenya simba wakaratasi hizi kelele wataziogopa wasiowajua........labda Ethiopia tutatetemeka ila sio hao wakina Ken wa maria
 
nyie hamna nguvu bila kanda ya ziwa mbona
 
Wazee wa kuteka maji

2811930_images_-_2021-06-18T104843.945.jpeg
 
Hukupitia JKT ya huko kwenu wewe?? km ni kweli ina maana hukusoma! hawa wanafanya Mazoezi Eldoret mpaka Kisumu!! unamwagiwa maji ya moto na kuruka viunzi! ni sehemu ya mafunzo baada ya ku graduate vyuo tayari kulitumikia Taifa la Kenya!!

Tz mnawapa uniform mbayambaya hivi za bei rahisi!! sisi huku tunawapa Buti safi, bellet, combat za jeshi Made in Israel mpya !! sababu hawa ni sehemu ya Jeshi kabisaa km ilivo huko Tz! hata JKT yenu ni rhuksa kutumia uniform za jeshi akiwa kambini ikibidi!!
 
Kwa hiyo mazoezi ya hao National Service wenu wanafanyia mjini kati?

Endurance running inafanyikia nyikani au barabara za porini.
 
Loool! pole ndogo ni wazi kuwa hukwenda kabisaaa!! mie ako nakwambia mazoezi ni popote!! Mijini, vijijini, vichakani, nyikani, Milimani jangwani yaani wkt ya vita hata miji kubwa km, Mombasa mlango wa kuingizia malighafi, siraha chakula hulindwa! sana.

Nairobi unapoishi uhai wa nchi inalindwa unasikia?? kwani Radio station kubwa, amala kubwa iko wapi?? si mijini penye na Ikulu?? ukiona muji km Nairobi, Daisalama umeshambuliwa mfululizo siku tatu hiyo ni dalili nchi hakuna!! Rais amekimbia huyo!!

lazima ujifunze kusoma nyendo za adui wanaopenda kujichanganya na Raia katikati ya jiji! na miji!! unafundishwa jinsi ya kumuangalia unajua huyu ni adui yetu!! bila kusema chochote!! nenda jkt muda ni huu!! sababu wewe ni hatari kwa nchi yako!!
 
Back
Top Bottom